Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

Baada ya kashfa ya Bashite, Radio Clouds nayo itamuaibisha rais

Nasubiria tuu hapa niskie jipu la usoni la mtukufu linavyotumbuliwa
 
Dar inatakiwa Kiongozi awe mkubwa ki umri na mwenye busara kiukweli,,,,mambo yakwenda kulialia madhabahuni ni upuuzi
 
Uongozi ni busara!
Kwangu mimi huyo kijana wa arusha sio kiongozi bora..kiongozi aliyeweka akili muda wote kupambana na wapinzani wake huyo hafai hata kidogo!

Unatakiwa uwaze ni kwajinsi gani utatatua matatizo ya mkoa wako kwa kushirikiana na watu wa mkoa wako na sio kuwaza jinsi gani nitaonekana mimi ndio mchapakazi na hawa wengine waonekane wavivu!

Wale maadui watatu kwa mujibu wa Hayati baba wa taifa hawajaisha hadi tuanze kuwahitaji watu wanaowaona watanzania wenzao kama maadui zao kwasababu ya tofauti zao za kisiasa!
Hizo usizopenda ndizo sifa za mteuaji kwa kiongizi kama ulikuwa hujui wanafurahia ukiwa mnafiki unajipendekeza unaonea wapinzani.
 
Nina was was utakuwa chunguNi , maana nimepita jirani na magogoni nikanusa

Bashite out
Gambo DSM
Yule Dogo mpenda media wa kinondoni kaenda Arusha

Daahh ,sorry Mkuu nilikuwa ndotoni ,ngoja tusubiri kesho , nione kama nimekuwa Yusuph MZEE wa ndoto
Patakuwa na raha yake.....!!!
 
Hivi cheti ameshatoa?
Huyu msanii wa elimu cheti atoe wapi? Laiti angekuwa nacho! Angeita waandishi wa habari kwenye hoteli ya kitalii na kuwatupia vyeti vyake wavipige picha!!
Cheti hana! Aibu ya kufa mtu! Aibu kwa boss wake! Aibu kwa Taifa! Yaani baada ya mbwembwe za kupiga vita wafanyakazi hewa, na vyeti hewa kumbe hewa bado IPO! Kibaya zaidi hewa inaonekana kukingiwa kifua!
 
Wanabodi;
Salaam,
Nna hakika suala la Daud Bashite litachukua Sura mpya kuanzia kesho. Na ndo itakuwa mwisho wake. Tangu aingie madarakani mwishoni mwa mwaka 2015,Rais magufuli alikuwa akimsifia sana mkuu wa mkoa wa Dar.

Huyu ndo mkuu wa mkoa pekee aliyesifiwa sana hadharani! Kwa bahati mbaya huyo aliyemsifia ndo kawa wa kwanza kumuaibisha Rais wetu.

Ukiacha mkuu wa mkoa,wengine waliosifiwa ni kituo cha Radio na Tv vya Clouds media. Rais vyombo hivi amevisifia hadharani na hata kupiga simu katikati kipindi na kutoa maoni.

Vituo hivi ndivyo vilivyokuwa vimemkumbatia RC wa dar,vimejaribu kufanya poropoganda kumlinda Daud lkn vinaenda kuambulia aibu. Baada ya kuisha sakata la ndugu Daud vyombo vya clouds navyo vitatikiswa kwa kishindo kikuu..! Hawa jamaa wanakashfa za kutisha na zitaanza kuibuliwa mara tu baada ya Daudi kukubaliwa kujiuzuru hiyo kesho km atafanya hivyo..!!

Nawasilisha..
UNATAKIWA KUOTA USIKU,SI MCHANA KAMA HIVI !
 
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza! Poleni mashehe na wachungaji mmejitahidi kumwombea lakini ziro hawezi kubadilika kuwa div 1! Mngemwambia atubu mapema dhambi ya kutumia cheti kisicho chake huenda Mungu angeona namna ya kumstiri!
 
Wanabodi;
Salaam,
Nna hakika suala la Daud Bashite litachukua Sura mpya kuanzia kesho. Na ndo itakuwa mwisho wake. Tangu aingie madarakani mwishoni mwa mwaka 2015,Rais magufuli alikuwa akimsifia sana mkuu wa mkoa wa Dar.

Huyu ndo mkuu wa mkoa pekee aliyesifiwa sana hadharani! Kwa bahati mbaya huyo aliyemsifia ndo kawa wa kwanza kumuaibisha Rais wetu.

Ukiacha mkuu wa mkoa,wengine waliosifiwa ni kituo cha Radio na Tv vya Clouds media. Rais vyombo hivi amevisifia hadharani na hata kupiga simu katikati kipindi na kutoa maoni.

Vituo hivi ndivyo vilivyokuwa vimemkumbatia RC wa dar,vimejaribu kufanya poropoganda kumlinda Daud lkn vinaenda kuambulia aibu. Baada ya kuisha sakata la ndugu Daud vyombo vya clouds navyo vitatikiswa kwa kishindo kikuu..! Hawa jamaa wanakashfa za kutisha na zitaanza kuibuliwa mara tu baada ya Daudi kukubaliwa kujiuzuru hiyo kesho km atafanya hivyo..!!

Nawasilisha..

Wana Dar Es Salaam tunamuhitaji Makonda, ni mchapa kazi na anafanya kazi kwa niaba ya watanzania. Big up rais wetu kutupa mtu huyu kwa ajili ya jiji letu ambalo lilichafuka kupitiliza.
 
Wana Dar Es Salaam tunamuhitaji Makonda, ni mchapa kazi na anafanya kazi kwa niaba ya watanzania. Big up rais wetu kutupa mtu huyu kwa ajili ya jiji letu ambalo lilichafuka kupitiliza.
Unatusemea wewe kama nani? sema wewe na familia yako kama wakazi wa Dar ndo mnamuhitaji mhalifu makonda.
 
Back
Top Bottom