BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

Je umeiomba hiyo nafasi ukanyimwa?, Hiyo first degree katika fani gani, kama ni kuhifadhi Koran NECTA hawahitaji sifa hiyo. Kama umesoma elimu haijakukomboa! Elimu inatakiwa ikupe upeo wa kuishi katika mazingira yako siyo kungoja kuajiriwa! Hata kama leo serikali itaamua kuwaajiri waislamu wote waliosoma je hakuna watakaokosa ajira? Ikitokezea hivyo iweje! Someni Mkapa kawapa chuo, acheni kukaakaa na kulalamika na kuzua zua mambo!

these guys are very sturbone,kila kitu kulalamika tu,kwao kila kitu ni tatizo....mnataka dunia nzima iamini na kufuata mfumo wenu.msitusumbue jamani.
 
99% ya wafanyakazi mashirika ya umma na serekali ni wakiristo. nchi yetu ni maskini. rushwa inazidi kukua. tukijua hivyo tutaka KEKI ya Tanzania iliwe kwa pamoja. hichi mnakikimbia. Tushakutambueni zamani.

Kumbe mnataka sensa ya kidini ili muombee kazi! Sifa ya kuajiriwa ni elimu! Huwezi kuajiriwa kwa kigezo cha ukristo au uislamu. Kutendesha Komputa hatu-aply aya za korani au biblia. Kanuni zinafundishwa shuleni. Nenda shule sio madrasa!
 
Leo asubuhi sheikh ponda amepinga kauli ya mufti aliyoitoa jana akiagiza waislamu kushiriki ktk sensa ya mwezi agosti mwaka huu. akihojiwa na redio imaan iliyopo morogoro, sheikh ponda amesema kuwa bakwata ni moja ya taasisi za kiislamu hivyo mufti hawezi kuamua peke yake bila kuwashirikisha wajumbe kutoka taasisi nyingine.


"tulikutana dodoma na waziri wassira tukiwa wajumbe wa taasisi zaidi ya 10 za kiislamu, bakwata ikiwa moja wapo. msimao wetu ulikua mmoja kuwa hatutoshiriki sensa hadi yafanywe mambo mawili. la kwanza kipengele cha dini kiwekwe kwenye dodoso. la pili tume ya taifa ya sensa iwe na mchanganyiko wa wajumbe waislamu na wakristo. waislamu kwenye tume ni 20%." alisema ponda.


alipoulizwa nini kitaendelea akasema kuwa taasisi zote zinakutana leo na leo ama kesho watafanya press conference ili kuwaeleza watanzania maazimio yao. "Mufti amejidhalilisha. nina imani waislamu watafuata maelekezo yetu. mufti ataonekana jinsi asivyo fuatwa na kusikilizwa na waislamu wengi."


source: redio imaan
Kumbe Bakwata haina mamlaka yoyote!!
 
harakati za waislam hazifanywi na bakwata. Waislam tunamuamini ponda
Unaposema "waisilamu tunamuamini Ponda", kwani hao Bakwata sio waisilamu? Lakini mbona hao Bakwata hawamuamini Ponda?
 
nDIO HOJA ZENU ZA KILA. MNAOGOPA MKIJUA WAISLAM WAPO WENGI HALAFU NYINYI NDIO MLIOSHIKA NCHI YENYE UFISADI WA KUTISHA. HAMNA JENGINE MNALOOGOPA.
unaweza kuwajulisha wadau nyanja ambazo wakristo wameshika nchi???wingi au uchache au wingi mie hainipi shida kabisaa.shida katika hao wengi au wachache productive ni wangapi????
 
