Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu katiba mpya (sehemu ya pili)

MWAISEMBA CR

Member
Apr 21, 2014
86
78
🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KATIBA MPYA

(SEHEMU YA PILI) Mwendelezo.........

🔵 KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️)

Tabata,Dar,Tanzania

stmwaisembac@gmail.com

♨️YAH: OMBI JUU YA KURUHUSU KUENDELEA KWA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Mama, Najua una majukumu mengi ya kufanya ya Kitaifa na hata Kimataifa yanayoweza kukukosesha muda wa kusoma au kusikiliza ushauri wa kila mtu ila katika hili,mama naomba unipe kibali chako na upendeleo zaidi cha kunisikiliza kwa yale nitakayokueleza kwani hayaihusu serikali yako bali yanakuhusu wewe na ikiwa utaelewa na kuyazingatia basi yatakuwa ni dira kwako na yatakusaidia sana katika kujua wapi unatoka na wapi unaenda

2️⃣FAHAMU MPANGO WA MUNGU WA KUKUFANYA WEWE KUWA RAIS WA KWANZA WA KIKE TANZANIA

♨️{YOHANA 19:10-11}

[10]Basi Pilato akamwambia, Husemi nami? Hujui ya kuwa mimi NINA MAMLAKA YA KUKUFUNGUA , nami NINA MAMLAKA YA KUKUSULIBISHA ?

[11]Yesu akamjibu, Wewe hungekuwa na MAMLAKA YO YOTE juu yangu, KAMA USINGEPEWA KUTOKA JUU............

Mama, nilitaka nianze kwa kukufahamisha kuwa Mamlaka na nafasi hiyo kubwa ya Urais uliyo nayo kuwa Rais wa kwanza mwanamke ni Mpango kamili wa Mungu kwasababu Mungu ndiye amekupa kutoka juu wala haikutokea kwa bahati mbaya wala si akili au uwezo wako au umahili wako bali ni Mungu humpa yo yote anayetaka kwa makusudi yake na pia ndiye anaweza kuichukua na kuiondosha kama alivyofanya kwa mfalme Nebukadeneza ikiwa hutojua kuwa ni nafasi tu uliyopewa kwa kusudi la kutimiza jambo fulani na kwa wakati fulani

Mama, sote tunakumbuka tulikuwa na Rais wetu pendwa JOHN POMBE MAGUFULI, mwenye ujasiri mkubwa ambao bado watanzania wengi walikuwa wanamuhitaji sana maana hajawai kutokea Rais wa namna yake katika awamu zote zilizotangulia lakini katikati ya uhitaji mkubwa tuliokuwa nao kwake lakini Mungu kwa mapenzi yake, bado alimchukua, akafariki na kukupatia wewe mama Samia mamlaka na nafasi ile kubwa ya Urais wa kuiongoza Tanzania kama Mwanamke wa kwanza kuwa Rais wa Tanzania..

Kwanza lazima ufahamu , Mungu katika mpango wake, Mungu hupenda kuvitumia vile vitu vidhaniwavyo kuwa ni vinyonge au dhaifu ili kuviaibishe vile vyenye nguvu 1WAKORINTHO 1:27-28. Wanawake katika utamaduni wa dunia hasa katika nchi yetu wanaonekana ni viumbe dhaifu ambao hawana uwezo wa kiuongozi wala kimaamuzi ndio maana kwa awamu zote 5, hajawai kupita mwanamke hata mmoja kwa bahati mbaya aliyeweza kuaminika na Halmashauri kuu ya Chama apewe nafasi ya kugombea urais katika chama chenu. Lakini Mungu kwa kulifahamu hilo na ugumu uliopo ndio maana kwa makusudi alikupitisha kwanza uwe Makamu wa kwanza wa kike wa Rais Magufuli na ndipo akatekeleza mpango wake wa kumchukua Rais Magufuli ili kukufanya wewe mama Samia ndio uwe Rais kulingana na katiba yetu inavyoeleza.

Kusudi kubwa la Mungu kukuweka na kukupa mamlaka hii, anatamani uwe Rais wa Pekee wa kike utakayefanya vitu kwa ubora na usikivu wa hali ya juu kupita marais wote wanaume waliokutangulia ili uweze kufuta nadharia mbovu iliyo vichwa mwetu watanzania wengi kuwa Mwanamke hawezi kuongoza nchi.

