Baba yangu ananifukuza nyumbani baada ya kushinda kesi

Kuna mzee mmoja huko Lindi anatibu vichaa wa grade zote yaani mpaka walioshindikana.
Nenda utapona.
Namba takupa
 
kama nikweli ni PM nikuconect na mganga wangu tumafanyie jambo mzee wako, utakuja kunishukuru
 
Habaini ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye ulimu wa miaka 42, kama mnakumbuka nilileta mkasa ulio nitokea mwezi ulio pita kuhusu mzee wangu baada ya kuuza nyumba yake kwa shilingi milion 165 amegoma kabisa kunipa mgao mimi mtoto wake, baada ya kugoma nikafata utaratibu wa kisheria kumfikisha kwenye vyombo vya kisheria, nilianzia kwenye ofisi ya mtaa (walininyima haki yangu baadae nilikuja kugundua ofisi ya mtaa wanashirikiana na baba kutaka kunizurumu haki yangu kama mtoto),

nikapanda mpaka ngazi ya kata (uko nako sikupata haki yangu kama mtoto), nikapanda moja kwa moja mahakamani (uko nako sijapata haki yangu) na maamuzi ya mahakama yalitoka siku ya jana 04.02.2022, baada ya uamuzi kutolewa mahakamani cha kushangaza wakati narudi nyumbani (mimi nilipanda usafili wa daladala kivyangu) nilipofika nyumbani nashangaa kukuta nguo zangu zimetolewa nje kwenye begi langu na kikaratasi kimewekwa chini kimeanikwa kama kinavyo someka hapo

Wakuu uyu baba angu kila ngazi nahisi anaonga ili ashinde kesi kwa kuwa yeye ana pesa, nataka kufanya juu chini nikakate rufaa ili niendelee kupigania haki yangu ya kupata mgao wa pesa kama mtoto wa pekee na ni mtoto wake mkubwa wa tatu na pia nimesoma mpaka chuo kikuu (nilieleza nina elimu kubwa tu ya BCom ya marketing kutoka chuo kikuu cha dar es salaam shule ya UDBS).

Nilishapata mpaka mchumba ambaye nilitegemea nikipata huu ngao niweze kumuoa ila mpaka mpenzi wangu anaanza kutokunielewa maana mzee pesa hataki kutoa, na kuna mtu alikuwa anauza gari aina ya nissan dualis nilishamuambia asiuze iyo gari anivumulie kuna pesa naifatilia ntalinunua tu ilo gari, ila cha kushangaza uyu baba angu mipango yangu yote ananivurugia, naombeni msaada wa wanasheria wazuri nataka nimpeleke kwenye mahakama ya rufaa uyu mzee maana mimi ni mtoto wake kabisa na ni mtoto wake wa tatu kuzaliwa na pia nimesoma sana nina elimu kubwa sana naitajika nipewe kipaumbele.

Mnisaidie ndugu zangu.

View attachment 2108602

View attachment 2108602
Tafuta mume uolewe mana unapenda kitonga
 
Huu unaoufanya ni ULEMAVU WA AKILI
 
Miaka 42 unajiita Kijana?
Wewe ni mtu mzima
Ujana unakoma miaka 35
 
Huyu naye ni Great Thinker?
 
Huyu Dogo Ni mwongo na attention seeker! Hakuna sababu Kwa nn kila siku a naanza na miaka yake, lengo Ni kuonyesha upumbavu ili watu wa comment
 
Kitakachosababisha watu wajue stori ni ya kutunga ni karatasi kujumuisha neno 'Nguo tisa' kuna vitu ni rahisi kuvitamka ila siyo kuandika.

Hata hivyo najifunza animation nikiweza japo kidogo hii stori yako nitaifanyia jambo
Japo pia naamini simulizi hii ni ya kutunga kutokana na sababu lukuki ila hi ya wewe kukosoa "nguo tisa" naweza kusema je unapotoa nguo au vitu vya mtu si wapaswa kuvitaja kwa idadi hata katika maandishii ?!

Japo nakubali hii ni chai ila sio kwa kigezo cha kutaja nguo
 
natamani niwe babaako ningekungoja urudi kwanza nikuchape risasi za matako na ngoko kummk ukafie mbele ngedere wewe babaako ana huruma sana,kijana wangu alileta jeuri ya kijinga nilimkosakosa na kisu cha kuchinjia wanyama akakoma mpaka leo kanyamaza kawa mpole .ndo dawa yenu watoto mikundu kama nyie.
 
Habaini ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye ulimu wa miaka 42, kama mnakumbuka nilileta mkasa ulio nitokea mwezi ulio pita kuhusu mzee wangu baada ya kuuza nyumba yake kwa shilingi milion 165 amegoma kabisa kunipa mgao mimi mtoto wake, baada ya kugoma nikafata utaratibu wa kisheria kumfikisha kwenye vyombo vya kisheria, nilianzia kwenye ofisi ya mtaa (walininyima haki yangu baadae nilikuja kugundua ofisi ya mtaa wanashirikiana na baba kutaka kunizurumu haki yangu kama mtoto),

nikapanda mpaka ngazi ya kata (uko nako sikupata haki yangu kama mtoto), nikapanda moja kwa moja mahakamani (uko nako sijapata haki yangu) na maamuzi ya mahakama yalitoka siku ya jana 04.02.2022, baada ya uamuzi kutolewa mahakamani cha kushangaza wakati narudi nyumbani (mimi nilipanda usafili wa daladala kivyangu) nilipofika nyumbani nashangaa kukuta nguo zangu zimetolewa nje kwenye begi langu na kikaratasi kimewekwa chini kimeanikwa kama kinavyo someka hapo

Wakuu uyu baba angu kila ngazi nahisi anaonga ili ashinde kesi kwa kuwa yeye ana pesa, nataka kufanya juu chini nikakate rufaa ili niendelee kupigania haki yangu ya kupata mgao wa pesa kama mtoto wa pekee na ni mtoto wake mkubwa wa tatu na pia nimesoma mpaka chuo kikuu (nilieleza nina elimu kubwa tu ya BCom ya marketing kutoka chuo kikuu cha dar es salaam shule ya UDBS).

Nilishapata mpaka mchumba ambaye nilitegemea nikipata huu ngao niweze kumuoa ila mpaka mpenzi wangu anaanza kutokunielewa maana mzee pesa hataki kutoa, na kuna mtu alikuwa anauza gari aina ya nissan dualis nilishamuambia asiuze iyo gari anivumulie kuna pesa naifatilia ntalinunua tu ilo gari, ila cha kushangaza uyu baba angu mipango yangu yote ananivurugia, naombeni msaada wa wanasheria wazuri nataka nimpeleke kwenye mahakama ya rufaa uyu mzee maana mimi ni mtoto wake kabisa na ni mtoto wake wa tatu kuzaliwa na pia nimesoma sana nina elimu kubwa sana naitajika nipewe kipaumbele.

Mnisaidie ndugu zangu.View attachment 2108602

View attachment 2108602

1: Kichwa cha habari"Umeshinda kesi"

2: Mahakamani nako hukupata haki.

3: Asiyefunzwa na mamaye...........

4: Hakuna urithi kabla ya mtu kufa. Ila usimuue baba tafadhali!!

USHAURI WA MWISHO
Nenda kaonane na mwanasaikolojia, eleza ni nini mtizamo wako juu ya maisha. Anzia hapo. Ina faida kuliko urithi unaotafuta.
 
njoo nikupeleke mahala tumtangulize mbele za haki aka tuchomoe betri very softly tuchukue mpunga huo tule bata mjini hapa..
 
Back
Top Bottom