Huyu mzee nilijua naye atakuwa ata ana akili kidogo za kukulia mjini kumbe ni another bogus kabsa. Baada ya kufikiria sana nimegundua ushauri moja wapo wa Covid ni kutokukubali koo kukauka naona anaufanyia kazi kwa kuongea pumba tupu uko ndani.Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.
Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540 kwa kila siku.
View attachment 1758533
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app