Yani misikiti hujengwa na halmashauri? Chakula kinalimwa na serikali ili wawape wakati wa ramadan? Hebu kuweni na akili, waislam yani mnakuwa na mambo kama ya watoto! Au mke mdogo! Kila siku malalamiko dah! Haya wakristo tutachanga pesa tuwaletee mihogo na tende wakati mnashinda njaa mchana maana usiku mzima mnakula kama mchwa!
Acha kuendelea kudhirihisha ujinga wako halafu eti unatamba 'sayansi ndio anga zangu' sijui naongea non-sense...sishangai, kwani sayansi kwa mbumbumbu is always non-sense. Hata wagunduzi wakubwa kwenye sayansi zamani hizo walikuwa wanaonekana 'non-sense' na vichaa sababu ya idea zao!
Turudi kwenye mada:
Red - Mimi ni Public Health Specialist, Statistics na Demography ni eneo la profession yangu, usiulize kama nimewahi kufanya research...I am researcher, naweza kupa links za publications zangu kwenye international journals na WHO bulletin
Blue - Unajitia aibu...unaongelea 'Gender' au 'Sex'? Hivyo ni vitu viwili tofauti, nadhani unataka kuongelea Sex lakini unaconfuse na Gender...Gender is a very wide subject with lots of evidence-generating research done and other going on..kuna watu wana PhDs za mambo ya gender! Gender sio 'Mwanamme' na 'Mwanamke' tu, it goes far beyond that my brother!
Green - Unazidi kuthibitisha ujinga wako...Sex (au gender kama unavyong'ang'ania kuita) na dini ni vitu viwili tofauti kabisaa. Sex is BIOLOGICALLY determined, its either male or female (hata uwe gay, lesbian, trans-sexual, she-male etc), it is GENETICAL.....unlike Dini which is SOCIALLY determined! Unaposema variables gender/sex na dini hazina tofauti wakati moja iko influenced socially with number of factors na nyingine absolutely haina social influence, nadoubt kama wewe ni mwanaSayansi kama unavyotamba!
Purple - Hapo kwenye purple ni uthibitisho kuwa huna idea yeyote kuhusu research. Primarily kabla hujafanya research, ni lazima u-define clearly your variables of interest, kwamba utakaposema kwenye reseach yako fulani ni dini fulani...basi ina maana ana vigezo (criteria) moja, mbili, tatu etc. ili kuondoa bias. Na kwa kumuuliza mtu 'wewe dini gani' (kama unavyosuggest) naye ajibu 'muIslam' au 'mKristo' bila kuzingatia vigezo vya dini ya kiIslamu kuita mtu muIslam au vigezo vya dini ya kiKristo kuita mtu mKristo..then hujawa na evidence kuwa kuna waIslam au waKristo wangapi sehemu husika!
Zamani tukiwa na kitoweo cha kuku, mama alinituma kwa jirani yetu Mzee Juma Lubela ili atuchinjie, mama akimpika alinipa nyama ya kuku kwenye bakuli nimpelekee yule babu. Wakati wa Pasaka/Krimasi watoto wa majirani walikuja kula pilau home nasi kwenye Idi tulikwenda kula kwao.
Tangu walipoanza harakati zao 1980s mambo hayo hayapo tena, tunachinja wenyewe na ile share ya mnofu hawaipati tena siku hizi.!
Hapo ndipo hawa Mashehe uchwala na njaa zao walipotufikisha, chuki tupu-Mtaani hadi Taifani.
Mpuuzi we unafikiri unajadiliana na kihiyo hapa,
For your information mimi ni senior economists nina PhD ya economics, Masters mbili ya sheria na uchumi na nimefanya kazi US na UK kama mshauri na hapa Tanzania na moja ya kazi nimefanya kusimamia suala la demographic usifikiri unajadiliana na mpuuzi kapeleke upuuzi wako kule mjinga wewe.
TAASISI ZA KIDINI ZITAKUJA KUVERIFY WANACHOKISEMA WATU KWANI KILA TAASISI INAWAFAHAMU WAUMINI WAO NDIO MAANA KUNAKUWA REGISTER KATIKA MISIKITI NA MAKANISANI. AU UNATAKA KUTUAMBIA WATU HAWAOI NA KUOLEWA? KAMA HAKUNA TAARIFA HIZO MAKAZINI NA KWENGINEKO KUNAZO HIZO TAARIFA.
Lete utumbo wako mwengine nimekuambia fani ya utafiti nimebobea na najisifu kwani nina journals articles za kutosha kimataifa na sio Tanzania. Kadanganye wengine na sio mimi?
waislamu wanapenda malumbano yasiyo na tija.
Sensa ya mwaka 1957 ya kikoloni kipengele cha kuonesha dini kilikuwepo na ndio kinachoonesha takwimu waislamu wangapi na wakristo wangapi, na ukiangalia mwaka huo 1957 waislamu walikuwa ni 65%.
Baada ya hapo sensa zote zilizofuata kipengele cha dini kilifutwa; ajabu leo hii watu wanasema wakristo wapo wengi kuliko waislamu kwa takwimu zipi ikiwa kipengele cha kuorodhesha watu dini zao hakipo.
Pili ni kwanini wanaogopa kuhesabu watu kwa kutumia kigezo cha dini? Wengi watasema wanaogopa udini, hii hoja ni dhaifu maana nchi nyingi duniani sensa zinahebabiwa kwa mtindo wakujua idadi ya watu na dini zao ni asilimia ngapi katika nchi hizo.
Issa Ponda hivi ilim yake ni ya level gani?
wewe utakuwa umesoma shule ya seminary si bure.Ndugu zangu waisilamu, waasalaam aleikum.
Sisi waisilamu tumekuwa na tabia ya kuleta pingamizi katika kila jambo, kuhusu idadi ya waisilamu je nilazima kuwajua kupitia sensa ya taifa?
Kama kweli viongozi wetu wa dini wako serious wangetafuta njia mbadala ili kujua idadi sahihi ya waisilamu. Kwanza tujue idadi ya misikiti yote tuliyo nayo Tanzania, hili wala halihitaji bajeti ya serikali, baada ya kujua idadi ya misiki rasmi, viongozi wote wa hiyo misikiti watoe idadi ya waumini wao, kisha tunajumlisha na tunapata idadi ya waisilamu wote.
Hii itatuwezesha pia kujua mkoa wenye idadi kubwa ya waisilamu, idadi ya vijana, wazee, wanawake na watoto. tutaweza kupanga mikakati mingi mfano:
1. Eneo lenye wakazi wengi wa kiisilamu lakini misikiti michache, kuongeza idadi ya misikiti.
2. Eneo lenye vijana wengi na watoto kuongeza idadi ya madrasa na shule za kawaida
3. Sehemu zenye wanawake wengi kuongeza huduma za hafya za mama na watoto.
Tutakapo tumia mfumo huu itakuwa dhahiri tunania nje na idadi ya watu wetu. LAKINI kama tunadai idadi ya watu wetu kupitia mfumo wa serikali hapa kutakuwa kuna agenda ya siri iliyojificha.
Kama tunavyo ngangania kuwa na mahakama ya kadhi. kwanini hili tufanyiwe na serikali, je sisi hatuna wasomi? Kwanini tusianzishe kitu chetu wenyewe kisha tukaomba baraka za serikali?
Serikali imetusaidia kuanzisha chuo kikuu kwa kupewa majengo kule Moro, Hii ni aibu kubwa, Serikali imetusaidia hata kuanzisha BAKWATA. na tumekuwa tukipata ruzuku toka Serikali WHY? kila kitu Serikali. JE hapa kuna siri gani tunaitaka.
Kama lengo ni kutaka kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye muongozo wa Dini ( Sharia) hili halitakubalika, kwakuwa tumeona shida na ukandamizaji wa haki za raia katika nchi nyingi zinazo tumia mfumo huu. Saud pamoja na utajiri wake lakini mpaka leo hii mwanamke hana haki hata ya kuendesha Gari.
Ndugu zangu waisilamu tusikubali kuburuzwa na hawa viongozi wetu wa DINI ambao hata wengine hatukuwachagua waisilamu wote, sasa ni kwa nini wazungumze kwa niaba ya waisilamu wote?
TAKE CARE
Ningesifu sana kama hizi jitihada za kupigania kipengele cha dini zingeamishiwa kwenye ujenzi wa mashule, Hospitali na kufundisha watu maadili ili tuwe na taifa endelevu na lenye amani.
hahahahahha, umeua bendi mkuu.Zamani tukiwa na kitoweo cha kuku, mama alinituma kwa jirani yetu Mzee Juma Lubela ili atuchinjie, mama akimpika alinipa nyama ya kuku kwenye bakuli nimpelekee yule babu. Wakati wa Pasaka/Krimasi watoto wa majirani walikuja kula pilau home nasi kwenye Idi tulikwenda kula kwao.
Tangu walipoanza harakati zao 1980s mambo hayo hayapo tena, tunachinja wenyewe na ile share ya mnofu hawaipati tena siku hizi.!
Hapo ndipo hawa Mashehe uchwala na njaa zao walipotufikisha, chuki tupu-Mtaani hadi Taifani.
Mabusha je? Manake watu wa pwani wanayahusudu sana. Na ukizingatia wanaoishi pwani wengi ni Waislam.
Hivi ni tangu lini sensa ikawa ni hiari ya mtu binafsi kuamua? Where is the government? Nimechoka kusoma malumbano yanayotia kichefu chefu huku jamvini-mara fukuza yule weka huyu, mara tunafelishwa, mara hili mara lile. Hii serikali yetu isipokuwa makini na kutumia madaraka tuliyoipatia na sheria zilizopo kutoa maamuzi ya haraka tutafika kubaya.
Inabidi tukumbuke samaki mkunje bado ngali mbichi. Huwezi kumfundisha adabu mtoto kesha fika miaka 15-inabidi uanze mapema ili akifika miaka hiyo awe anajua lipi baya na nzuri. Sensa siyo hiari. Ni lazima kila mtu kushiriki kwenye sensa na kama hatoshiriki achukuliwe hatua.
Hizi ***** ***** za kila siku ni lazima zikemewe ili zikome. angalia leo tunaambiwa kuna Al-qaida amekamatwa Tanzania - je huyu alikuwa ni mgeni wa nani? Ni lazima kuna kikundi fulani cha watu kinajaribu kutingisha kiberiti na kama serikali yetu itaendelea kulala muda si mrefu hiki kiberiti kitatumika kuwasha moto. Ni hayo machache tu na nina hasira sana na viongozi wetu legelege.
Mungu ibariki Tanzania na wabariki wale wote ambao wako katika mapambano ya kutuokoa na janga la nyinyiemu.
Zamani tukiwa na kitoweo cha kuku, mama alinituma kwa jirani yetu Mzee Juma Lubela ili atuchinjie, mama akimpika alinipa nyama ya kuku kwenye bakuli nimpelekee yule babu. Wakati wa Pasaka/Krimasi watoto wa majirani walikuja kula pilau home nasi kwenye Idi tulikwenda kula kwao.
Tangu walipoanza harakati zao 1980s mambo hayo hayapo tena, tunachinja wenyewe na ile share ya mnofu hawaipati tena siku hizi.!
Hapo ndipo hawa Mashehe uchwala na njaa zao walipotufikisha, chuki tupu-Mtaani hadi Taifani.