proisra
JF-Expert Member
- Jun 14, 2012
- 215
- 159
==================Ni heri usingekuwa na hiyo PhD. maana unatoa mawazo ambayo ni questionable, una PhD lkn bado umejificha kwenye chungu cha udini as if udini unakuletea ugali nyumbani kwako, funguka toka kwenye hicho chungu, vunja hicho chungu utoke na uaachane na mawazo mgando. Ktk ushabiki wa dini kuna vitu viko nyuma ya pazia. Unaukumbuka ule wimbo uliokuwa unaimbwa na Mohamed Said na kuitikiwa na akina FF, Barubaru nk; Serikali ilipotoa taarifa rasmi ule wimbo ulikoma mpaka leo. Unakumbuka wale jamaa zako ambao kila iitwapo leo walikuwa hapa mtandaoni wakidai kuwa Waislam ndio wanaoongoza kwa kulipa kodi. Kumbuka serikali ilipotoa orodha ya wanaoongoza kulipa kodi kuwa ni walevi, wale jamaa zako walifungasha virago na sio ajabu nawe huenda ulikuwa mmoja wao.
Kama hiyo idadi ya MUSLIMS ni muhimu sana waambieni viongozi wenu wa dini wafanye sensa ya waumini wao walio hai kiroho, takwimu ziletwe hapo BAKWATA,mbona ni rahisi sana kupata idadi hiyo.
Udini na ukabila vinasaidiaa nini ktk kupanga maendeleo ya jamii. FUNGUKA MKUU VINGINEVYO WW UTAKUWA MOJA YA WATU HATARI SANA KWA USALAMA WA NCHI
huyo bwana anasema ana PhD wakati anatoa mapovu mdomoni wakati anaandika hapa? Haya ni maajabu 7 ya mwaka 2012. Usomi wake wa kukariri au kuibia. Kama ni mkweli aweke hadharani details zake tumpime. Inawezekana kama kweli ni PhD ya ukweli kabisa, basi itakuwa imetolewa na kile chuo chao kikuu cha pale Msamvu Morogoro (Muslim University of Tanzania), wako wengi wanaotoa mapovu midomoni kama huyu.