Sheikh Ponda kwa kuponda maisha hajambo! Tangu makanisa yachomwe moto Zanzibar kaachana na Uamsho, sensa ikija tayari yeye ni msemaji wa waislam, mara ni mtetezi wa mali za waislam sijui walifikia wapi na Manji. Kwa kifupi huyu sheikh Ponda anaudhaliliha uislam.
 
nDIO HOJA ZENU ZA KILA. MNAOGOPA MKIJUA WAISLAM WAPO WENGI HALAFU NYINYI NDIO MLIOSHIKA NCHI YENYE UFISADI WA KUTISHA. HAMNA JENGINE MNALOOGOPA.
waislam ndo wengi hii haina ubishi we cheki idad ya wanawake wanaooa...mtume wao tu alioa wanawake kumi ...mwslam anaia wanne na kila mwanamke akizaa watoto watatu...almost waislam ni mara nne yaa wakrstu
 
Jamaa wanaboer sana, sasa wanalalamika wapo 20%, ya waislamu kwenye board ya sensa nani aliwambia wajumbe wamechaguliwa kutokana na dini zao,? Au sasa wanataka % ngapi walizike?. Ila wajue kuna dini nyingi zaidi ya uislam na ukristo, Na ninavyo wajua kwa kujiliza wakipewa % wanayotaka wataanza mbona sunni ni wengi kuliko islamia, shiah or Ammadiah, Mnaakili za kuchinjia kuku tu.
 
unajua unaonekana huna akili kwa kitu unachokomaa nacho.

Let assume waislam wapo wengi what next,

Serikal inapopango sera ya maendeleo din haina nafas,(mahitaji yanafanana) sio waisla wote au wakristo wote kwa majina wanafuata iman za din zao.

Ndo maana ukienda bar utashangaa na roho yako.
hapo kwenye red..........sio kweli kwamba mahitaji yanafanana........
wengine wanahitaji ubwabwa zaidi ya wengine......STUKA!!!!
 
Pole sana inaonekana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.Hyo mwinyi amechukua nchi ukivaa KAUNGUZA,TV kwako ilikuwa anasa tunamsubiri nyerere akiangalia ndiyo aje kutuhadithia aonekane mtabiri.Hivi kuna kiongozi aliyeiuza hii nchi kama mkapa?kiwila,resolute,buhongwa,kahama,geita,mara,mashirika yote ya umma,hivi hata viongozi wako wa CDM huwasikii!! usiingie kichwa kichwa tafuta data kwanza mafisadi wanaiba serikalini wanapeleka church na bado mna MOU Halafu ss waislam tukae kimya ninyi siku zenu zinahesabika kitawaka tu labda mambo yabadilike mapema
 
kama mnajua haitusaidii kwa nini hamuweki.
huji hata umuhimu wa sensa unafanya nini humu kakojoe ulale
 
Si kawaida yangu kuchangia nyuzi zenye chembe za udini lakini naiona hatari mbele yetu.

Nadhani Sheikh Ponda kuna vitu havielewi au anavipotosha
1. Tanzania haikujengwa na dini mbili, kwahiyo alipaswa pia kutueleza wale wasioamini au wale wenye imani tofauti na ukristo au Uislam wamewakilishwa kwa uwiano gani

2. Je uwepo wa watu wa dini moja kwa wingi unasaidiaje kubadili au kuboresha matokeo ya sensa

3. Hivi Ukiitwa John, William, Ahmad au Zuhura inatosha kuwa wewe ni muumini wa dini fulani. Ni wapi katika vitabu vya dini zote imeelezwa kuwa ili uwe mkristo au Mwislam wa kweli lazima uitwe Jonathan au Mohamed

Vipi kama ninaitwa John na wakati huo huo ni muumini mzuri wa dini za asili au nyingine, ina maana utukufu wangu mbele ya mwenyezi mungu una walakini. Ni kwa mantiki hiyo kigezo gani anatumia kupata asilimia 20?
Je mjumbe anayeitwa Gugumilo Kisaboko Njenga, Sheikh Ponda amemweka katika kundi gani la wajumbe wa tume

Kwa mwendo huu ipo siku Sheikh Ponda atahoji kwanini uwiano wa madaktari, wanasheria au Wahasibu usiwe 50/50.
Mimi nadhani ifike mahali watu wanaotaka kuligawa taifa kwa misingi ya kipuuzi kama hawa sasa wadhibitiwe.

