Baba yangu ananifukuza nyumbani baada ya kushinda kesi

Ulitaka usaidiwe hela ya kuoa na mzee wako🤣🤣🤣

Mpenzi wako amemaliza kidato cha 4 mwaka jana??

Au ndiyo hao wanaoenda na watoto shule. Haiwezekani mtu akatae kuolewa kisa baba yako hakupi hela ya mirathi
 
anaona akiendelea kukufuga kwenye nyumba yake, unaweza kumuua uridhi mali. ameshaona wewe ni threat. hujui alitoaje jasho kujenga hiyo nyumba, tafuta vya kwako, hakuna mahakama yeyote utaenda kutaka kurithishwa mali za wazazi hai.
 
Huna haya tafuta zako kijana
 
Thread za kijinga yani Mahakamani umeenda hata mwezi haijaisha kesi imeisha hiyo mahakama ya wapi? Unatuona sisi wakuja sana, Fala wewe.
 
na hakuna mahakama itampa haki ya kudai mali ya aina hiyo kwa babake, hiyo ni mali binafsi ya babake sio ya kwake kabisa, hana haki nayo, babake akitaka kumpa ni ampe zawadi tu kama anavyoweza kumpa mtu mwingine yeyote. watoto wetu hawa wakizaliwa kwenye nyumba tulizojenga huwa wanaamini ile nyumba ni ya kwao, kama mzazi ni mzima (hajafa) mtoto hana haki kumiliki chochote pale, atoke akatafute kingine. babake ameona jamaa ni threat anaweza kumtoa roho arithi mali, na ni sahihi kumfukuza. anawez akumuua, na kwenye ulimwengu huu ambao watoto wanaua wazazi wao.
 
Japo pia naamini simulizi hii ni ya kutunga kutokana na sababu lukuki ila hi ya wewe kukosoa "nguo tisa" naweza kusema je unapotoa nguo au vitu vya mtu si wapaswa kuvitaja kwa idadi hata katika maandishii ?!

Japo nakubali hii ni chai ila sio kwa kigezo cha kutaja nguo
Hua tunataja idadi kwa ukali au kwa sauti ili wengine wasikie ili mlengwa adhalilike. Kwenye karatasi zaidi ya msomaji hakuna atakayejua mpaka aonyeshwe.

Hivyo uongo wake katika hii scenario kwangu mimi ni huo
 
ni kesi ya madai mkuu
Hakuna kesi inaisha ndani ya mwezi unless ilikuwa na PO ambayo ilimaliza kesi. Acha kutuona wajinga. Ukitunga story uwe unauliza ili iendane na ukweli.

Kwanza story ya kijinga sana miaka 42 unavizia mali ya mzazi aliye hai hizo ni Mali yake utaishia kuua wazazi wako na usote jela wakukule Tigo, kama vipi heri uanze kuuza Tigo mtaani utapata madanga sio jela italiwa bure kavukavu.

Haujachelewa, juhudi yako tu.
 
Habaini ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye ulimu wa miaka 42, kama mnakumbuka nilileta mkasa ulio nitokea mwezi ulio pita kuhusu mzee wangu baada ya kuuza nyumba yake kwa shilingi milion 165 amegoma kabisa kunipa mgao mimi mtoto wake, baada ya kugoma nikafata utaratibu wa kisheria kumfikisha kwenye vyombo vya kisheria, nilianzia kwenye ofisi ya mtaa (walininyima haki yangu baadae nilikuja kugundua ofisi ya mtaa wanashirikiana na baba kutaka kunizurumu haki yangu kama mtoto),

nikapanda mpaka ngazi ya kata (uko nako sikupata haki yangu kama mtoto), nikapanda moja kwa moja mahakamani (uko nako sijapata haki yangu) na maamuzi ya mahakama yalitoka siku ya jana 04.02.2022, baada ya uamuzi kutolewa mahakamani cha kushangaza wakati narudi nyumbani (mimi nilipanda usafili wa daladala kivyangu) nilipofika nyumbani nashangaa kukuta nguo zangu zimetolewa nje kwenye begi langu na kikaratasi kimewekwa chini kimeanikwa kama kinavyo someka hapo

Wakuu uyu baba angu kila ngazi nahisi anaonga ili ashinde kesi kwa kuwa yeye ana pesa, nataka kufanya juu chini nikakate rufaa ili niendelee kupigania haki yangu ya kupata mgao wa pesa kama mtoto wa pekee na ni mtoto wake mkubwa wa tatu na pia nimesoma mpaka chuo kikuu (nilieleza nina elimu kubwa tu ya BCom ya marketing kutoka chuo kikuu cha dar es salaam shule ya UDBS).

Nilishapata mpaka mchumba ambaye nilitegemea nikipata huu ngao niweze kumuoa ila mpaka mpenzi wangu anaanza kutokunielewa maana mzee pesa hataki kutoa, na kuna mtu alikuwa anauza gari aina ya nissan dualis nilishamuambia asiuze iyo gari anivumulie kuna pesa naifatilia ntalinunua tu ilo gari, ila cha kushangaza uyu baba angu mipango yangu yote ananivurugia, naombeni msaada wa wanasheria wazuri nataka nimpeleke kwenye mahakama ya rufaa uyu mzee maana mimi ni mtoto wake kabisa na ni mtoto wake wa tatu kuzaliwa na pia nimesoma sana nina elimu kubwa sana naitajika nipewe kipaumbele.

Mnisaidie ndugu zangu.

View attachment 2108602

View attachment 2108602
...Tumekuchoka! Miaka 42 ondoka hapo kwa yako! Huna HAKI yoyote anapouza Nyumba take eti Una Hali akugaie! Huna Hali yoyote! Ondoka halo kwa baba yako na umpe nafasi. Achia Chumba hicho!
 
Kama hiki ni kweli , basi wewe ni fal.a
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom