Kumbe na ww watu kuchati kunakuuma eeh?? Wachawi mko wengi Tanzania hii Wallah!!!Serikali ifanyie kazi Ushauri huu Mzuri sana. Hata isipoitwa kodi ya Uzalendo lakini HAKIKA HIKI NI CHANZO KIZURI SANA CHA MAPATO/KODI KWASABABU TANZANIA HII MTU YUPO RADHI AKOSE VINGINE LAKINI SIO KUKOSA BANDO LA KUCHATI KWENYE GROUP NA TWITTER KUFUATIA MANGE, KIGOGO, KAJALA NA PAULA
Wazo lake hilo la kodi ya UZALENDO linawahusu watu wenye UZALENDO sio WAZALENDO. maana yake unaweza ukawa MZALENDO lakini huna UZALENDO Kwa hivyo, hiyo nikodi ya hiyari inayo wahusu watu maalum wenye UZALENDOMbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali...
Naunga mkono bwashee!Ingependeza kodi hiyo ikaanza kwenye malipo ya hao Wabunge kwa miaka 5 huku tukiendelea kupima uzalendo wao.
CC johnthebaptist Salary Slip PASKALI jingalao et al
Kwani Kodi ikiongezwa Utaacha kutumia Simu? Obviously utatumia tu, Maisha ya Kijamaa yametudekeza sana ndio maana tunataka kila kitu bure tu. Hata Bia ikiongezwa Kodi mnalalama tu.Kumbe na ww watu kuchati kunakuuma eeh?? Wachawi mko wengi Tanzania hii Wallah!!!
Akili yake imeganda, Ni akili barafuMbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.
Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540 kwa kila siku.
View attachment 1758533
Hivi wabunge wanaoongea pumba ndio wanawakilisha wananchi kupitia hizo pumba?Alipita bila kupingwa kwa maagizo ya shujaa
Dah...!!!Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.
Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540 kwa kila siku.
View attachment 1758533
Huyu ni mbu-mbu-mbu.Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.
Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540 kwa kila siku.
View attachment 1758533
Nakubaliana na wewe lakini pia taxi bubu nchini ziandikishwe na kupewa sticker kulipia kodi ya shs 30000/= kwa mwezi. Chanzo kipya sasa taxi hizo ni nyingi na zinaingiza pato lisilollipiwa kodi.Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.
Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540 kwa kila siku.
View attachment 1758533
Posho zote zikiwemo za wabunge zikatwe kodi. Chanzo kipyaIngependeza kodi hiyo ikaanza kwenye malipo ya hao Wabunge kwa miaka 5 huku tukiendelea kupima uzalendo wao.
CC johnthebaptist Salary Slip PASKALI jingalao et al