Mussa Mussa
Senior Member
- Jan 10, 2012
- 138
- 42
Akili zenu zimeganda kwa kuwa idadi ya waislamu au wakristu haitusaidii kwa lolote. Ujinga mtupu
USAHURI WANGU
NI wakati muafaka tuache kuweka majivu kwenye moto tukidhani umezimika. UKWELI NI KWAMBA KIJANA WA KIISLAMU ANAPOKWENDA SERIKALINI KUOMBA KAZI, hujihisi kwa anakwenda parokiani. na akitaja jina la kiislamu, huangaliwa na walakini. hili jambo linawasononesha waislamu kuwa hivyo katika nchi yao licha ya kupigania UHURU WA NCHI HII NA KUMPOKEA NYERERE DSM NA KUMKABIDHI TAA KISHA TANU
nimeandika kwa nia njema. nitafurahi nikijibiwa kwa hoja bila ya ushabiki wa kidini wala matusi
jk halali kwa kweli
hivi hamwezi kuhesabiana ninyi kwa ninyi? mbona kila kanisa linajua lina waumini wangapi active na inactive, ninyi mmeshindwa nini?
Htutaki wingi mkuu.Unajua maana ya demography katika sensa? Katika mipango ya serikali ni pamoja na kutenga maeneo ya ibada,maziko nk.na hya hufanywa kwa kuangalia wenyeji wa mji au kijiji fulani ni composition yao kidini ikoje.Pia kwenye bajeti ya jana uliona jinsi walivyoongeza kodi katika vileo.sasa huoni kuna umuhimu pia wa kujua idaid ya walevi nchini ambao hupambanuliwa na dini zao?au we pia ni mlevi? hata kama we ni mlevi bado katika sensa kuna provision of error
Acha kuendelea kudhirihisha ujinga wako halafu eti unatamba 'sayansi ndio anga zangu' sijui naongea non-sense...sishangai, kwani sayansi kwa mbumbumbu is always non-sense. Hata wagunduzi wakubwa kwenye sayansi zamani hizo walikuwa wanaonekana 'non-sense' na vichaa sababu ya idea zao!
Turudi kwenye mada:
Red - Mimi ni Public Health Specialist, Statistics na Demography ni eneo la profession yangu, usiulize kama nimewahi kufanya research...I am researcher, naweza kupa links za publications zangu kwenye international journals na WHO bulletin
Blue - Unajitia aibu...unaongelea 'Gender' au 'Sex'? Hivyo ni vitu viwili tofauti, nadhani unataka kuongelea Sex lakini unaconfuse na Gender...Gender is a very wide subject with lots of evidence-generating research done and other going on..kuna watu wana PhDs za mambo ya gender! Gender sio 'Mwanamme' na 'Mwanamke' tu, it goes far beyond that my brother!
Green - Unazidi kuthibitisha ujinga wako...Sex (au gender kama unavyong'ang'ania kuita) na dini ni vitu viwili tofauti kabisaa. Sex is BIOLOGICALLY determined, its either male or female (hata uwe gay, lesbian, trans-sexual, she-male etc), it is GENETICAL.....unlike Dini which is SOCIALLY determined! Unaposema variables gender/sex na dini hazina tofauti wakati moja iko influenced socially with number of factors na nyingine absolutely haina social influence, nadoubt kama wewe ni mwanaSayansi kama unavyotamba!
Purple - Hapo kwenye purple ni uthibitisho kuwa huna idea yeyote kuhusu research. Primarily kabla hujafanya research, ni lazima u-define clearly your variables of interest, kwamba utakaposema kwenye reseach yako fulani ni dini fulani...basi ina maana ana vigezo (criteria) moja, mbili, tatu etc. ili kuondoa bias. Na kwa kumuuliza mtu 'wewe dini gani' (kama unavyosuggest) naye ajibu 'muIslam' au 'mKristo' bila kuzingatia vigezo vya dini ya kiIslamu kuita mtu muIslam au vigezo vya dini ya kiKristo kuita mtu mKristo..then hujawa na evidence kuwa kuna waIslam au waKristo wangapi sehemu husika!
Tatizo lenu jingine! mmejisahau kabisa kuwa Waislamu nao ni Watanzania!........Hii nchi bora igawanywe kimajimbo tu (ya Kiislamu na Kikristo) ili kuukata huu mzizi wa fitna.
Naona watu mnabishana kitu ambacho kwanza hakina ubaya wowote. Sensa ni ya WATU sio nchi (na watu wake wana dini) hivyo unapotaka kuhesabu watu hakuna ubaya wowote kuweka vipengele hivi ikiwa leo hatutumikii tena siasa ya UJAMAA (Socialism). Hata Wachina na Warusi wao walikataza kabisa na kusema nchi yao haina dini na hata watu wake hawatakiwi kuwa na dini, haya yalikuwa ya miaka ile ya vita baridi. Hivi sasa Wakristu na Waislaam wapo na wanahesabiwa maana lengo la sensa ni kuwajua watu wake kwa makundi ya kijamii.
Kupinga hoja ya Waislaam ni kuonyesha hofu na mashaka ktk matokeo na kama hakuna tunapinga kitu gani ama kutakuwa na ubaya gani kama kipengele hicho kikiwekwa?. Maana kila siku humu JF ubishi ni kuhusu asilimia ya Waislaam na Wakristu, basi bora sensa hii iondoe ubishi huu. Halafu pia sidhani kama sensa haina kipengele cha Jinsia, Kabila, uzawa na kadhalika (haina maana wanatengwa) kwani sensa hii itaweza tu kutufahamisha Tanzania ina wazawa wangapi na wageni wahamiaji wangapi na kwa vipengele vipi. Pasipo vipengele kama hivi utaweza vipi kumhesabu Mkenya au Mrwanda aliyehamia Tz. na vile vile wao wanaweza kusema kabila la nini mbona mnatutenga? Kesho inawezekana tukawa na duo citizenship tutaweza vipi kumtenga Mmalawi ambaye anadai Utazania?.
Kwa hiyo ndugu zangu tuyapokee malalamiko ya watu kwa fikra huru, sii kujifungia ktk sanduku la Udini hata ktk jambo dogo ambalo haliwezi kubadilisha maisha yako isipokuwa kuweka record ya usahihi wa watu wake ktk jamii zao. I wouldn't mind kuwepo vipengele vyote muhimu ktk utunzaji wa record za sensa ambayo kitaalam inatakiwa kuwa na majibu yote.
Hata nikikutajia haitasidia kwa vile huwezi kuthibitisha.Kwa mfano nikikwambia natokea Ukerewe utathibitishaje?
Tatizo lenu jingine! mmejisahau... Waislamu nao ni Watanzania!..Hii nchi bora igawanywe kimajimbo tu (ya Kiislamu na Kikristo) ili kuukata huu mzizi wa fitna.
Dawa ni kuigawa hii nchi baina ya Waislam na Wakristu halafu baada ya miaka miwili utakuja kuniambia ni watu wa dini ipi watakuwa wanazamia kwenye nchi ya dini tofauti na wao.
Usingetumia neno "kulazimisha" kwa sababu haliingiliani na hali yenyewe!
Vilevile kwa wapenzi wa demokrasia watakwambia kuwa kuheshimu uamuzi wa Waislamu katika hali kama hii ni kukomaa Kidemokrasia.
Kubali na heshimu uamuzi wao Mkuu!
Usingetumia neno "kulazimisha" kwa sababu haliingiliani na hali yenyewe!
Vilevile kwa wapenzi wa demokrasia watakwambia kuwa kuheshimu uamuzi wa Waislamu katika hali kama hii ni kukomaa Kidemokrasia.
Kubali na heshimu uamuzi wao Mkuu!
Jamani mm naona kwa jicho tofauti kidogo hili la dini kwenye sensa.kama issue ni kujua idadi yao ili waweze kupeana huduma za kidini,kwa nn wasianze kupeana hizo huduma Zanzibar maana bila sensa kule waislam ni wengi?isije kuwa kuna ajenda ya kutaka kujua idadi yao ili waanzishe vugu vugu kama la mahakama ya kadhi ili wadai wananchi wapige kura?jaman tafakar.mm sioni umuhimu wa kipengele cha dini kwenye sensa kama hii kwani kwa hali ya tz ya sasa amani tunayo midomoni sio mioyoni mfano mzuri ni wanauamsho kuchoma makanisa.tafakari chukua hatua.