Wadhibitiwe ili waseme ukweli kama dini zinavyoagiza na si kuchomeka hisia za kidini kila uchao.
Si kila mtu anaweza kufanya analysis na kupuuza, wapo wanaomwangalia Ponda kama Role Model

Kuna tatizo serikalini, viongozi wa dini zote siku hizi wameacha kazi za utumishi wa mwenyezi mungu na kujiingiza katika mambo yanayoleta mtafaruku katika jamii. Sina maana kuwa wasiseme la hasha! bali kauli zao sasa zinafanya mtu mwingine aziangalie dini kwa jicho la wasi wasi, narudia dini zote pengine ukiacha za jadi tusiowasikia

Hayo ya kila mtu kuangalia dini kwa jicho lake tuyaaache kila mtu ashughulikie lakini hili la utaifa tusilikalie kimya,hii ni mbegu hatari.
 
hahaha. Hata thienry henry aliwahi kusema hayo. Sasa tunae

mkuu naskia kutakuwa na kongamano mwezi wa 8 la kupongeza ushindi wa rais muislamu aliyeshinda kwenye uchaguzi misri na kongamano hilo litafanyika dar. So inabidi na ss mtupe hizo kadi tuhudhurie.
 
jamani wapelekeni watoto wenu shule unaona watu wanavyozeeka vibaya huku ?tatizo ni elimu ndogo yeye anafikiri wajumbe wa sensa wanapatikana kama unavyochagua nyanya sokoni hii safi hii mbaya du!la hasha sensa its all about keeping recods watu wa recods management au hawajui maana halisi ya sensa ref:Sensa ya Watu na Makazi ni utaratibu wa kupata na kurekodi habari kuhusu watu na makazi yao.
jamani ni kweanini hawa watu wanapend a kulazimisha mambo jamani mfano:zimetolewa nafasi hizo watu wakaaply vigezo vimezingatiwa waislam hawakumeet reqremt je tuwachukue watu watakao tuharibia sababu yakuogopa minung'uno yao?MWAMBIENI HIVI HII NI DUNIA NYINGINE SIO ILE ALIYOZALIWA YEYE KUMEKUCHA ,AMUULIZE NYERERE KWANINI ALIACHIA MADARAKA ,ALIONA DUNIA ALIYOIZOEA NA WATU ALIOZOEA KUWAONGOPEA SIO TENA NI KIZAZI KIPYA .SO ASITULETEE HAPA !AKHA

Hapo kwenye nyekundu, sensa ni record management????!!!
Nafikiri ungesema it is all about Statistics precisely demography. Record management ni vitu vingine
 
Hakuna anaepotoshwa na viongozi wa dini hasa za kikristo.na hakuna mwenye chuki na uislam wala uislam siyo mbaya isipokuwa unadhalilishwa na waislam wenzako ambao wameufanya uislam uonekane kuwa amani na uislam ni sawa na maji na mafuta ya taa.umetoa ushauri mzuri lakini unatakiwa uwashauri akina ponda wanao udhalilisha uislam wenu.

Nakubaliana sana na wewe,kwa sababu huwa napata shida sana kuhusu mafundisho ya uislam na amani mbona havina uwiano?utasikia mara al shabab,boko haram,al quida na sasa uamsho vyote vinaona fahar kuuwa watu na waislam hata hawatoi matamko kulaani.sasa kama viongozi ndio ponda nakubaliana na wewe shida sio uislam bali aina ya viongozi.waweke hata kigezo cha elimu dunia kwa hawa viongoz wao labda manunguniko yatapungua maana wataelewa ukweli badala ya kuishi kwa hisia mara mfumo Kristo(ambao hakuna mwenye maelezo yanayoeleweka).Huwa najiuliza kama Wakristo wangekuwa kama Waislam dunia ingekalika?Si tungeisha jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom