Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

Mfumo wa binadamu sio wa kipekee kwa wanyama wengine.
Hivyo hakuna upekee
Unaweza kuzua vita vya tatu vya dunia ukiwaambia waamini mungu kwamba binadamu ni sawa na wanyama wengine wote tu ila kilichotutofautisha tukawa the ultimate apex predators ni ubongo wetu mkubwa na complex kutokana na evolution ya upande wetu tukaanza kuunda tools, kuzungumza na ku imagine fictions za kila aina zilizozaa cultures na civilizations za kila aina.
 
Nenda Serengeti kajaribu kumnyang'anya watoto wake Simba jike ambaye hajui story za Mungu uone reaction yake.

Pia Tembo huwa wanaomboleza na kupatwa majonzi mwenzao akifa na hata hawana habari za mungu.
Tembo kuomboleza ni ushahidi wa design, sio ushahidi wenu.
 
Hawakuumbwa watu wawili pekee.. There were a thousand of Adam and Eves ( There were a thousands of couples)
Kwa hiyo Adam and Eva haikuwa couple moja tu?

Zilikuwa thousands of couples za Adamu na Eva?

😂

Hii ni mpya hii, nimeisikia leo kutoka kwako.
Source : Common Sense
Common sense is not common!

Hii common sense yako inayokwambia kwamba kulikuwa na thousands of couples za Adamu na Hawa, inahitaji mental therapy.

Kama akili yako inakwambia kwamba kulikuwa na thousands of couples za Adamu na Hawa, Wahi hospitali.

Umeanza kuwehuka.
 
Kwanza kabisa tuchambue neno "mungu".

Mungu ni roho yenye mamlaka ya kuumba na kutawala ulimwengu. Uungu ni cheo. Hata wewe unaweza kuupata uungu ukiweza kushawishi watu kuwa uliwaumba na unawatawala.

Miungu ipo mingi sana na ina majina yake, mfano "Yahweh" wa wakristo nk nk. Miungu ina sifa za uwepo, upendo, ujuzi na uweza.

Kwa kulinganisha sifa hizi zinazoelezwa kwenye maandiko ya kidini na maisha halisi, tunaona kwamba miungu hii haipo. Mfano, mungu mwenye upendo hawezi kuruhusu watoto wachanga wapigwe mabomu Gaza nk nk.

Ulimwengu unaweza ukawa na muumbaji hatukatai(elewa neno "muumbaji"), lakini je, huyo muumbaji ana sifa za uungu? Hapana! Yupo kweli? Hatujui. Rahisi hivyo.😊
Kwani Mungu anahitaji wewe umpe ratings au umpasishe kwenye mtihani wako wa maadili ili awe Mungu?
 
Mtu wa kwanza nani?

Una uthibitisho kulikuwa na mtu wa kwanza?

Nani alimuona huyo mtu wa kwanza akiumbwa? 

Kama sisi ni descendants, iweje tuna tofautiana rangi na vinasaba?

Kama sisi ni descendants, iweje kuna waafrika weusi, wazungu weupe, wachina, waarabu, wafilipino, wakorea, wajapani?

Inakuwaje descendants tuna tofautiana?

Kwa nini hatufanani kwenye kila kitu kama origin yetu ni mtu mmoja wa mwanzo?
1. mtu wa kwanza kuubwa ni adamu ndo likapatikana jina wanadamu maana yake watoto wa adamu
2.uthibitisho ni biblia
3.aliyemuona anaubwa ni muumbaji mwenyewe
4.tunatofautiana sababu vinasaba viliubwa tofauti kama makabila
5.tunatofautiana kupendeza dunia
 
Kwahiyo ni nini asili ya mwanadamu ?
Wazazi wake.

Asili ya mwanadamu ni wazazi wake.

Asili yako ni wazazi wako.

Baba na Mama yako.

Hao ndio waliokuzaa.

Na hiyo ndio asili ya kila binadamu.

Binadamu wanazaliwa kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.

Ndivyo asili yetu ilivyo.
 
Ikiwa mifumo tata inahitaji muumbaji, basi muumbaji naye anahitaji muumbaji aliye tata zaidi. Hilo linapelekea msururu mrefu usio na mwisho wa waumbaji, ambapo kila mmoja anakuwa tata zaidi kuliko aliyemtangulia.

Kama haiwezekani ulimwengu kutokea tu wenyewe, Hata huyo Mungu hawezi kutokea tu mwenyewe.

Kama kila kitu kitahitaji kuwa na chanzo chake hata huyo Mungu atahitaji kuwa na chanzo chake.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu pasipo chanzo.

Na kama si kila kitu kilichopo kinahitaji kuwa na chanzo chake, Hata Ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things, havina na havihitaji kuwa na chanzo.
Unaamini ulimwengu unaweza kuwepo bila chanzo?
 
Yeye ni the self existent one, hana mwanzo wala mwisho, na yuko nje outside time, space, and matter, kumlinganisha na huo utumbo ni kuonyesha jinsi usivyoelewa hata dhana ya msingi ya unachokipinga.
Kwa maelezo Yako inaonyesha umeweka ceiling ufahamu wako.

