BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

..tena wanashangaza!hiyo ndo kazi ambazo wakristo wanafanya kusaidia kuleta maendeleo,leo mtu anakurupuka,eti,kodi za watz!hebu muogopeni mungu,lol!

Tatizo wakikutana kwenye vibanda vya kahawa nje ya msikiti wanajiona wako wengi sana na mara nyingi ni wale wasioenda shule huwa wanashinda kwenye vibanda vya kahawa kwa sababu hawana la kufanya hii ni matokeo ya kutokuwa na elimu, mbona si waaangalie nchi zenye waisilamu watupu kama vile somalia, syria, bahrain, yemen, iraq, afghanistan,egypt, libya nk kuna nini hukooooooo? hapo ndio mjue Mungu anatoa adhabu hapa hapa duniani na iko siku Yesu atarudi na ndio watajua Mungu ni nani. endeleeni tu na makelele
 
Taarifa ya "International Religious Freedom Report 2009" kutoka Marekani Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor kwa mwaka 2009 unaotaja 62% ya Watanzania kuwa Wakristo, 35% Waislamu na 3% wafuasi wa dini nyingine.[
WIKIPEDIA
 
Nimekaa mikoa mingi sana tanzania
Dar es salaam waisilamu 50% wakristo 50%
Morogoro Wisilamu 30% wakristo 70%
mbeya waisilamu 3% wakristo 97%
Iringa waisilamu 10% wakristo 90
mwanza waisilamu 6% wakristo 94%
Shinyanga waisilamu 3% wakristo 97
mtwara waisilamu 60% wakristo 40%
lindi waisilamu 60% wakristo 40%
rukwa waisilamu 3% wakristo 97%
kigoma waisilamu 60 wakristo 40%
ruvuma waisilamu 3% wakristo 97%
mara waisilamu 2% wakristo 98%
kilimanjaro waisilamu 1% wakristo 99%
tanga waisilamu 60% wakristo 40%
kagera waisilamu 25% wakristo 75%
zanzibar wailisalamu 97% wakristo 3%
Dodoma waisilamu 5% wakristo 95%
Singida wasilamu 15% wakristo 85%
Tabora waisilamu 50% wakristo 50 %
Jumla waisilamu ni 18% wakristo 82%
HII NI TAKWIMU YANGU BINAFSI
haya jumlisheni mupeleke haya matokeo bakwata, nadhani watayafurahia
Hii ni takwimu kabla mikoa mipya haijaundwa
 
Kwani, wanashindwa kutafuta wafadhili wa kuwaendeshea sensa zao? kama wanataka kujua idadi ya waumini wao wasiogope kuingia mfukoni, hii sensa inagharamiwa na fedha za wananchi wa tanzania, sio waisilamu wa tanzania. wasipende vya kuteleza. watapitiliza kwao. jaman kila siku nyie tu?
 
Kweli kabisaaa! Kwanini wanailazimisha serikali iwafanyie kazi ambayo haina manufaa kwa taifa halafu kwa gharama za taifa zima? Kama vipi wachangie gharsma ktk kufanikisha hili zoezi maana serikali haina manufaa yoyote kwa kujuwa idadi ya waumini wa dini fulani. Wawatumie mashehe wa misikiti yao watapata idadi. These people are narrow minded and they are always thinking of utengano ktk jamii. Huwezi ishi ukiwa unajitosheleza kwa kila kitu hapa duniani, kama hutakula unga wa kafiri, utatumia dawa ya meno kutoka kiwanda cha unayemwita kafiri, utaoa mtoto wa unayemwita kafiri, utafanya kazi kwenye kampuni/kiwanda cha unayemwita kafiri n.k. Kwanini tutenganishwe na dini za kuletewa? NI UJINGA TUUUU!!
Wewe kweli ni Mweupe! Kwani waislamu hawalipi kodi hiyo ambayo inatumika kufanyia sensa hadi wachangie tena kwenye zoezi hilo?? Kuna kinachotakiwa kufichwa hapa??
 
Kama wanataka kujua idadi yao wahesabiane huko misikitini na kwenye mihadhara yao ya kupanga mbinu za kulipua makanisa.
Bakwata ndio msemaji wa waislam wote? au chama lao tu kama mwinyi alivyosema kikundi flani kisijichukulie kuwa ndicho wasemaji wa watu wote kwani watu hawafanani kimtizamo.....

