Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,720
- 54,598
Yaani atazingua sana mpaka aje alale ndio oppssss!na anaweza lala katika ya usingizi akaamka akaanza kutapika jamaniii!Na huwa halali mpk muamke halafu alale yeye na nyinyi ndo mtalala...😂
Yaani atazingua sana mpaka aje alale ndio oppssss!na anaweza lala katika ya usingizi akaamka akaanza kutapika jamaniii!Na huwa halali mpk muamke halafu alale yeye na nyinyi ndo mtalala...😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti wametoka garage![emoji23][emoji119]
Matusi yako nimeyaona baba mtumishi😂Glenn naona una uzoefu na tako la mchongo, natamani utulie uandikie uzi wa kufafanua tako feki, tukipata mamanzi wenye mizigo tuwe tunakuja kufanya reference kwenye uzi wako
Kuna group la siye tunahusudu tako tusije tapeliwa mwanawane
Mods waupandishe uwe juu kabisa uwe pinned ukiingia MMU
Cc; Maxence Melo
YaaniEti Sina mloganzila 🤣🤣🤣🤣 Kwa hiyo linavyoitwa siku hizi?
Unajua kupigwa vizinga na manzi mwenye tako la mchongo ni utapeli kama utapeli mwingine, okoa jahazi babaMatusi yako nimeyaona baba mtumishi😂
Nimeshatoa HINTS kutambua Mloganzila, jiongezeUnajua kupigwa vizinga na manzi mwenye tako la mchongo ni utapeli kama utapeli mwingine, okoa jahazi baba
Tako la Made in Kibamba, Mloganzila
Big NO
Umepitia mengi nawewe ..🤣Yaani atazingua sana mpaka aje alale ndio oppssss!na anaweza lala katika ya usingizi akaamka akaanza kutapika jamaniii!
Uko sahihi!achana na mlevi!Umepitia mengi nawewe ..🤣
Bado wewe sasaUko sahihi!achana na mlevi!
Bado Mimi Nini?Bado wewe sasa
Aisee nimechekaaa Leo
Haya viportable watulie tu mambo mazuri yanakuja
Me too...sijali roroseeee 😆😆😆😆😆Kati ya vitu ambayo huwa sijali ni maneno ya watu, huwa sijali kabisa as long as sijamkosea mtu. Mimi confidence ni zaidi ya 💯 pamoja na wembamba wangu na sina mlongazira.
Kugalagala namipombeBado Mimi Nini?
Hazijawahi kuniendesha,kwanza sinywagi mipombe mikalii,nakunywa soft alcoholKugalagala namipombe
Na navaa vimini vyangu hatari as long as sijavunja sheria za nchi. Asikuambie mtu ukijipenda ulivyo utampata anayekupenda kwa dhati.Me too...sijali roroseeee 😆😆😆😆😆
Waafrika wanaume 99.9%% wanapenda big booty hao slim tuwa achie wazungu na wachina....
Liwe kama la Nick Minaj au tayana au chioma yule wa nigeriaBig booty lakini lisiwe fake kama la madonna.View attachment 2802098