BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

99% ya wafanyakazi mashirika ya umma na serekali ni wakiristo. nchi yetu ni maskini. rushwa inazidi kukua. tukijua hivyo tutaka KEKI ya Tanzania iliwe kwa pamoja. hichi mnakikimbia. Tushakutambueni zamani.

Kwa maana hiyo na nyie mnataka mpewe nafasi ya kula rushwa? Kwaiyo kelele yote hii ni HELA na wala sio dini.
 
Mie wananichanganya waislam gani wanaozungumziwa? Ni mashia? au Sunni? au shafii au ahmadiya? au..? naomba mnitoe ujinga basi wajuzi
 
Leo asubuhi sheikh ponda amepinga kauli ya mufti aliyoitoa jana akiagiza waislamu kushiriki ktk sensa ya mwezi agosti mwaka huu. akihojiwa na redio imaan iliyopo morogoro, sheikh ponda amesema kuwa bakwata ni moja ya taasisi za kiislamu hivyo mufti hawezi kuamua peke yake bila kuwashirikisha wajumbe kutoka taasisi nyingine.


"tulikutana dodoma na waziri wassira tukiwa wajumbe wa taasisi zaidi ya 10 za kiislamu, bakwata ikiwa moja wapo. msimao wetu ulikua mmoja kuwa hatutoshiriki sensa hadi yafanywe mambo mawili. la kwanza kipengele cha dini kiwekwe kwenye dodoso. la pili tume ya taifa ya sensa iwe na mchanganyiko wa wajumbe waislamu na wakristo. waislamu kwenye tume ni 20%." alisema ponda.


alipoulizwa nini kitaendelea akasema kuwa taasisi zote zinakutana leo na leo ama kesho watafanya press conference ili kuwaeleza watanzania maazimio yao. "Mufti amejidhalilisha. nina imani waislamu watafuata maelekezo yetu. mufti ataonekana jinsi asivyo fuatwa na kusikilizwa na waislamu wengi."


source: redio imaan

Sabibu za kutokushiriki ni hafifu sana hizo!!
 
Mie wananichanganya waislam gani wanaozungumziwa? Ni mashia? au Sunni? au shafii au ahmadiya? au..? naomba mnitoe ujinga basi wajuzi
Wasio na akili. wenye akili zao wanatakia nini kuzungumziwa.
 
Very interesting guys,this isnt the path we are suppose to be heading,we are totaly loosing the game,since when have we started askin bot our religious.NO ONE WILL WIN ON THIS.Lets just get back to our roots
 
mimi nimesoma kuliko wewe. mimi nina first degree nauza nyanya, Mkiristo f4 +Mtumishi mzuri wa kanisa tu kawekwa NECTA kUHUJUMU waislam. kama elimu inatumika tz Mimi ningalikuwa nafasi yake NECTA

......kumbe we ulitaka uuze nini?
 
Ndugu waislam fungeni milango wanakuja! Siasa TZ Next level.
 
mimi nimesoma kuliko wewe. mimi nina first degree nauza nyanya, Mkiristo f4 +Mtumishi mzuri wa kanisa tu kawekwa NECTA kUHUJUMU waislam. kama elimu inatumika tz Mimi ningalikuwa nafasi yake NECTA

Aisee mbona wewe mbumbumbu kabisa?
 
Hivi kwa nini serikali isiweke hicho Kipengele cha kuuliza kama mtu ni mwislamu? Kwani itaathiri nini? Kwa kuwa waisalmu wanataka kujua idadi yao, naomba kuwe na swali "Je wewe ni muislamu?" Ndiyo/Hapana..
 
