BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

jamani wapelekeni watoto wenu shule unaona watu wanavyozeeka vibaya huku ?tatizo ni elimu ndogo yeye anafikiri wajumbe wa sensa wanapatikana kama unavyochagua nyanya sokoni hii safi hii mbaya du!la hasha sensa its all about keeping recods watu wa recods management au hawajui maana halisi ya sensa ref:Sensa ya Watu na Makazi ni utaratibu wa kupata na kurekodi habari kuhusu watu na makazi yao.
jamani ni kweanini hawa watu wanapend a kulazimisha mambo jamani mfano:zimetolewa nafasi hizo watu wakaaply vigezo vimezingatiwa waislam hawakumeet reqremt je tuwachukue watu watakao tuharibia sababu yakuogopa minung'uno yao?MWAMBIENI HIVI HII NI DUNIA NYINGINE SIO ILE ALIYOZALIWA YEYE KUMEKUCHA ,AMUULIZE NYERERE KWANINI ALIACHIA MADARAKA ,ALIONA DUNIA ALIYOIZOEA NA WATU ALIOZOEA KUWAONGOPEA SIO TENA NI KIZAZI KIPYA .SO ASITULETEE HAPA !AKHA

Maneno haya mngemwambia mzee mtei alipokurupuka ... Kuhusu tume ya katiba ina waislam wengii...
 
Mimi mwenyewe nina first degree nipo mtaani, lakini silalamiki kuwa kuna waislam wako kibao Nssf bila sifa. Kweli na degree yako umeenda kwa RAMADHANI DAU na amekunyima nafasi pale...... Kajaribu tena mwambie kuwa wewe ni mwenzake mnasali msikiti mmoja.
 
nDIO HOJA ZENU ZA KILA. MNAOGOPA MKIJUA WAISLAM WAPO WENGI HALAFU NYINYI NDIO MLIOSHIKA NCHI YENYE UFISADI WA KUTISHA. HAMNA JENGINE MNALOOGOPA.

Walioshika nchi ni waislam au wakristo?Sasa nimeanza kuelewa inakuwaje mataifa makubwa yameweza
kuwagombanisha waarabu mpaka leo wanapigana wenyewe.Kweli nimeamini kuwa mkristo ni elimu
hata kama hajaenda shule.
 
99% ya wafanyakazi mashirika ya umma na serekali ni wakiristo. nchi yetu ni maskini. rushwa inazidi kukua. tukijua hivyo tutaka KEKI ya Tanzania iliwe kwa pamoja. hichi mnakikimbia. Tushakutambueni zamani.

It seems it is just normal for you to concoct figures in your head and present them for arguments? Si kuna wakati mlikuja hapa na 83% kwa 17%. Karibu figures zote ambazo huwa mnazitolea povu hapa hazina ukweli hata kidogo.
 
nDIO HOJA ZENU ZA KILA. MNAOGOPA MKIJUA WAISLAM WAPO WENGI HALAFU NYINYI NDIO MLIOSHIKA NCHI YENYE UFISADI WA KUTISHA. HAMNA JENGINE MNALOOGOPA.

Walioshika nchi ni waislam au wakristo?Sasa nimeanza kuelewa inakuwaje mataifa makubwa yameweza
kuwagombanisha waarabu mpaka leo wanapigana wenyewe.Kweli nimeamini kuwa mkristo ni elimu
hata kama hajaenda shule.
 
kwann waislamu wanapenda sana kujifikiria wao na mda wote wao wanalala mika?wanafikia kuita nchi ya kiislam wakristo waende wapi?hawa jamaa hata siwaelewi
 
Mtabishana weee hadi matusi ya nguoni lakini sasa hivi ukweli unaanza kujitokeza hasa kwa wale waliopinga kwamba Tanznaia hakuna Udini. Udini upo na umeachwa hadi umeshika moto na sasa hivi madai yanaanza kuingia ktk secta nyeti, watu wanataka kuona ajira zinatolewa kwa vigezo vya dini, watu wanahesabu vichwa kwa majina na haya ndio mavuno ya kile tulichopanda. Udini upo na kila mtu anabeba msalaba wake!...
 
waislam wanaua watu kila siku eti wanatetea dini MUNGU angekuja cku moja atoe mwongozo mpya hiv vitabu nadhani vimechakachuliwa unasemaunatetea waislam hapohapo unaua waislam na watoto wasio na hatia ndio nn?poleni wamisri kwa kukabidhi nchi kwa magaidi hata osama alianzia muslim blother hood hata freemason ilianzia kwenye uaslam pia
 
Hapo ndipo uwa nawashangaa waislamu..ni watu wa ajabu na kusikitikia sana. Tazama, baada ya kelele zao za muda kuwa wanagomea sensa kiongozi wao katepeta tena hoi. Ni kweli kuwa BAKWATA ni moja ya taasisi za CCM japo waislamu hawataki kusema wazi hilo na wanajua vyema. Hii ni dalili kuwa kuna waislamu wanaleta chokochoko binafsi wakati taasisi yao imekaa na kutoa tamko hilo. Huyo Ponda anawezaje kupingana na mawazo ya taasisi kubwa na yenye uwakilishi wa waislamu wote?

Nimekuwa nikisema hapa mara nyingi uislamu ni dini nzuri ila kuna wahuni na wajinga wachache wanaifanya ionekane kama dini ya kigaidi na wapenda vurugu nk. Mufti kadhihirisha ukweli kuwa Radio Imaan na TV imaan ni majanga kwa taifa hili. Ni wachochezi na wavuruga amani.
 
Kwani kikiingizwa kipengele swali.. wewe ni dini gani..? Wakristo mtapungukiwa.na nini..?
 
tulijadili hili kwa kuheshimiana. Mwenye busara ni nadra sana kujadili swala kubwa namna hii kishabiki na kidini
 
Nahisi kama uwezo wa watu kufikiri umepungua kwa kiasi kikubwa sana. Hivi kweli watu wenye akili timamu wanaweza wakaja na hoja za kipuuzi namna hii kupinga vitu vya msingi namna hii!

Hawa jamaa nadhani wana kiu sana ya damu, sijui wanataka kuyanywesha yale yaliyofukuzwa mbinguni? Yaani kila kukicha wanatafuta sababu za kuvuruga amani! Washindwe katika Jina la YESU.
 
Hivi huyu mtu anaitwa ponda huwa ni nani haswa? mbona serikali inaonekana kumuogopa? sensa ni tool muhimu sana inayotumika na serikali yoyote ile kupanga maendeleo ya muda mfupi na muda mrefu sasa mtu anajitokeza tena akitumia majukwaa ya dini kupinga sera hii nyeti kabisa kwa maendeleo yetu serikali imekaa kimya inajaribu kubembeleza?? are you real serious?? huyu alipaswa akamatwe atupwe ndani na afunguliwe kesi ya uchochezi finish! mficha maradhi kilio kitamuumbua halafu baraza la habari linalosimamia vyombo vya habari mbona limekalia kimya sana hii redio Imani? Inahubiri chuki za kidini waziwazi, inatumika kupinga maamuzi ya serikali na vyombo vyake lakini serikali kimyaa!! namchukia lowasaa kutokana na ufisadi wake lakini namkumbuka kwa kauli yake moja kuwa "serikali yetu imakumbwa na ugonjwa wa kutokuchukua hatua hata kwenye masuala ya msingi"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom