Baba yangu ananifukuza nyumbani baada ya kushinda kesi

Baba yangu ananifukuza nyumbani baada ya kushinda kesi

Duuh.

Sasa hiyo IFAZI umefanikiwa kupata mkuu? Au kalale tu Stand pale [emoji3][emoji3]
 
Best duniani kuna vimbwanga,kuna uzi humu JF wa binti alimuua mama yake kisa mali,jamaa wengi walifunguka akili kama za mleta mada kutamani wapewe urithi na wazazi wao.
Mleta mada anaumwa kirusi kipya cha HIV kimepanda kichwa
 
Mimi naomba tu namba za baba yako, najua hata kama ametumia sana bado million 100 zipo, I wanna chill with the big boys msimu huu wa sikukuu ya wapendanao..!

Depal njoo nisaidie kuomba namba za mdingi, nitakukumbuka kwenye ufalme wangu I promise..!
Kwahiyo unajiuza Carleen
 
Hii chai. Vinginevyo kuna nati zimelegea
 
Nawaonea huruma mnaotumia nguvu kubwa kushauri boga lirudi kuwa ua...
 
Habaini ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye ulimu wa miaka 42, kama mnakumbuka nilileta mkasa ulio nitokea mwezi ulio pita kuhusu mzee wangu baada ya kuuza nyumba yake kwa shilingi milion 165 amegoma kabisa kunipa mgao mimi mtoto wake, baada ya kugoma nikafata utaratibu wa kisheria kumfikisha kwenye vyombo vya kisheria, nilianzia kwenye ofisi ya mtaa (walininyima haki yangu baadae nilikuja kugundua ofisi ya mtaa wanashirikiana na baba kutaka kunizurumu haki yangu kama mtoto),

nikapanda mpaka ngazi ya kata (uko nako sikupata haki yangu kama mtoto), nikapanda moja kwa moja mahakamani (uko nako sijapata haki yangu) na maamuzi ya mahakama yalitoka siku ya jana 04.02.2022, baada ya uamuzi kutolewa mahakamani cha kushangaza wakati narudi nyumbani (mimi nilipanda usafili wa daladala kivyangu) nilipofika nyumbani nashangaa kukuta nguo zangu zimetolewa nje kwenye begi langu na kikaratasi kimewekwa chini kimeanikwa kama kinavyo someka hapo

Wakuu uyu baba angu kila ngazi nahisi anaonga ili ashinde kesi kwa kuwa yeye ana pesa, nataka kufanya juu chini nikakate rufaa ili niendelee kupigania haki yangu ya kupata mgao wa pesa kama mtoto wa pekee na ni mtoto wake mkubwa wa tatu na pia nimesoma mpaka chuo kikuu (nilieleza nina elimu kubwa tu ya BCom ya marketing kutoka chuo kikuu cha dar es salaam shule ya UDBS).

Nilishapata mpaka mchumba ambaye nilitegemea nikipata huu ngao niweze kumuoa ila mpaka mpenzi wangu anaanza kutokunielewa maana mzee pesa hataki kutoa, na kuna mtu alikuwa anauza gari aina ya nissan dualis nilishamuambia asiuze iyo gari anivumulie kuna pesa naifatilia ntalinunua tu ilo gari, ila cha kushangaza uyu baba angu mipango yangu yote ananivurugia, naombeni msaada wa wanasheria wazuri nataka nimpeleke kwenye mahakama ya rufaa uyu mzee maana mimi ni mtoto wake kabisa na ni mtoto wake wa tatu kuzaliwa na pia nimesoma sana nina elimu kubwa sana naitajika nipewe kipaumbele.

Mnisaidie ndugu zangu.

View attachment 2108602

View attachment 2108602
Kama Baba yako hajaandikiwa na Mama yako basi huyo ndio Baba yako halali na endelea kumdai kwa sababu tatizo lako alikurithisha umezaliwa nalo
 
Hivi ndio uyu jamaa alikuaga CCM baba yake akamtimua nyumbani?
 
Habaini ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 42, kama mnakumbuka nilileta mkasa ulio nitokea mwezi ulio pita kuhusu mzee wangu baada ya kuuza nyumba yake kwa shilingi milion 165 amegoma kabisa kunipa mgao mimi mtoto wake, baada ya kugoma nikafata utaratibu wa kisheria kumfikisha kwenye vyombo vya kisheria, nilianzia kwenye ofisi ya mtaa (walininyima haki yangu baadae nilikuja kugundua ofisi ya mtaa wanashirikiana na baba kutaka kunizurumu haki yangu kama mtoto),

Nikapanda mpaka ngazi ya kata (uko nako sikupata haki yangu kama mtoto), nikapanda moja kwa moja mahakamani (uko nako sijapata haki yangu) na maamuzi ya mahakama yalitoka siku ya jana 04.02.2022, baada ya uamuzi kutolewa mahakamani cha kushangaza wakati narudi nyumbani (mimi nilipanda usafiri wa daladala kivyangu) nilipofika nyumbani nashangaa kukuta nguo zangu zimetolewa nje kwenye begi langu na kikaratasi kimewekwa chini kimeanikwa kama kinavyo someka hapo

Wakuu huyu baba angu kila ngazi nahisi anaonga ili ashinde kesi kwa kuwa yeye ana pesa, nataka kufanya juu chini nikakate rufaa ili niendelee kupigania haki yangu ya kupata mgao wa pesa kama mtoto wa pekee na ni mtoto wake mkubwa wa tatu na pia nimesoma mpaka chuo kikuu (nilieleza nina elimu kubwa tu ya BCom ya marketing kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam shule ya UDBS).

Nilishapata mpaka mchumba ambaye nilitegemea nikipata huu mgao niweze kumuoa ila mpaka mpenzi wangu anaanza kutokunielewa maana mzee pesa hataki kutoa, na kuna mtu alikuwa anauza gari aina ya nissan dualis nilishamuambia asiuze hiyo gari anivumulie kuna pesa naifatilia ntalinunua tu ilo gari, ila cha kushangaza huyu baba angu mipango yangu yote ananivurugia, naombeni msaada wa wanasheria wazuri nataka nimpeleke kwenye mahakama ya rufaa uyu mzee maana mimi ni mtoto wake kabisa na ni mtoto wake wa tatu kuzaliwa na pia nimesoma sana nina elimu kubwa sana naitajika nipewe kipaumbele.

Mnisaidie ndugu zangu.

View attachment 2108602

View attachment 2108602
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Unajiita mtoto wakipekee na una miaka 42?
 
Wenzako mbona hawadai mgao ni wewe tu umekazania kamgao
 
Back
Top Bottom