Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Liwe kama la Nick Minaj au tayana au chioma yule wa nigeria

Fake linajulikana tu. Tako kubwa miguu na mapaja kama fito
IMG_3805.jpg

[emoji16]
Ila chioma kiboko
 
Na navaa vimini vyangu hatari as long as sijavunja sheria za nchi. Asikuambie mtu ukijipenda ulivyo utampata anayekupenda kwa dhati.
Kabisa...mie hadi wameshanizoea kwakweli sina tabia ya kujali sana watu watanionaje mradi tu kinanipa furaha...halafu miguu yangu inaendana na mwili wangu sijalii
 
Huwa tunawaona mnajiuza indirectly. Ndo maana mwanaume ni rahisi sana kuku approach bila uoga akiamini ni biashara huria.

Lakini mwanamke anayejisitiri vizuri mwili wake hata mwanaume anakuwa muoga kumu approach kuhofia kujibiwa vibaya.

Dhahabu hujificha chini sana ndo maana inatafutwa kwa shida sana.
 
😍😍😍😍
 
Kutongozwa hovyo inategemea na jinsi unavyojiweka, whether umevaa vimini au la. Wengine tumeshavuka hizo level za kutongozwa hovyo.
 
Back
Top Bottom