BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

Wacha wagome ili waendelee kuipa wakati mgumu serikali ya pasua kichwa na wakiingiza kipengele cha udini na wakristo wahindu wapagani freemason wanagoma hadi rais kijana aote mvi kwa kuongoza nchi ya vikambale. LoL!
 
Kwani hata waislamu wangekuwa 99% ina implication gani kwa maendeleo ya taifa? Itasaidia kujenga shule zaidi, hospitali, maji safi, barabara umeme, n.k?

Mbona watanzania mnaacha kufuatilia na kushuguligikia mambo ya maana mnakeshea ujinga? Sasa hivi tulitakiwa tunaumiza kwa miaka 50 ya uhuru wetu mbona hali inazidi kuwa duni? Kwa rasilimali tulizo nazo madini, ardhi, watu, maji, bahari, milima mbuga za wanyama, amani, maziwa, mito hali nzuri ya hewa mbona umaskini unatumaliza! Mnakalia kutokwa mishipa ya shingo kutaka kujua waislamu na wakristu wepi wengi!! Au mnataka kutangaza taifa la kiislamu muwafukuze wakristu?

Mtanzania amka, umaskini, magonjwa, ujinga havichagui dini hata mnekuwa waislamu peke yenu isingewasaidia!!

Nadhani wanachokitaka hapa ni kuwa kama wako 90%, kila nafasi za kazi serikalini 100, basi waislamu wawe 90. Katika taasisi za elimu, mfano chuoni, basi nako wawe 90 kwa kila 100. Naona kama hawataki kuzingatia vigezo vingine zaidi ya idadi yao.

Bila shaka tukienda kwa mtindo huu, basi safari yetu haipo mbali sana kufika tunakotamani!
 
Hizi tasisi wakati mwingine zinatufanya waislam waonekana watu wa hovyo kabisa,, kama huyu Ponda Issa ni kama frustrated figure flani hivi,all time violent at on reason, feels inferior hata kwa mambo yasiyokichwa

bora wewe umeliona hilo
hivi vinatumika vigezo gani kumpata huyo mtu,yaani sheikh
 
Kwani hata waislamu wangekuwa 99% ina implication gani kwa maendeleo ya taifa? Itasaidia kujenga shule zaidi, hospitali, maji safi, barabara umeme, n.k?

Mbona watanzania mnaacha kufuatilia na kushuguligikia mambo ya maana mnakeshea ujinga? Sasa hivi tulitakiwa tunaumiza kwa miaka 50 ya uhuru wetu mbona hali inazidi kuwa duni? Kwa rasilimali tulizo nazo madini, ardhi, watu, maji, bahari, milima mbuga za wanyama, amani, maziwa, mito hali nzuri ya hewa mbona umaskini unatumaliza! Mnakalia kutokwa mishipa ya shingo kutaka kujua waislamu na wakristu wepi wengi!! Au mnataka kutangaza taifa la kiislamu muwafukuze wakristu?

Mtanzania amka, umaskini, magonjwa, ujinga havichagui dini hata mnekuwa waislamu peke yenu isingewasaidia!!
Kwakweli OSOKONI, maoni yako yameenda shule. Wewe si tu ni Great Thinker, kwa mwenendo huu nakutunuku Shahada ya Uzamivu ya Masuala ya Kijamii! Your comments are not only constructive but also inductive! Keep it up, acha wapiga porojo za udini watafunane wao kwa wao. Kweli Masaburi hakukosea aliposema baadhi yetu hufikiri kwa kutumia viungo vingine vya mwili kando na ubongo!
 
Umejuaje ajira ya Waislam ni 9%

Unafanya kile kile ambacho wewe na Ponda mnadai kwamba ni kosa, yani kuishi na takwimu za kukisia kisia.

Baada ya hii sensa utadai iitishwe sensa ya dini makazini? Halafu nini tena kitafuata, madai ya sheria ya ajira inayosema kila form ya kuombea kazi lazima iwe na swali la kutueleza unasali wapi ukiwa off kazini?

Mkapa alipewa hizo takwimu za kisayansi pale Diamond Jubilee,zilikuwa zinaonesha idadi ya wafanyakazi serikalini na taasisi za uma kwa majina na dini.Ndizo zilionesha idadi ya Wislamu na wakristu ni wanagpi katika nafasi za ajira za serikali
 
Nadhani wanachokitaka hapa ni kuwa kama wako 90%, kila nafasi za kazi serikalini 100, basi waislamu wawe 90. Katika taasisi za elimu, mfano chuoni, basi nako wawe 90 kwa kila 100. Naona kama hawataki kuzingatia vigezo vingine zaidi ya idadi yao.

Bila shaka tukienda kwa mtindo huu, basi safari yetu haipo mbali sana kufika tunakotamani!

Acha uzushi,msomi huwa haishi kwa kudhani,unadhani tu maana yake nini?
 