Huyu sheikh ponda ndo anasababisha waislam wakose akiri za kufikiri
 
Mtanzania mwenzangu nakuhusia jambo moja, usome UISLAMU mwenyewe usikubali kupotoshwa na viongozi wako wa dini. Ukiusoma vizuri na kuelewa utagundua kuwa kuna tofauti ya matendo ya waislamu na uislamu unavyotaka. Inawezekana waislamu wakakuboa lakini naamini uislamu hautakuboa. Kwa kusoma mwenyewe na ukauelewa uislamu natumai utaingia katika lile kundi kubwa la watu wa aina mbali mbali dunia waliosilimu na wanaendelea kusilimu, na baadhi yao walikuwa na chuki na uislamu kuliko hata wewe lakini baada kuona ukweli wakaufuata.Namalizia kwa maneno haya, USOME UISLAMU UELEWE, utafaidika duniani na akhera.
Hakuna anaepotoshwa na viongozi wa dini hasa za kikristo.na hakuna mwenye chuki na uislam wala uislam siyo mbaya isipokuwa unadhalilishwa na waislam wenzako ambao wameufanya uislam uonekane kuwa amani na uislam ni sawa na maji na mafuta ya taa.umetoa ushauri mzuri lakini unatakiwa uwashauri akina ponda wanao udhalilisha uislam wenu.
 
unajua unaonekana huna akili kwa kitu unachokomaa nacho.

Let assume waislam wapo wengi what next,

Serikal inapopango sera ya maendeleo din haina nafas,(mahitaji yanafanana) sio waisla wote au wakristo wote kwa majina wanafuata iman za din zao.

Ndo maana ukienda bar utashangaa na roho yako.
 
nipewe nafasi ya kukuza uchumi wa taifa kwa kuondoa hili pingamizi kubwa la UDINI nchini. LIKIONDOKA HILI PINGAMIZI TZ ITAKUWA MBELE MARA 100

Toa mfano wa nchi ambayo ilifanikiwa kwa hilo unalotaka kulifanya ama unaloliongea. Toa mfani wa nchi ya kiarabu ama ya kiafrika
 
Leo asubuhi sheikh ponda amepinga kauli ya mufti aliyoitoa jana akiagiza waislamu kushiriki ktk sensa ya mwezi agosti mwaka huu. akihojiwa na redio imaan iliyopo morogoro, sheikh ponda amesema kuwa bakwata ni moja ya taasisi za kiislamu hivyo mufti hawezi kuamua peke yake bila kuwashirikisha wajumbe kutoka taasisi nyingine.


"tulikutana dodoma na waziri wassira tukiwa wajumbe wa taasisi zaidi ya 10 za kiislamu, bakwata ikiwa moja wapo. msimao wetu ulikua mmoja kuwa hatutoshiriki sensa hadi yafanywe mambo mawili. la kwanza kipengele cha dini kiwekwe kwenye dodoso. la pili tume ya taifa ya sensa iwe na mchanganyiko wa wajumbe waislamu na wakristo. waislamu kwenye tume ni 20%." alisema ponda.


alipoulizwa nini kitaendelea akasema kuwa taasisi zote zinakutana leo na leo ama kesho watafanya press conference ili kuwaeleza watanzania maazimio yao. "Mufti amejidhalilisha. nina imani waislamu watafuata maelekezo yetu. mufti ataonekana jinsi asivyo fuatwa na kusikilizwa na waislamu wengi."


source: redio imaan

Nabii wa udini asipuuzwe bali akemewe! Inawezekana kuna kitu tusichokijua wengi, Kipengele cha dini kikiwepo mchango wake katika kufanikisha Sensa ninini! Sasa Wassira umekutana na watu hawa mbona huna taarifa kwa umma nini kiliendelea na nini matakwa yao? Hapa kwa maoni yangu ndo ombwe la uongozi linapoonekana! Redio zinasema na watanzania, Serikali inaogopa vipi? kuna agenda gani hapa?
 
mimi nimesoma kuliko wewe. mimi nina first degree nauza nyanya, Mkiristo f4 +Mtumishi mzuri wa kanisa tu kawekwa NECTA kUHUJUMU waislam. kama elimu inatumika tz Mimi ningalikuwa nafasi yake NECTA

Je umeiomba hiyo nafasi ukanyimwa?, Hiyo first degree katika fani gani, kama ni kuhifadhi Koran NECTA hawahitaji sifa hiyo. Kama umesoma elimu haijakukomboa! Elimu inatakiwa ikupe upeo wa kuishi katika mazingira yako siyo kungoja kuajiriwa! Hata kama leo serikali itaamua kuwaajiri waislamu wote waliosoma je hakuna watakaokosa ajira? Ikitokezea hivyo iweje! Someni Mkapa kawapa chuo, acheni kukaakaa na kulalamika na kuzua zua mambo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom