Head teacher
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,796
- 413
Mtanzania mwenzangu nakuhusia jambo moja, usome UISLAMU mwenyewe usikubali kupotoshwa na viongozi wako wa dini. Ukiusoma vizuri na kuelewa utagundua kuwa kuna tofauti ya matendo ya waislamu na uislamu unavyotaka. Inawezekana waislamu wakakuboa lakini naamini uislamu hautakuboa. Kwa kusoma mwenyewe na ukauelewa uislamu natumai utaingia katika lile kundi kubwa la watu wa aina mbali mbali dunia waliosilimu na wanaendelea kusilimu, na baadhi yao walikuwa na chuki na uislamu kuliko hata wewe lakini baada kuona ukweli wakaufuata.Namalizia kwa maneno haya, USOME UISLAMU UELEWE, utafaidika duniani na akhera.
Hakuna kizuri kwenye uislamu sana sana ni kupagwa na majini na kupata frustration za inferiority