Malalamiko ya waislamu ni ya kipuuzi sana na hayana tija sana katika maendeleo na ustawi wa nchi yetu
OIC, Mahakama ya kadhi na sasa hivi Sensa ya kidini... argggghhhh
 
Sensa ya mwaka 1957 haikuonyesha idadi ya Waislamu kuwa 65%. Pia kuna sensa iliyofuata 1967 pia ina takwim inayoonyesha idadi ya Waislamu na Wakristo. Kwa hiyo si sahihi unaposema kuwa baada ya 1957 sensa zote zilizofuata zilifuta kipengele kinachoonyesha dini za watu.

Unapopinga kitu si kweli maana yake unajua jibu la ukweli. Ingekuwa umesaidia sana kama ungesema ilionesha idadi gani?
 
..mtaa ninao kaa kuna jamaa kaoa mke muislam..kambadili dini..na kawa mkristo na huyo dada kafunga ndoa kanisani pale st peter..ila jina lake limebaki la kiislam...huyu katika hiyo sensa unamuhesabu dini gani..ikiwa jina la kwenye vywti ni Aisha..lkn kabatizwa na anasali kanisani kwa jina la Irene...

...pia angalia mafundisho mengi siku hizi( kwa wakatoliki)..kuna waislamu wengi tu wako na wote hao wanabadili dini na kuwa wakristo..ila watabaki na majina yao yale yale ya zamani kiislamu..lkn anaingia msikitini...

ndugu zangu waislamu inabidi mjipange..maana hawa akina kakobe wamewasilimisha wengi kweli kweli...

..ni maoni na mtazamo wangu..

Duh! maskini uhurumiwe.Unadhani kikiwekwa kipengele cha dini maana yake jina la mtu ndo litakuwa linamtambulisha ni dini gan! ataulizwa dini yake atasema mwenyew,sio jina.wake up
 
Mkapa alipewa hizo takwimu za kisayansi pale Diamond Jubilee,zilikuwa zinaonesha idadi ya wafanyakazi serikalini na taasisi za uma kwa majina na dini.Ndizo zilionesha idadi ya Wislamu na wakristu ni wanagpi katika nafasi za ajira za serikali
Walimuonyesha na idadi ya waislam/wakristu wanaomaliza elimu ya juu/vyuo vya ufundi? walimuonyesha idadi ya waislam/wakristu wanaoapply kwenye nafasi za kazi serikalini? Acheni hizo...kila kitu kina sababu zake ambazo kwa kweli mnazijua...
 
Kwa mfano serikali ikakubali kuingiza hicho kipengele na ikajagundulika kuwa walio wengi ni dini tofauti na yao wataficha wapi nyuso zao? au watasema sensa imechakachuliwa?:spit:
 
Mkuu mwongozo,
Asante kwa kutupa andiko lenye fikra mchanganyiko!!!

Lakini Niulize hivi, this being a secular government, mgawanyo wa kazi kwa kutumia kigezo cha dini kitaanzia wapi?
Au the move is to push for non secular government in case the numbers from census indicate Muslims (by number and not by faith) are more than the rest of the groups?

The propaganda on Mfumo Kristo is for no particular reason, this propaganda has a purpose, and the purpose is to say this government is not a secular one but rather a Christian government.....Believe me you, that is the Purpose of the 'Mfumo Kristu" propaganda.

Talking of vijana wa Kiislamu 'wapewe'/wapate nafasi serikalini..........hebu tueleze utaratibu unatakiwa uweje.
Kwamba kwasababu umesema kijana wa kiislamu akienda serikalini kwenye interview anakutana na wakristo tupu na anabaguliwa na yeye kujisikia vibaya..........
Hebu tupe mfumo mzuri wa ajira........kwamba ajira zifanyike misikitini na makanisani? REALLY??

Hivi mbona watu hawataki kutumia statistics vizuri?? kwa nini watu wasiseme tunataka kujua wakina mama walio kwenye Reproductive age ni wangapi ili tujue huduma za afya hasa za mama na mtoto zilizopo Tanzania zinatosheleza?
kama hazitoshelezi, basi tuishinikize serikali ijenge hospitali na kuhakikisha madawa, wauguzi na vifaa vinapatikana???

What a waste!!!
6-KWA NINI AKINA PONDA WANALALAMIKA?
sasa hivi ukienda kwenye ofisi za serikali kama TRA, VYEO VYA JUU POLISI (kuwepo said mwema juu kabisa siyo kigezo tosha), VYEO VYA JUU JESHINI, WIZARA ZOTE ZA SERIKALI .... nk utakuta ofisi zimekaa kama parokia fulani. wakristo watupu (najua hili kwa wakristo ama hawasilioni au wanaliona na wanalijua). wapo waislamu ambao wamesoma (japo hawajawafikia wakristo) lkn waislamu walio wengi wanapata rizki katika biashara, muziki, mpira, uvuvi, kilimo, umachinga na kazi ngumu kama kusukuma mikokoteni na kubeba mizigo (hawajui wala kunusa WHITE COLAR JOBS). vijana wengi wa kiislamu wnabwiya unga. wanaishia la saba! kaka zao wanashindwa kuwasaidia kwa SABABU HAWAMO SERIKALINI. HAWANA MSHAHARA WA MWISHO WA MWEZI. wasomi waislamu hili wanaliona na wanalijua. AKINA PONDA WANAONA ILI UNFAIR TREATMENT iliyokuepo kipindi cha mwalimu imetapakaa na kukua hadi hii leo. kwa anae jua maana ya govt adminstrtve strcture pamoja na local gvt system, hawezi kuema ooohhh mbona rais na makamu ni waislamu? thats nothing! kwenye wizara na halmashauri nchini waislamu ni chini ya asilimia 9. hawakutaka wenyewe. serikali kama mzazi haikuweka mkakati wa kukosoa kosa lililofanywa na wazee kuogopa shule za kimisheni (sina uhakika kama ni kosa kwa sababu kweli baadhi walibadilishwa au walilazimika kutumia majina ya kikristo ili wakasome. bob makani ni mmoja wao).


7-MADAI YA PONDA NI YAPI?
ponda anasema "enough is enough. tutumie sensa kama gia ili tujue idadi kisha yaje madai ya kuuliza mbona waislamu ni asilimia 35, 40 50 au 55 lakini kwenye ajira asilimia 9!!!!!!!?" NI BOMU AMBALO LIPO NA LITAPASUKA. NATABIRI KUWA kama kipengele cha dini hakitawekwa, waislamu watatafuta haki ya uwiano kiajira kwa njia ambazo zitavunja amani.
 
Last edited by a moderator:
Acha uzushi,msomi huwa haishi kwa kudhani,unadhani tu maana yake nini?

Hapa namnukuu Shekhe Ponda
Alisema kutokana na mazoea, Waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. ofisi na idara za serikali zinaongozwa na Wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. alitoa mfano wa TRA, NECTA, Wizara ya Eimu, Wizara ya Ujenzi, Afya, Mahakama nk........... kwa mujibu wa Sheikh Ponda, wastani wa ajira ni karibu Wakristo 77% na Waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa Waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo.

Sasa mie nilichozusha ni kipi?
 
MIGNON

Unajua ndugu ni miaka 50 toka tupate uhuru lakini hatusongi mbele kama taifa,unajua ni kwa nini? 91% ya watumishi wa umma ni wakristu,kwangu hili sio tatizo,tatizo ni kwamba hawajatusaidia kama taifa kusonga mbele,ufisadi wa aina zote umetawala nchi hii.

Ndio maana Waislamu tunataka tuliokoe taifa kwa kuwemo kwenye utumishi wa uma kwa sababu kwetu ufisadi ni haramu kidini na hatuwezi kuufanya.
 
Last edited by a moderator:
Mkapa alipewa hizo takwimu za kisayansi pale Diamond Jubilee,zilikuwa zinaonesha idadi ya wafanyakazi serikalini na taasisi za uma kwa majina na dini.
Alipewa na nani?

Huyo mwanasayansi amepata wapi majina ya wafanyakazi wa Tanzania ambayo Rais, mwajiri mkuu wa nchi, hana?
Ni lini huyo mwanasayansi amepita maofisini serikalini kukusanya rekodi za dini za watu na majina yao?

Mkapa alipewa takwimu za kisayansi za dini za wafanyakazi Diamond Jubilee, alipewa na nani, Shehe Ponda?

 
Haiwezekani hata kidogo labda mfumo kristo ndiyo unaweza kuchakachua.

Kwa mfano serikali ikakubali kuingiza hicho kipengele na ikajagundulika kuwa walio wengi ni dini tofauti na yao wataficha wapi nyuso zao? au watasema sensa imechakachuliwa?:spit:
 
Walimuonyesha na idadi ya waislam/wakristu wanaomaliza elimu ya juu/vyuo vya ufundi? walimuonyesha idadi ya waislam/wakristu wanaoapply kwenye nafasi za kazi serikalini? Acheni hizo...kila kitu kina sababu zake ambazo kwa kweli mnazijua...

umenisaidia maana mengine niliyokuwa sikuyasema umeyasema wewe,yooote hayo walimuonesha,ngojea niitafute ile kabrasha nikuwekee hapa ujionee mwenyewe,kwa nini tuandikie mate?
 
Kura ya nani anataka sheria ya mahakama ya kadhi.., nani ana imani na wizara fulani....., waziri fulani......, nchi iongozwe na dini gani....watazania wavaeje........hatuna imani na....... FUMBUKA

...kumbe!lol!..mtangoja sana,gomeni 2 then mtaelewana na serikali,hamuwezi mkafanya vitu km mnavyotaka as if,nchi hii ni ya kwenu pekeenu.km mnataka kujua per yenu jihesabieni km walivyofanya wakristo,hakuna anaewakataza!sio kuingilia sensa ya serikali!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom