Baada ya Rais Mwinyi kukiri kwamba Rais Magufuli ndiye amewezesha Zanzibar kuwa Wamoja, ni wazi Tundu Lissu angepata uteuzi kama alivyoahidiwa

Ameweza vipi kuwapatanisha wazanzibar akashindwa kupatana na wenzake Bara?

Aliambiwa na Mbowe kule Mwanza ameshindwa mpaka leo.

Huu uongo mwingine wanadhani wanadanganya watoto wauache.
 
Bara kuna ugomvi?

Ugomvi katika ya nani na nani? Kushindwa kwenu kukubali matokeo hapo ufipa ndio unataka mpatane?
 
Ameweza vipi kuwapatanisha wazanzibar akashindwa kupatana na wenzake Bara?

Aliambiwa na Mbowe kule Mwanza ameshindwa mpaka leo.

Huu uongo mwingine wanadhani wanadanganya watoto wauache.
Mbowe alitaka wapatane kuhusu nini?
 
Tanzania kama taifa linasonga.
Wanafki vibaraka wa ndani na nje ya nchi kilasiku wanazidi kuishiwa pumzi.
Wanafiki ni ninyi. Waliosababisha haya mnayoyaita utengano ni nani kama siyo wanafiki kama wewe waliojaa ndani ya chama cha mapinduzi?? Mnaweka madaraka mbele mnasahau Utaifa. Mmewaua Watu kisa madaraka leo mnajitokeza eti Wazanzibari tu Wamoja?? Damu zao zilizomwagwa zitawatafuna na vizazi vyenu.
 
Ameweza vipi kuwapatanisha wazanzibar akashindwa kupatana na wenzake Bara?

Aliambiwa na Mbowe kule Mwanza ameshindwa mpaka leo.

Huu uongo mwingine wanadhani wanadanganya watoto wauache.
Kwanza waliotoa matamko yale ukiangalia nyuso zao utaona hawana furaha hata tone. Yale ni maigizo tu ya kuihadaa Dunia.
 
Wanafiki ni ninyi. Waliosababisha haya mnayoyaita utengano ni nani kama siyo wanafiki kama wewe waliojaa ndani ya chama cha mapinduzi?? Mnaweka madaraka mbele mnasahau Utaifa. Mmewaua Watu kisa madaraka leo mnajitokeza eti Wazanzibari tu Wamoja?? Damu zao zilizomwagwa zitawatafuna na vizazi vyenu.
Yaliyopita sindwele tugange yajayo.
Hata Mbowe na Zito walifukuzana Chadema lakini kampeni za uchaguzi uliopita walisahau ya nyuma na wakashirikiana.
 
Angekuwa anafeli kusingekuwa na sababu ya huyo anayejiita mwendawazimu kubebwa kwa uporaji kwa kusaidiwa na polisiccm na tume fake ya uchaguzi. Muziki wa Lissu mnaujua na mmeushuhudia LIVE, Lissu habari nyingine!
Hahahah mnateseka saana, hivi bado jamuoni aibu?
 
Back
Top Bottom