Ndugu Douglas Msikitini ni sehemu ya kuabudia tu wacha upuuzi wako
 
Nimekaa mikoa mingi sana tanzania
Dar es salaam waisilamu 50% wakristo 50%
Morogoro Wisilamu 30% wakristo 70%
mbeya waisilamu 3% wakristo 97%
Iringa waisilamu 10% wakristo 90
mwanza waisilamu 6% wakristo 94%
Shinyanga waisilamu 3% wakristo 97
mtwara waisilamu 60% wakristo 40%
lindi waisilamu 60% wakristo 40%
rukwa waisilamu 3% wakristo 97%
kigoma waisilamu 60 wakristo 40%
ruvuma waisilamu 3% wakristo 97%
mara waisilamu 2% wakristo 98%
kilimanjaro waisilamu 1% wakristo 99%
tanga waisilamu 60% wakristo 40%
kagera waisilamu 25% wakristo 75%
zanzibar wailisalamu 97% wakristo 3%
Dodoma waisilamu 5% wakristo 95%
Singida wasilamu 15% wakristo 85%
Tabora waisilamu 50% wakristo 50 %
Jumla waisilamu ni 18% wakristo 82%
HII NI TAKWIMU YANGU BINAFSI
haya jumlisheni mupeleke haya matokeo bakwata, nadhani watayafurahia
Hii ni takwimu kabla mikoa mipya haijaundwa

Kwa sababu ya watu wapuuzi kama nyie ndio maana bakwata wakataka sensa ili kuondoa hii fitina ya kufikiria.

Mikoa mengine siijui ila naelewa kua wakaazi wa dar ni zaidi ya 50% na Zanzibar Wakristo si zaidi 1%.

Nimegundua kua Wanajamiiforam wengi kama hawana chuki binafsi na kila lihusulo uislam basi wana udhaifu wakufikiria.

Na inaonekana Wanajamiiforam wana shauku ya kimaendeleo ila hawajui kua maendeleo hupatikana kwa kusaidiana na tafiti mbalimbali,na tafiti hazifanyiki bila ya kujua watu husika ni nani? Mfano Mwaislamu, wakristo, wapagani, marasta, wasiokula nyama,wachaga, wandengereko,nk.

Mfano: niliwahi kuona utafiti uliofanya na wanafunzi wa vyuo vya marekani Tanzania mkoa wa Mbea uliohusu ugonjwa wa ukimwi.

Utafiti ulisema kua wanaume wengi walioambukizwa ukimwi Mkoani Mbea ni wele waliokua hawakutahiriwa ukilinganisha na mikoa mengine ya Tanzania.

Utafiti huu ulisaidia kuonyesha kua Kumbe ngozi ya uume inaficha uchafu na uwezekano wa kupata mazadhi ya ngono ni rahisi. na watafiti walishauri watu wote Tanania watahiriwe.

Lakini pia kujua dini ni sehemu ya utambulisho wamtu kama ilivyo jina,jinsia au umeoa/umeolewa na unapoishi.au na haya pia hayatasaidia yaachwe kwenye sensa? kuwacha kujua dini na kabila ya mtu kwenye sensa sensa haitakua na maana na itakua basi watu wapewe namba baada ya kuulizwa jina kama lengo ni kujua idadi ya watanzani tu.

Sasa kuorodhesha dini na makabila ni jambo zuri sana kwa kusaidia maendeleo ya taifa na hii Itasaidia watafiti kwa baadae kua kwanini watu wa jamii fulani au kabila au dini wanakua hivi. mfano wanaumwa na aina hii ya ugonjwa.

Jambo kama hilo si jukumu la Taasisi ni jukumu la Serekali kuu.

Naishauri serekali isipuuze mawazo ya bakwata kwa hili na inngie ndani zaidi kujua hata makabila ya watu na makaazi yao.
 
Hivi ni tangu lini sensa ikawa ni hiari ya mtu binafsi kuamua? Where is the government? Nimechoka kusoma malumbano yanayotia kichefu chefu huku jamvini-mara fukuza yule weka huyu, mara tunafelishwa, mara hili mara lile. Hii serikali yetu isipokuwa makini na kutumia madaraka tuliyoipatia na sheria zilizopo kutoa maamuzi ya haraka tutafika kubaya.

Inabidi tukumbuke samaki mkunje bado ngali mbichi. Huwezi kumfundisha adabu mtoto kesha fika miaka 15-inabidi uanze mapema ili akifika miaka hiyo awe anajua lipi baya na nzuri. Sensa siyo hiari. Ni lazima kila mtu kushiriki kwenye sensa na kama hatoshiriki achukuliwe hatua.

Hizi ***** ***** za kila siku ni lazima zikemewe ili zikome. angalia leo tunaambiwa kuna Al-qaida amekamatwa Tanzania - je huyu alikuwa ni mgeni wa nani? Ni lazima kuna kikundi fulani cha watu kinajaribu kutingisha kiberiti na kama serikali yetu itaendelea kulala muda si mrefu hiki kiberiti kitatumika kuwasha moto. Ni hayo machache tu na nina hasira sana na viongozi wetu legelege.

Mungu ibariki Tanzania na wabariki wale wote ambao wako katika mapambano ya kutuokoa na janga la nyinyiemu.
 
Hii nchi haiwezi kuwa ya kidini kamwe kama hawa waislam wanavyotaka na waache kuhangaika nawashauri wasome
 
Wewe kweli ni Mweupe! Kwani waislamu hawalipi kodi hiyo ambayo inatumika kufanyia sensa hadi wachangie tena kwenye zoezi hilo?? Kuna kinachotakiwa kufichwa hapa??

Acheni uvivu wa kufikiri bwana! ifikie mahali muone aibu! Zanzibar ambako mmejaa wenyewe lakini bado wakristo 3% wamekuwa kero kwenu hadi kuchoma makanisa yao! Mahakama ya kadhi mnataka serikali iwalipie, sensa ya kujua idadi yenu mnataka serikali iwalipie, kujenga vyuo mpaka serikali iwape majengo! Fuatilia kwa makini katika sehemu ambazo ziko nyuma kimaendeleo ni zile ambazo zimekaliwa sana na waislam! kwa nini? waislam wengi ni wavivu na hawapendi kufanya kazi mnategemea kulalamika na kupewa vitu! ACHENI UVIVU TAFUTENI FEDHA ZA MAMBO YENU!!!!!!!!

 
Maamuzi ya kupinga sensa? Itakuwa ni ujinga usiopingika kama unakuwa ni mnafiki wa mambo yenye maendelea bila sababu yeyote ya msingi ntashindwa hata kuwashangaa na hata wewe unaewasapot
Tatizo la waisilamu ni kupenda kuishi kwa hisia badala ya facts. Katika ya jamhuri inasema serikali haina dini tafsiri yake ni kwamba hakuna jambo hata moja litakoshughulikiwa kw amisingi ya kidini na ndio maana hata ukienda hospitali hawaulizi dizi zetu, na ikumbukwe sensa ni kwa ajili ya maendeleo na si vinginevyo waseme kutokuwepo kwa kipengele cha dini kitaathiri nini kupanga maendeleo ya nchi.

Unajua kama wangepata washauri wazuri wangewasaidia maana ukiweka variable ya dini unaweza kuinganisha na variable nyingine nyingi mfano hali ya ndoa, idadi ya wategemezi, kiwango cha elimu ukaja ukafanta analysis ukaguandua waisilamu wengi wameishia darasa la saba, waisilamu wengi wanajishugulishs na kupiga debe stand hapa ndipo watu wahisi amani inaweza kutoweka.

Baada ya hapa tena watakuja na hoja kujua misikiti ipo mingapi? waache usumbufu fedha za sens zinachangiwa pia na wazungu.wanamisimamo yao pia katika kazi hii.
 
Weka hizo data za sensa ya 1957, usilete mambo ya kwenye vijiwe vya kahawa hapa

kwi kwi kwi, yaani uliyecomment hapo juu umenichesha hadi basi. But you made my day. lol. Yaani km ni kuchemsha hawa bakwata hapo ni mvurugo. Kwani mkishajijua mko wengi then what next...... kama mnataka kujua mko wangapi nendeni kwenye magereza mkahesabu wafungwa ndo mtajua kama mko wengi au wachache. mlitakiwa kwanza kujiuliza km kweli mko wengi kuliko wengine, ni nini contribution yenu kwenye maendeleo ya taifa hili? just nonsense!!!!
 
Wewe ni great thinker, soma vizuri between the lines sio unakurupuka, wamesema kama haitawekwa kipengele cha dini watakataza watu wao wasishiriki na hili limetokana na WAKATOLIKI kutoa takwimu zao kuwa wakirisito wako wengi zaidi ya waislmu WANAULIZA NA WEWE JIULIZE usiwe mshabiki tu kwa kuwa si muislamu, WAPI WAMEPATA TAKWIMU HIZO? na KWANINI WATOE TAWKIMU ZA DINI? jibu ni kwa sababu wanataka kujustify kuwa tofauti ya waajiriwa serikalini ambayo inaonesha wakirisito wapo wengi ni kwa sababu hata hesabu inaonesha kuwa waislamu wachache nchini! HILO HALIKUBALIKI, watuelze WAPI WAMEPATA HIZO TAKWIMU, na kuondoa wasiwasi huo basi sensa iweke hicho kipengele KWANINI MNAOGOPA?

Kumbe ndo uoga wenu kuwa serikalini kuna wakristo wengi kuliko waislamu? Siyo serikali tu ni kwenye sector zote wakristo ndo wengi kuliko waislamu na sababu inajulikana kama wewe huijui basi na wewe inaonekana ni kati ya wale ambao wamesoma elimu ahera mkaisahau elimu dunia ambayo ndo kigezo cha kufanya kazi serikalini. Bye
 
Kumbe ndo uoga wenu kuwa serikalini kuna wakristo wengi kuliko waislamu? Siyo serikali tu ni kwenye sector zote wakristo ndo wengi kuliko waislamu na sababu inajulikana kama wewe huijui basi na wewe inaonekana ni kati ya wale ambao wamesoma elimu ahera mkaisahau elimu dunia ambayo ndo kigezo cha kufanya kazi serikalini. Bye
Hivi kama hicho kipengele kikiwekwa na ikaonekana Waislamu ni wachache ina maana mtakaa kimya na kuona sawa kama mnadhani mnaonewa??? Kama mkionekana ni wengi ina maana mtadai upendeleo wa kupata vyeo serikalini hata kama hamna qualification? Nchi haziendeshwi hivyo.
 
Kama wanataka kujua idadi ya waumini wa dini zao wafanye sensa kwenye misikiti yao. Hili la kutaka kutuvuruga kwa misingi ya dini tulipinge kwa nguvu zote.

Hata hivyo nachelea kusema kuwa haya ni matokeo ya chuki za kidini zilizochochewa na kupandikizwa na ccm na serikali ya JK kwa malengo ya kisiasa. Huyo sheikh anapata wapi ujasiri bila kukemewa na serikali? Ina maana JK haoni upuuzi huo? Tusidanganyane hapa, JK na serikali yake wanajua kinachoendelea na ndo maana hawakemei hili.
 
Hakuna maana sensa ya dini,huku ni kufilisika kimawazo,kimtazamo n.k sensa hii wanayodai itazidi kuwaumiza roho kwasabau kuna wimbi kubwa zaidi la watu wanatoka uislam na kuingia ukristo kwasababu hiyo idadi ya wakristo ni kubwa,watu wamechoka kutumikishwa na kuteswa na majini na hivyo wanatafuta pumziko la kweli lenye uhuru,amani,furaha ambalo ni Yesu kristo pekee......


Itakapojulikana idadi ya waislam ni ndogo itaongeza chuki na kuwasha hasira mara mbili na kuwafanya wazidi kuchoma makanisa zaidi na zaidi......Amani kivuli tuliyonayo itapotea kabisa baada ya hapo tutaanza kutafutana mchawi nani...


Ombi langu kwa Rais awe na msimamo mkali wa kulinda na kutunza amani hii,Amani itakapovunjika yeye anahusika na hatuweza kukubali tutakufa nae.
Aweke mbali Uislam wake na apinge vikali haraka matakwa haya waislam wenzake kwa maslahi ya Taifa hili. Kuchelewa kuongea kama mgomo ule madktari....kwa hili madhara yake makubwa sana.
................................... HABARI NDO HIYO!................................... ....
 
Wengi mnapindisha pindisha! Lakini lengo kuu la kujua idadi yao ni kutaka kuibadili nchi iwe ya kiislamu, wakishajua idadi yao wataanzisha lingine la kutaka ipigwe kura ya kutaka nchi iwe ya kiislamu au la na hapo ndiyo katiba mpya inafuata. Mark my words!!

WEWE KWELI UMESEMA. mAANA WAISLAMU KILA NCHI HUTAKA KUJUA WAKO WANGAPI HALAFU KUTAKA KUWAFANYA WAKRISTO KUWA NI RAIA DARAJA LA PILI. Ona kano na kaskazini kwa Nigeria wakristo walivyofanywa na mpaka kuuwawa kama kuku. wanataka kuleta sharia kama kula kano.
 
Kwa sababu ya watu wapuuzi kama nyie ndio maana bakwata wakataka sensa ili kuondoa hii fitina ya kufikiria.

Mikoa mengine siijui ila naelewa kua wakaazi wa dar ni zaidi ya 50% na Zanzibar Wakristo si zaidi 1%.

Nimegundua kua Wanajamiiforam wengi kama hawana chuki binafsi na kila lihusulo uislam basi wana udhaifu wakufikiria.

Na inaonekana Wanajamiiforam wana shauku ya kimaendeleo ila hawajui kua maendeleo hupatikana kwa kusaidiana na tafiti mbalimbali,na tafiti hazifanyiki bila ya kujua watu husika ni nani? Mfano Mwaislamu, wakristo, wapagani, marasta, wasiokula nyama,wachaga, wandengereko,nk.

Mfano: niliwahi kuona utafiti uliofanya na wanafunzi wa vyuo vya marekani Tanzania mkoa wa Mbea uliohusu ugonjwa wa ukimwi.

Utafiti ulisema kua wanaume wengi walioambukizwa ukimwi Mkoani Mbea ni wele waliokua hawakutahiriwa ukilinganisha na mikoa mengine ya Tanzania.

Utafiti huu ulisaidia kuonyesha kua Kumbe ngozi ya uume inaficha uchafu na uwezekano wa kupata mazadhi ya ngono ni rahisi. na watafiti walishauri watu wote Tanania watahiriwe.

Lakini pia kujua dini ni sehemu ya utambulisho wamtu kama ilivyo jina,jinsia au umeoa/umeolewa na unapoishi.au na haya pia hayatasaidia yaachwe kwenye sensa? kuwacha kujua dini na kabila ya mtu kwenye sensa sensa haitakua na maana na itakua basi watu wapewe namba baada ya kuulizwa jina kama lengo ni kujua idadi ya watanzani tu.

Sasa kuorodhesha dini na makabila ni jambo zuri sana kwa kusaidia maendeleo ya taifa na hii Itasaidia watafiti kwa baadae kua kwanini watu wa jamii fulani au kabila au dini wanakua hivi. mfano wanaumwa na aina hii ya ugonjwa.

Jambo kama hilo si jukumu la Taasisi ni jukumu la Serekali kuu.

Naishauri serekali isipuuze mawazo ya bakwata kwa hili na inngie ndani zaidi kujua hata makabila ya watu na makaazi yao.

Kuanzia kutangazwa kwa tamko la bakwata, nimeamini ukiwa muislamu usiye makini basi ni ujinga/upumbavu uliokubuhu. Hebu tuambie, tufafanulie, kujua dini ya mtu, kabila mtu kuna tija gani katika kupanga mipango ya maendeleo? fafanua vizuri hapo, na ukishindwa basi usiseme nimekiuka jamii forums rules kuwa kukuita wewe ni JUHA.

Ninachokiona nyuma ya pazia, kuna vitu vya kijamii ambavyo waislam hawavitaki kuwepo kwenye jamii. sasa wanataka kutumia kigezo cha sensa kushinikiza kujua na dini ya mtu, ili kwa yale wasiyoyapenda au yanayokinzana na iman yao basi wayapinge na itakuwa wakigomewa wanasema tupige kura ya maoni.

Lakini kwa jinsi waisamu walivyo walalamishi sana, mwisho wa siku matokeo yakitangazwa, ambapo naamini wakristo watakuwa wengi kwa asilimia kubwa, waislamu watayakataa matokeo hayo kwa visingizio kuwa waliohesabu au waliohusika kwenye sensa, wengi ni wakristo-(halina ubishi kwani watakao husika ni walimu tena wengi wa shule za msingi) na mkurugenzi wa sensa ni mkristo. waislamu hamna jipya kwa sasa.

Ndio maana tunawashauri, fanyeni sensa ndani ya misikiti yenu, mtapata idadi yenu kikamilifu kabisa, tena idadi mtakayoipata itaamua wakristo na watu wa dini nyingine wako wangapi. Wacheni kujizungusha kama vile hamna akili ya kufanya mambo yenu. Iweje yanayowahusu ninyi, na sio jamii ya watanzania matake serikali ya watanzania iwasiadie?
 
Mimi nadhani acha tuwape ushindi ili waridhike na matakwa yao ya kijinga. Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inao Waislam 100%. Hakuna Wakristo, Wapagani wala Dini nyingine yeyote. Hapo je mmeridhika?

Jamani ni lini waislam wataacha vituko na chokochoko zisizo na maana? Mnataka kutupeleka wapi? Ni Mungu yupi mnaye mwabudu wenzetu? Je Mungu wenu ni shari na fujo kila wakati? Au mnataka kutuaminisha kuwa uwezo wenu na viongozi wenu mdogo sana kiasi cha kushindwa kujitambua kuwa ninyi chanzo cha vurugu duniani kote?

Tumechoka na UJINGA WENU TUACHENI TUISHI KWA AMANI NA UPENDO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom