Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Yaani ni ukosefu wa kujiaminia,kujipenda,na kujithamini..Hivi mtu unakubali upasuliwe mwili wako kisa umfurahishe binadamu mwenzio ?ambaye akiyashika mara mbili yameshkifu we unabaki na lifetime scars🤦🤦🤦
Wakati la asili ukilishika huchoki wala halikifu🤣🤣🤣
 
mbona kuna faida mara mbili, wale modified figure bei zao ni za juu sana kwa buku humpati, andaa laki. Akipata watano kwa laki moja kwa siku ana laki tano, siku mbili ana milioni moja. Tena hiyo milioni moja anaweza kuipata kwa mteja mmoja tu kwa siku moja. Miili modified ni kwa ajili ya kuuza ni urembo. Fikiria mwanamke ni mnene tipyatipwa, huyu akitaka kuwa na shepu nzuri ya kutengenezwa itabidi nyama nyingi zipunguzwe na atalazimika kubadili ulaji ili asiongezeke unene. Fikiria na yule mwembamba flat screen kila idara, nyama zitatoka wapi kujaza matako, hips na matiti?
ivi kuna watu wanunua haya mabogazi kwa milioni moja
 
Kuna wanaume watapeleka wake zao wakatengenezwe shepu zao ili wawavutie kuliko kutamani hao wengine waliotengenezwa.
 
Tuwe positive, sometimes kuna watu wanafanya hizo surgery kutokana na kupata ajali mbali mbali mfano kuungua, makovu makubwa etc ....
Hao wanaongeza matako au maziwa, lips au pua sina msaada nao.
 
Mungu fundi wew.. dynamics za mwili lazima zibadilike na changes lazima ziwepo.. mungu ana formula zake ukibadili tu imekula kwako. Watu woote wanaofanya hzo plastic surgery wanakula dawa maisha yao yote.. kuanzia kina michael jackson had kina mobeto.. lazima ule dawa ili ku mantain inbalances.
Kwahyo hyo ndo price wana pay..
We jamaa umekazania Mungu fundi kwmb hakuna watu wanazaliwa na mapungufu ya maumbile,au na hayo mapungufu ndo ufund wenyewe
 
Back
Top Bottom