Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,834
- 16,576
Najali basiii kikubwa inanifikisha niendapo 🤣🤣
A🤣🤣🤣🤣Wahi usajili unaendelea batch ya pili
A🤣🤣🤣🤣Wahi usajili unaendelea batch ya pili
Hakika...Ila kuangukia kwa Ke mwenye artificial, dah! Sidhani kama nitakuja kukutana na zero brain kiasi hicho🤣🤣Original ni original tu aiseee
Babu usiongee ukamaliza....Dunia duara shauri yako 😆Hakika...Ila kuangukia kwa Ke mwenye artificial, dah! Sidhani kama nitakuja kukutana na zero brain kiasi hicho🤣🤣
Safi Sanaa!confidence is the new style!Najali basiii kikubwa inanifikisha niendapo 🤣🤣
A
Ndio nishamaliza, siji kukutana na zero brain kiasi hicho, kwanza swagger zake tu nitajua hamna shughuli🤣🤣Babu usiongee ukamaliza....Dunia duara shauri yako 😆
Imagine watu vilaza kama hao unaanza nao wapi?huko kukosa kujiaminia hiyo ni hatari sanaHakika...Ila kuangukia kwa Ke mwenye artificial, dah! Sidhani kama nitakuja kukutana na zero brain kiasi hicho🤣🤣
Na napenda vimini si mchezo na sijali wala niniSafi Sanaa!confidence is the new style!
🤣🤣🤣🤣Huogopi kusengenywa?Na napenda vimini si mchezo na sijali wala nini
Siku nakutana na wewe kitambaa cheupe umekamatia goma wowowo lipo kuleeeeNdio nishamaliza, siji kukutana na zero brain kiasi hicho, kwanza swagger zake tu nitajua hamna shughuli🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Huogopi kusengenywa?
Nishavuka hiyo stage ya kusikiliza maneno ya watu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huogopi kusengenywa?
Mungu alivyokuumba inatosha, ya nini kujiweka mavitu ya hovyo namna hiyo? plastic surgery ni maalumu kwa watu waliopata ajali, wenye/waliozaliwa na ulemavu ila sio kwa mtu kukosoa alivyoumbwa.Imagine watu vilaza kama hao unaanza nao wapi?huko kukosa kujiamini Nina hiyo ni hatari sana
VayolensiiiiTako dogo halifai kufanyia masaji, yaani uanzie mabegani hadi matakoni halafu hayajai kiganja...aaah[emoji1787][emoji1787]
Siku nakutana na wewe kitambaa cheupe umekamatia goma wowowo lipo kuleeee
Nisamehe madam, nisamehe sana...
Yaani ni ukosefu wa kujiaminia,kujipenda,na kujithamini..Hivi mtu unakubali upasuliwe mwili wako kisa umfurahishe binadamu mwenzio ?ambaye akiyashika mara mbili yameshkifu we unabaki na lifetime scars🤦🤦🤦Mungu alivyokuumba inatosha, ya nini kujiweka mavitu ya hovyo namna hiyo? plastic surgery ni maalumu kwa watu waliopata ajali, wenye/waliozaliwa na ulemavu ila sio kwa mtu kukosoa alivyoumbwa.
Mhh tupo hapa...hautakuja kusema ila Malaika wako atakuwepoLiwe la asili na sio artificial, kuwe na uwiano kati ya tako, miguu, kiuno hapo sawa. Ila tako na nyonyo ni makubwa kuliko uwiano wa mwili nani anataka uchafu huo.
Yaani ushakuwa gwiji🤣🤣Nishavuka hiyo stage ya kusikiliza maneno ya watu 🤣🤣🤣
Naelewa tu kuwa kuna wenzangu wanapenda sana slim🤣🤣🤣
Haipo hiyo, napenda thick girls ila sio kwa ile midoli aisee.Mhh tupo hapa...hautakuja kusema ila Malaika wako atakuwepo