Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,419
- 100,654
Maskini weee moto umewageukia wenyewe kwa wenyewe.....mmmh haya
Mimi nadhani sensa imepangwa na kuendeshwa na serikali ya ccm ambayo inaongozwa na waislamu, kumbe tena imegeuka na kuwa ya CDM?nYIE SEMENI CHADEMA HADI MUMIIZE KICHWA. WAKIRISTO SI MJIHESABU TU KWA KUSHIRIKIANA NA SEREKALI?
Sasa mkishajua kuna waislamu wengi itawasaidia nini?
naona sasa povu litakuwa linagusa ndevu ulizofuga...ila na wewe utahesabiwa tuu hauna jinsi...pole sanakijiji cha vaertican kiliopo dar
Hivi wajumbe wa tume ya sensa huyu Ponda anadhani wanapatikananje na wanafanya kazi zipi?
99% ya wafanyakazi mashirika ya umma na serekali ni wakiristo. nchi yetu ni maskini. rushwa inazidi kukua. tukijua hivyo tutaka KEKI ya Tanzania iliwe kwa pamoja. hichi mnakikimbia. Tushakutambueni zamani.
hata PANGO ni gaidi, pia muuza UngaSasa huyu ni gaidi anatakiwa akamatwe.
Serikali naomba imuangalie huyu mtu ni tishio kwa usalama wa nchi.
harakati za waislam hazifanywi na bakwata. Waislam tunamuamini ponda
Malumbano kwani raisi wetu dini gani ona waislam walivyo TULIMPA MWINYI NCHI AKAIHARIBU KABISAAA,NUSU ATUUZE WOTE ,TUKAMP MKAPA AKAPERFOM VIZURI KABISAAA NA UCHUMI WA NCHI UKAPANDA TUKAMPA HON KIKWETE NOA SASA NDUGU YANGU SIUNAONA KAHARIBU KABISAAAAAAAAAAAAAAA .WATU WANAUTASHI WANAWAOGOPA SANA BURE NYIE WATU ,MIZIGO MNAJUA KULALAMIKA VITU HAVINA FACTS KABISA DU ,NANI KAKUAMBIA WAKRISTO KILA MWEZI TUNAPEWA HELA AU CHOCHOTE? KWANI MKIJULIKANA PMO WANGAPI NI RECORDS TU NDUGU YANGU . MSISHINDANE NA TAIFA LA MUNGU .SISI MUNGU ANATENDA WALA HATUTUMII NGUVU ,ONA SENSA NI ISSUE NDOGO ILA MNATUMIA NGUVU KWELI.NA WATU WATAHESABIWA BILA KUTAJA DINI, IF U CANT CONVINCE CONFUSEnDIO HOJA ZENU ZA KILA. MNAOGOPA MKIJUA WAISLAM WAPO WENGI HALAFU NYINYI NDIO MLIOSHIKA NCHI YENYE UFISADI WA KUTISHA. HAMNA JENGINE MNALOOGOPA.
vita vya panzi...Maskini weee moto umewageukia wenyewe kwa wenyewe.....mmmh haya
Sio ndio waliosoma? nchi maskini. rushwa inazidiMkuu hiyo "99%" umeitoa kupitia utafiti upi? Au umeropoka tu? Mnachoniudhi baadhinya watu ni kuelezea "opinion" zenu kama "facts".
furaha ya kanisa au chadema?vita vya panzi...
Sasa huyu ni gaidi anatakiwa akamatwe.
Serikali naomba imuangalie huyu mtu ni tishio kwa usalama wa nchi.
Kenya ,Zambia na Malawi wana raha sanaponda akaanze kusoma form one
Waungwana naombeni mniambie Sheikh Ponda ni mwenyeji mkoa gani hapa TANZANIA
Ok, kama harakat za waislam hazifanywi na bakwata, jibu maswali hapo chini
- bakwata ni nn? na kazi zake ni zp?
- Nani au wakina nani waliyeanzisha bakwata?
- viongozi wa bakwata wanapatkana kwa namna gani?
- chombo gani (kiongoz gani) chenye maamuzi ya juu dhidi ya uislam hapa nchini?
Sio ndio waliosoma? nchi maskini. rushwa inazidi