Ile vita hata sijui kama itakuja kuisha 😀😀😀😂😂😂😂
Sema wewe ni mzee wa miaka 42.Habaini ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 42
Sikua na nia ya kukukosea, hapa jF pia ni sehemu ya kurekebishana, je wajua Ukifanya mapenzi na mwanaume kwasababu ya pesa, ilhali hujavutiwa naye kimapenzi, huko ni kujiuza, Unakua ni kama wale wadada wanaojiuza barabarani, wao wanaangalia pesa tu, hawana hisia za kimapenzi kwa wateja wao CarleenUmenikosea sana hata tu kuuliza swali la aina hii Balqior humu asilimia kubwa tunaishia kwa utani, anyways, ahsante pia.!
Kama ulisoma kile nilichoandika ukaelewa usingekuja na haya maelezo marefu tena..!!Sikua na nia ya kukukosea, hapa jF pia ni sehemu ya kurekebishana, je wajua Ukifanya mapenzi na mwanaume kwasababu ya pesa, ilhali hujavutiwa naye kimapenzi, huko ni kujiuza, Unakua ni kama wale wadada wanaojiuza barabarani, wao wanaangalia pesa tu, hawana hisia za kimapenzi kwa wateja wao Carleen
Mtoto hakui mbele ya baba yake, maadamu baba yako yu hai basi wewe ni mtoto tu.Mkuu WEWE SIO MTOTO ni MZEE wa miaka 42.
Hela ya baba yako ni yake nawe huna haki HATA KIDOGO.
Katafute maisha na utafute hela yako, ujenge halafu ukiuza na wewe mtoto wako akupeleke mahakamani kwa kuuza jasho lako!!
Pengine kama baba amezaa zezeta la kulitunza hadi kifo.Mtoto hakui mbele ya baba yake, maadamu baba yako yu hai basi wewe ni mtoto tu.
Ila hili jamaa linatufanya wote majuha. Idea nzuri wauzie watengeneza movie hasa za comedy itakuwa bonge la hit.