Baada ya Rais Mwinyi kukiri kwamba Rais Magufuli ndiye amewezesha Zanzibar kuwa Wamoja, ni wazi Tundu Lissu angepata uteuzi kama alivyoahidiwa

Kwanini unawasemea Wazanzibar? Wao wameridhika na maisha yanaendelea na wanajua rais wao wa muungano ni Magufuli na rais wao wa Zanzibar kwenye selikali ya mseto ni Mwinyi.

Ninyi endeleeni na viroho vyenu vya korosho hapo ufipa!
Kwanini na wewe unawasemea Wazanzibar?
 
Akiwa mkoani Geita Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Wazanzibar sasa ni wamoja na wanajenga nchi yao kwa pamoja na amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwezesha Zanzibar kuwa wamoja na watu wanaopendana...
Kila mtu ana malengo yake huenda Tundu Lissu malengo yake sio uteuzi
 
Bila mabadiliko ya katiba,sahau kuishinda CCM.

Sote tunajua CCM hawezi kuachia madaraka hivi,hivieti awafurahishe Chadema.

Nafasi iliokuwa wazi ni pale Raisi Mwinyi alipoleta mabadiliko ya kuingia siasa za ushindani lakini tukashindwa kukamilisha mazingira ya kufanya uchaguzi huru,kwa sababu ya tamaa za madaraka likapuuzwa.

Mara ya pili JK kaja na tume ya katiba ya Warioba lakini kwa tamaa wakaitupilia mbali kuwahi Ikulu. Juzi juzi kwa upofu huo huo waliingia uchaguzi mkuu kwa mbwembwe huku wakijua mazingira ya uchaguzi sio sawa kwa wote,lakini walipopigwa chini wakawa wakali kama mbogo.

Siasa za ushindani sio tu kuwa na vyama vingi, au wagombea wengi tu bali uchaguzi ulio huru na haki .
 
Mbona sijaelewa

Maana Mwinyi hujamaliza umeruka kwa Lissu mara huko nako bado umedandia kwa Maalim mara hujasawazisha napo umefika kwa Magufuli..
Huyo ni mzee mtu mzima lakini hana akili kutwa yupo hapa kushabikia ujinga huku maisha kwake ni magumu, alipata kazi ya ulinzi Nov 2020 pale Useri sokoni kafukuzwa sababu ya tabia zake hakumaliza hata miezi 2.
 
Hahahaaaa...... Kwa sasa Mwamba wa Kilimanjaro ni Halima James Mdee akisaidiwa na mama Kaboyoka!

Useri wanakula " vibudu" vya mbuzi!
 
Akiwa mkoani Geita Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Wazanzibar sasa ni wamoja na wanajenga nchi yao kwa pamoja na amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwezesha Zanzibar kuwa wamoja na watu wanaopendana...
Angepewa hata umwanasheria mkuu wa serikali
 
Akiwa mkoani Geita Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Wazanzibar sasa ni wamoja na wanajenga nchi yao kwa pamoja na amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwezesha Zanzibar kuwa wamoja na watu wanaopendana..
Lengo siyo teuzi. Ni lazima ujiulize anaye kuteua ana nia IPI kama siyo kuzima moto wote was kutafuta haki.Ninahakika hata wewe pamoja ni ccm huna haki yoyote ya kuweka kiongozi unayemtaka.Ni kwasababu umejawa na ushabiki ndiyo maana unakubali kila kitu
 
Akiwa mkoani Geita Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Wazanzibar sasa ni wamoja na wanajenga nchi yao kwa pamoja na amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwezesha Zanzibar kuwa wamoja na watu wanaopendana.

Nakumbuka Tundu Lissu aliahidiwa kutafutiwa teuzi inayolingana na uwezo wake lakini yeye akakaidi na alipofeli uchaguzi akakimbilia tena Ubelgiji badala ya kutoa ushirikiano kwa serikali.

Hongera sana Maalim Seif na ACT wazalendo kwa kusoma vema alama za nyakati.

Maendeleo hayana vyama.
Kama aljiamini ange acha sanduku la kura liamue. Sio kulaghai Dunia na kutumia vibaya rasili mali za nchi.. Tundu hakugombea ili ahongwe cheo. Chadema iligombea kuiondo aCcm madarakani
 
Utaiondoa CCM madarakani kwa katiba ipi bwashee?
 
Kwa Nini Kila wakati,lisu,lisu,mbowe ,mbowe,andikeni tu,Mambo yenye mantiki watu wasome sio Kila saa mnawataja watu Fulani,kwani wamewafanya Nini?
Wao pia ni watanzania,kugombea kitu Fulani ni haki Yao kwa kujibu wa sheria,.
Ifike mahala muwapumzishe kuwaandika Kila wakati,mtu anaandika mada vizuri,linatokea lichangiaji lingine linaropoka,angekua Fulani angeweza?
Ndenge Nini papaa?
 
Akiwa mkoani Geita Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Wazanzibar sasa ni wamoja na wanajenga nchi yao kwa pamoja na amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwezesha Zanzibar kuwa wamoja na watu wanaopendana.

Nakumbuka Tundu Lissu aliahidiwa kutafutiwa teuzi inayolingana na uwezo wake lakini yeye akakaidi na alipofeli uchaguzi akakimbilia tena Ubelgiji badala ya kutoa ushirikiano kwa serikali.

Hongera sana Maalim Seif na ACT wazalendo kwa kusoma vema alama za nyakati.

Maendeleo hayana vyama.
Tafsiri yake unaifahamu kabla ya kutoa hongra? Usijejilaumu kwa maneno yako.Haya subiri nakuja.
 
Kwa Nini Kila wakati,lisu,lisu,mbowe ,mbowe,andikeni tu,Mambo yenye mantiki watu wasome sio Kila saa mnawataja watu Fulani,kwani wamewafanya Nini?
Wao pia ni watanzania,kugombea kitu Fulani ni haki Yao kwa kujibu wa sheria,.
Ifike mahala muwapumzishe kuwaandika Kila wakati,mtu anaandika mada vizuri,linatokea lichangiaji lingine linaropoka,angekua Fulani angeweza?
Ndenge Nini papaa?
Ahsante umenisaidia kuwapasha.........
 
Akiwa mkoani Geita Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Wazanzibar sasa ni wamoja na wanajenga nchi yao kwa pamoja na amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwezesha Zanzibar kuwa wamoja na watu wanaopendana.

Nakumbuka Tundu Lissu aliahidiwa kutafutiwa teuzi inayolingana na uwezo wake lakini yeye akakaidi na alipofeli uchaguzi akakimbilia tena Ubelgiji badala ya kutoa ushirikiano kwa serikali.

Hongera sana Maalim Seif na ACT wazalendo kwa kusoma vema alama za nyakati.

Maendeleo hayana vyama.

Lissu unafikiri angekuwa anataka kununuliwa au kuteuliwa angeshidwa. Lissu sio mnafiki
 
Back
Top Bottom