Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

Wakati mwingine huyo bwana anatia sana huruma maana nikifikiria itakapobainika alighushi cheti atakuwa hana tofauti na mtu aliyeishia kidato cha nne..

Yaani atakuwa alipoteza muda kusoma kuanzia certificate hadi kujipatia shahada yake!
Hakupoteza mda alikua analala saana anafeli saana na anajipendekeza saaana so no time wasted ......
 
Tusubiri Majibu Mepesi....Na tusahau jina la Bashite labda kama utalitumia hovyo..
 
At least unaona umuhimu wa malaika kuja kuzima hii mitandao. Watu wanatandaika sana humu lkn likuki linamfikia hivyo hivyoo
Gwalu gwalumbe aiseh. Kama mbwai iwe mbwai tu bwana kitu gani!!!!
 
Huyo rais mwenyewe naye Bashite vilevile.

Unafikiri imekuwaje mpaka Bashite kapita kuwa mkuu wa mkoa kama nchi haina proper vetting kuangalia background checks?

Kitoto kimezaliwa 1982 tu juzi hapa watu wanashindwa kufanya background check?

Angekuja muhuni kazaliwa 1947 kweusi space huko hata pa kuanzia wangeweza?
Si ndo hapo sasa, wakati data base ya NECTA, NACTE na TCU ina information zote za watu waliomaliza form 4 kuanzia 1988 mpaka sasa hivyo information zetu wengi tuliopo humu JF ni simple kuzipata bila hata kuonyesha cheti (makaratasi)
 
Nina was was utakuwa chunguNi , maana nimepita jirani na magogoni nikanusa

Bashite out
Gambo DSM
Yule Dogo mpenda media wa kinondoni kaenda Arusha

Daahh ,sorry Mkuu nilikuwa ndotoni ,ngoja tusubiri kesho , nione kama nimekuwa Yusuph MZEE wa ndoto
Ndio hivyo hivyo.
Zimevuja
 
Wanabodi;
Salaam,
Nna hakika suala la Daud Bashite litachukua Sura mpya kuanzia kesho. Na ndo itakuwa mwisho wake. Tangu aingie madarakani mwishoni mwa mwaka 2015,Rais magufuli alikuwa akimsifia sana mkuu wa mkoa wa Dar.

Huyu ndo mkuu wa mkoa pekee aliyesifiwa sana hadharani! Kwa bahati mbaya huyo aliyemsifia ndo kawa wa kwanza kumuaibisha Rais wetu.

Ukiacha mkuu wa mkoa,wengine waliosifiwa ni kituo cha Radio na Tv vya Clouds media. Rais vyombo hivi amevisifia hadharani na hata kupiga simu katikati kipindi na kutoa maoni.

Vituo hivi ndivyo vilivyokuwa vimemkumbatia RC wa dar,vimejaribu kufanya poropoganda kumlinda Daud lkn vinaenda kuambulia aibu. Baada ya kuisha sakata la ndugu Daud vyombo vya clouds navyo vitatikiswa kwa kishindo kikuu..! Hawa jamaa wanakashfa za kutisha na zitaanza kuibuliwa mara tu baada ya Daudi kukubaliwa kujiuzuru hiyo kesho km atafanya hivyo..!!

Nawasilisha..
Mmmhhh kashfa gan mkuu wanazo na kwanin useme watapata aibu
Kuna mahusiano gan kusifiwa na mh raisi na hayo unayotabiri ww
 
Back
Top Bottom