TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,610
- 28,676
Umeishaisha elezwa nchi chini ya jangwa la Sahara zilizoingiza kipengele hicho zimo kwenye machafuko.Kwani kuna tatizo gani kuweka dini kwenye sensa, mbona nchi nyingi duniani wameweka sehemu ya dini, kama Uingereza, Misri, Israel, na hakuna tatizo lolote.