Kama Kila kitu kinahitaji designer na hakuna kitu kinachotokea tu randomly.
Kitu gani kimemuumba Mungu?

Outside of space, time and matter?
Then there is nothing.
No God.
 
1. mtu wa kwanza kuubwa ni adamu ndo likapatikana jina wanadamu maana yake watoto wa adamu
Kwanza watu hawaumbwi.

Watu wanazaliwa kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.

Watu hawaumbwi na wala HATUKUUMBWA.
2.uthibitisho ni biblia
Biblia ni hekaya na hadithi za kutungwa na wajinga wa kale.

Biblia sio uthibitisho.

Biblia ni hekaya kama zilivyo hekaya za Abunuwasi.

Biblia imejaa hadithi zisizo na logical consistency.
3.aliyemuona anaubwa ni muumbaji mwenyewe
Huyo Muumbaji kabla ya kuumba kitu chochote kile, alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi?

Na pia kuliumbwa na nani?
4.tunatofautiana sababu vinasaba viliubwa tofauti kama makabila
5.tunatofautiana kupendeza dunia
 
Unaweza kuzua vita vya tatu vya dunia ukiwaambia waamini mungu kwamba binadamu ni sawa na wanyama wengine wote tu ila kilichotutofautisha tukawa the ultimate apex predators ni ubongo wetu mkubwa na complex kutokana na evolution ya upande wetu tukaanza kuunda tools, kuzungumza na ku imagine fictions za kila aina zilizozaa cultures na civilizations za kila aina.
Nilichojifunza Kuna watu ni wajinga kupita maelezo.
 
Unaamini ulimwengu unaweza kuwepo bila chanzo?
Ulimwengu hauhitaji kuwa na chanzo.

Kama kila kitu kilichopo kitahitaji kuwa na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu kitahitaji kuwa na chanzo chake kingine.

Hivyo kutakuwa na msururu mrefu wa vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho.

Huelewi nini?
 
Kwa maelezo Yako inaonyesha umeweka ceiling ufahamu wako.

Kama Kila kitu kinahitaji designer na hakuna kitu kinachotokea tu randomly.
Kitu gani kimemuumba Mungu?

Outside of space, time and matter?
Then there is nothing.
No God.
Kama kabla ya hapo hakukuwa na space, time, wala matter, kitu gani kilisababisha ulimwengu utokee?

Unaelewa hata unachokipinga kwa akili yako hiyo?
 
Ulimwengu hauhitaji kuwa na chanzo.

Kama kila kitu kilichopo kitahitaji kuwa na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu kitahitaji kuwa na chanzo chake kingine.

Hivyo kutakuwa na msururu mrefu wa vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho.

Huelewi nini?
Sheria ya mantiki inasema everything that begins to exist has a cause, ulimwengu una mwanzo hivyo unahitaji chanzo. Mungu hana mwanzo, Yeye ni eternal, hivyo hahitaji chanzo.
 
Ukimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au umewahi kumuona au ulimuona wakati anakitengeneza? .. Atakwambia " Sijawahi kumuona".

Muulize tena " Kama hujawahi kumuona alie tengeneza kitanda unatumia vigezo kusema kimetengenezwa na mtu? Atakujibu " Kwa kutumia tu common sense haiwezekani kitanda kama hiki ambacho ni mashine ( simple machine) kiwe kimetokea ti chenyewe bila kutengenezwa.. "

At the same time anasema " Mwanadamu ametokea tu mwenyewe bila chanzo".

How comes kitanda ambacho ni " Simple machine" kiwe kimetengenezwa, halafu huyu mwanadamu ambae ni " Complex machine" awe ametokea tu kwa bahati?

Wazo la namna hii haliwezi kukaa kwenye kichwa cha mtu mwenye akili timamu. Something must be missing in his head.

Anazidiwa akili hata na mtoto wa miaka mitatu. Watoto karibu wote duniani at that age huwa wanawauliza wazazi at that age huwa wanawauliza wazazi wao " Mama hivi mimi mlinitoaga wapi? ".

Tayari akili yake imesha pata ukomavu wa kujua kwamba lazima atakuwa ametolewa sehemu..

Hata kwa kutumia common sense au a " Probability Test" ni ngumu sana kwa akili ya mwanadamu ambayo inawaza sawa sawa ku conclude kwamba ametokea tu..

" The probability of human being to have been created by a higher power is 99% percent "..


Atheists ni wagonjwa wa akili 🔴

Je huyo Mungu katengenezwa na nani ?

Na aliemtengeneza huyo Mungu na yeye katengenezwa na nani ?

Hoja yako hiyo hiyo inakosa majibu ukiiweka kwa Mungu pia
 
Sasa Mungu sio jibu rahisi.

Na ndio maana hakuna uthibitisho wa uwepo wake.

Dhana ya Mungu haina mantiki na ndio maana utaona miongozo yake ipo katika msingi wa imani.

Imani sio mantiki.

Kwa hiyo kwa kanuni yako mwenyewe ambayo umeitaja, inapingana kabisa na swala la Mungu.
Sheria za asili kama gravity zilitoka wapi?
 
Back
Top Bottom