Hivyo mama, upo kwenye mtihani mkubwa ambao Mungu amekuamini kati ya wanawake wote Tanzania , kukufanya wewe kuwa Rais wa kwanza wa kike ambaye ikiwa utafanya na kuenenda katika ile hekima ya kiMungu ya kiuongozi niliyokushauri kwa kusikiliza wananchi wanataka nini, kwa kuruhusu kuendelea kwa mchakato wa kupata katiba mpya na kuruhusu democrasia n.k basi utakuwa umefungua mlango mkubwa kwa wanawake wenzako wote nao kuweza kuaminiwa na kupata nafasi za heshima kuliko sasa.

Mama Samia, Mungu amekuchagua kati ya Wengi kwasaababu anajua moyo wako ulivyo na una uwezo mkubwa wa kusikiliza na kupokea ushauri hata kama utaonekana upo tofauti na watangulizi waliokutangulia. Moja ya mlango mkubwa aliokuwekea Mungu mbele yako ambao utakupa Heshima kubwa kwa Watanzania wote na hata kuwaheshisha wanawake wenzio ni wewe kuruhusu KUENDELEA KWA MCHAKATO WA MABADILIKO YA KATIBA MPYA uliokwisha rasimiwa na Tume ya jaji Warioba

Mama Samia, Mungu amekuweka na amekuamini wewe kuwa ndiye mwanamke pekee ambaye ndiye utaweza kuruhusu swala la hili la zoezi la Mchakato wa kupata Katiba mpya ya Tanzania maana Marais wanaume wote waliotangulia walishindwa na wengine kuishia njiani wakihofia lawama zinazoweza kuja kutoka katika vyama vyao na kuacha kuangalia Maslai mapana ya Taifa zima.

Lakini mama Samia, wewe mpaka sasa umeweza kuonyesha uthubutu mwingi wa kuweza kurudisha baadhi ya mambo kadhaa ya democrasia ambayo yalikwishapotea ikiwa ni pamoja umerudisha uhuru wa watu kuongea,kukosoa, uhuru wa vyombo vya habari, umeanza kuruhusu kukutana ninyi kama ninyi wanasiasa pamoja na vyama vya upinzani n.k.

Mama samia,mpaka sasa yapo mengi umeweza kudhubutu kuyafanya ambayo hayakudhaniwa kuwa yanaweza kurejesha tena furaha na matumaini yaliyokuwa yamepotea kwa watu kwa muda mrefu, tena umeyafanya kwa kipindi hiki kifupi cha mwaka mmoja tu.Ndio maana ninasema uthubutu wa mambo makubwa uliyoyafanya mpaka sasa kwa kipindi kifupi, hakuna anayeamini kuwa mwanamke kama wewe ungeweza kufanya tena kwa kujiamini namna hiyo

Ndio maana kwa msingi wa moyo mkuu ulio nao, na uwezo wa mkubwa wa kupokea ushauri ulio nao mama Samia, ninashawishika kuamini kuwa Mungu ndiye amekuweka ili kurudisha furaha iliyopotea, Ikiwa tu utakubali KURUHUSU KUENDELEA KWA MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA itakayowezesha kutengeneza sheria upya katika maeneo yote ya elimu, biashara, Uwekezaji, afya, uchumi n.k

Pamoja na uzuri mwingi waliokuwa nao marais wote wanaume wa awamu 5 zilizotangulia lakini, wote walishindwa kutekeleza takwa hili la KUPATA KATIBA MPYA.Mungu amekupa nafasi ya pekee ya wewe Mwanamke kufanya jambo ambalo wanaume wote wameogopa kulifanya au kulikamilisha LA KUPATA KATIBA MPYA.Hii ni nafasi ambayo ikiwa ukiijua kuwa umepewa wewe, ukaitumia vizuri basi inakwenda kukupa heshima kubwa sana katika Nchi hii

Mama, baada ya kukuonyesha mpango wa Mungu alioukusudia kwako kukuweka hapa na kukupa mamlaka hii, ninaomba pia nimalizie kwa kukushauri jambo la mwisho kuwa, haina haja ya wewe kusubiri eti mwaka 2025 ipite ndio uangalie kama utaona umuhimu wa kuruhusu kuendelea kwa mchakato wa kupata katiba mpya.Nakushauri kuwa Mchakato huu, uruhusu sasa sio baada ya 2025 wala usiendeleze kutaka kuweka viraka katika katiba ya sasa .Hivyo tumia Mamlaka yako ya Rais KUKUBALI KUENDELEA NA MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA , hiyo ndio itakuwa kama fimbo au silaha yako kubwa itakayokufanya kupendwa zaidi na watanzania wote na ndio itakupa kuaminika zaidi hata kukupa ushindi mkubwa na wa haki katika chaguzi zijazo zote za mwaka 2025.

Mama Samia, ukizuia sasa kuendelea kwa mchakato wa Katiba mpya mpaka 2025, itapunguza imani kubwa iliyoanza kuwekwa na watanzania juu yako maana wengi walikatishwa tamaa kushirikia mambo ya kisiasa kutokana na Mambo yaliyokwishatokea nyuma katika chaguzi zilizopita,pia itawafanya watanzania waone kama unawaogopa wapinzani wako na pia hata kutapunguza modality ya watu kushiriki katika chaguzi zijazo kwa maana Katiba mpya ,itawahakikishia kupata tume huru ya uchaguzi na kuwa hakika ya kuwepo kwa uchaguzi huru na wa haki.

Mama,CV Kubwa unayopaswa kuiweka sasa kwa watanzania ni KUWAPATIA KATIBA MPYA na ndio itakayoweza kukupa ushindi mkubwa hata katika chaguzi zijazo za mwaka 2025, maana utakaporuhusu katiba mpya, utaongeza idadi kubwa ya watanzania wasio egemea upande wowote wa vyama, kukupenda wewe zaidi kuliko wengine hivyo kutaongeza wafuasi wengi na kukuhakikishia ushindi mkubwa tu katika chama chako

Hivyo mama,Usisite kuruhusu kuanza kwa mchakato wa kupata katiba mpya kwa hofu kuwa unaweza kupoteza ushindi 2025, bali fahamu ni Mungu ndiye anamuweka mtu ye yote amtakaye katika mamlaka yake.Hivyo mama fanya sehemu yako kwa kuangalia maslai mapana ya wananchi wako wa Tanzania wanataka nini kwa sasa.Ikiwa Mungu hajapanga wapinzani washike nchi hata kama ukaruhusu katiba mpya na kukawa na tume huru ya uchaguzi bado hawataweza kushinda kwasababu MAMLAKA ZOTE UTOKA JUU NAE HUMPA YO YOTE AMRIDHIAYE.

Hivyo mama, sio swala la wewe kuhofia itakuwaje ukiruhusu katiba mpya au ukikataa katiba mpya, bali fanya lile kusudi la Mungu alilokuweka katika wakati uliopewa ambalo litakufanya kukumbukwa zaidi na ndipo Mungu atakupigania hata kwa yale unayotamani kuyapata hapo mbeleni na utaongeza kuaminiwa zaidi si tu kwako hata kwa wanawake wenzako

Hivyo, nataka nikufahamishe kuwa umewekwa na Mungu ili UWAPATIE WATANZANI KATIBA MPYA wanayoililia mchana na Usiku.Jua nafasi uliyokuwa nayo usingekuwa nayo wala hukuiomba wala hukudhania kama utakuwa nayo ,hivyo usifanye kwa kuangali tu maslai ya wachache,bali fahamu watanzania wanataka KATIBA MPYA, basi kama rais unayefahamu nawe utapita kama magufuli alivyopita basi fanya yakupasayo kufanya sio kupangiwa na watu yale ya kufanya....Mungu akubariki

Usiache kumalizia Sehemu ya tatu ya ujumbe wangu kwako mama Samia Suluhu Hassan ambapo Nitakueleza Yakupasayo kufanya Ili upate kukumbukwa kwa vizazi vyote vilivyopo na vijavyo.......Asante kwa kutumia muda wako kusoma ......

Wako

MTIIFU

🔵Shujaa©️®️Ⓜ️

0712054498/0785248997
 
Kuna watu wachache wabaotumia uozo wa katiba iliyopo watatumia mbinu nyingi kumtisha Rais Samia aone katiba Mpya ni tishio kwake.

Watafanya hivyo kwa maslahi yao binafsi
 
Back
Top Bottom