secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 22,671
- 47,392
Ndiyo maana kutwa kwenye maombi wanapigwa mitama, wanaanguka.Kmamke zao wagonjwa hao
Shootout to Tony Kapola.
Ndiyo maana kutwa kwenye maombi wanapigwa mitama, wanaanguka.Kmamke zao wagonjwa hao
Ngoja waje wakutane na matusi yako mkuu,watakuombea wakisema una pepo mchafu hhahaKmamke zao wagonjwa hao
- Kitanda vs Mwanadamu: Tunajua kitanda kina fundi kwa sababu tuna ushahidi wa viwanda, zana, na mafundi sio kwa sababu tu ni complex. Huwezi kuchukua sheria ya vitu vya kiwandani ukaihamisha moja kwa moja kwenye viumbe hai bila ushahidi.
- Complexity ≠ Design: Mfumo tata unaweza kujitengeneza kupitia mchakato wa asili.Mfano: Snowflake na kristo za chumvi zina maumbo tata lakini zinatengenezwa na physics/chemistry bila fundi. Evolution ina zana za ziada ambazo kitanda hakina: replication, mutation, selection, na miaka bilioni kadhaa.
- Natural Selection si Bahati: Random mutation inatoa mabadiliko, lakini mazingira (natural selection) ndiyo yanayochuja yaliyo bora. Random mutation ni waombaji kazi; mazingira ndiye mhojiaji.
- Paradox ya Designer: Ukisema "kila kitu complex kinahitaji designer," basi huyo Designer anayeweza kuumba ulimwengu lazima awe complex zaidi. Basi swali linabaki: Nani alim-design Designer? Ukisema yeye hahitaji designer, tayari umeivunja sheria yako ya kwanza.
Nimeweka namba hiyo kwa sababu najua duniani watu wenye common sense inayo wapa uwezo ku appreciate kuwepo kwa Mungu ni wengi kuliko wachache wasio amini.
- Hesabu za Kufikirika (99% Probability): Kutoa namba ya asilimia bila data, model, au Bayesian priors ni maoni binafsi yaliyovaa suti ya hesabu.
- Kosa la 'God of the Gaps': Sayansi kutoshtukia au kutojua chanzo cha kwanza cha uhai haimaanishi jawabu ni "Higher Power". Kusema "sijui" ni kauli ya kisayansi kuliko kujaza pengo kwa kitu kisicho na ushahidi.
Haya ni masefenge tu , halafu yana ugumu wa maisha hayo pia ni majanga wanayo pitia kmmkeNgoja waje wakutane na matusi yako mkuu,watakuombea wakisema una pepo mchafu hhaha
Akili wanazo ila zipo katika mkandamizo wa maarifa yaliyowafanya wawe hivyo walivyo. Kila mtu anaweza kuchongwa kwa namna yeyote ile, iwe katika ukweli au uongo.Wala usimsingizie shetani mkuu. Atheists hawana akili timamu period
Usikimbie mjadala, maana huwa ukizidiwa hoja unakimbia, swali liko palepale, kila kitu kilichopo duniani kina pattern na utaratibu wake, huu mfumo wa ulimwengu mnafahamu vipi kuwa ulijitengeneza wenyewe from the nothing?Acha kuwasingizia Atheists ujinga wako wa kidini. Atheists hawasemi kitanda kimetengenezwa na mtu kwa sababu ni mashine, pia msingi wa atheists hauko katika kumuona mungu au kumjua bala katika kufahamu.
ndy nitakupa jibuWewe unaamini kuwa binadamu alitengenezwa nikikuuliza kuwa aliyemtengeze binadu ni nani utanipa jibu?
Labda kwa sababu napenda kuwasikiliza watu wenye mawazo mbadala ila binafsi nawakubali atheits. Kuna namna ukiongea nao huwa wanaichambua dini bila mipaka ambayo waumini tumeekewa "usikufuru, usidhihaki" Na hivyo kutoa zile detailed explanations ambazo kwa namna flani huwezi kuziwazia.
Pia hawaishi kwa hofu ya dhambi, jehanum na mbingu kwa hiyo huwa wanainjoi maisha yao completely.
Sikubaliani na vingi wanavyovisema ila nakubali ujasiri na uwezo wao
Kwa hiyo Atheists wana fahamu nini kuhusu Mungu?Acha kuwasingizia Atheists ujinga wako wa kidini. Atheists hawasemi kitanda kimetengenezwa na mtu kwa sababu ni mashine, pia msingi wa atheists hauko katika kumuona mungu au kumjua bala katika kufahamu.
Nipe.ndy nitakupa jibu
Hii ni kweli ?..Atheists wengi kabla hawajawa Atheists wali kuwa 👇👇👇
1Very religious people. And because of that they developed a " Entitlement Mentality".Kwamba kwa sababu wao ni " Righteous People" basi wapo entitled kuwa blessed by God, kuwa protected against all bad things. Chochote wakimuomba Mungu awape on time. Sasa walipokosa hilo wakaamua kuwa " Atheists"
Nilikosea msg kidogo bwashee 😅
Sema baadhi ya wanasayansi wanasema ulimwengu ulijitengeneza wenyewe from nothing. Wanasayansi wengi hata hawasemi ulimwengu ulijiunda from nothing, wanasayansi wachache ndio wana hiyo theory. Wanasayansi wengi wanasema wanachojua mpaka sasa ulimwengu ulitoka katika big bang na zaidi ya big bang hawajui nini kilikuwepo au kama hata kulikuwepo na kitu.Usikimbie mjadala, maana huwa ukizidiwa hoja unakimbia, swali liko palepale, kila kitu kilichopo duniani kina pattern na utaratibu wake, huu mfumo wa ulimwengu mnafahamu vipi kuwa ulijitengeneza wenyewe from the nothing?
Hawafahamu chochote kuhusu mungu, hawajaona uthibitisho au ushahidi wake unaopimika mpaka sasa, ndio maana wanataka nyie mnaodai mnaamini yupo mthibitishe uwepo wake.Kwa hiyo Atheists wana fahamu nini kuhusu Mungu?
Waamini Mungu ni wagonjwa wa akili , wana matukio lukuki ya kuthibitisha hilo kuliko atheists
Umekiri mwenyewe, hawajui, sasa kama wanasayansi wenyewe wanajibu we don’t know kuhusu kilichokuwepo kabla ya Big Bang, nyinyi atheists mnaoibuka na kusema hakuna Mungu" mmetoa wapi hiyo absolute confidence?Sema baadhi ya wanasayansi wanasema ulimwengu ulijitengeneza wenyewe from nothing. Wanasayansi wengi hata hawasemi ulimwengu ulijiunda from nothing, wanasayansi wachache ndio wana hiyo theory. Wanasayansi wengi wanasema wanachojua mpaka sasa ulimwengu ulitoka katika big bang na mpaka zaidi ya big bang hawajui nini kilikuwepo au kama hata kulikuwepo na kitu.