Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,731
- 218,312
Jionee mwenyewe
Kishakengeuka .Huyu si alisema jiwe atubu
Nitajie kiongozi mmoja tu wa dini asiye mwanaccmJionee mwenyewe
Papa FrancisNitajie kiongozi mmoja tu wa dini asiye mwanaccm
Huyu si alisema jiwe atubu
Pastor Steven MdoeNitajie kiongozi mmoja tu wa dini asiye mwanaccm
Mzalendo anayeiogopa demokrasia ?Watumishi wa Mungu wameanza kukimbilia kwa Magufuli,
wameona njia sahihi kushirikiana na kiongozi bora na mzalendo
Kama macho huna basi hata kupapasa huwezi ?Sijaona ni wapi Kasema yeye ni ccm
Kama macho huna basi hata kupapasa huwezi ?
Hahahaaa....... Unadhani kwanini Lowassa alitangazia zamu ya waluteli Ufipa badala ya lumumba?!Papa Francis
Nitajie kiongozi mmoja tu wa dini asiye mwanaccm
Papa Francis
Huyu si alisema jiwe atubu
Watumishi wa Mungu wameanza kukimbilia kwa Magufuli,
wameona njia sahihi kushirikiana na kiongozi bora na mzalendo
Mshahara wa dhambi ni mautiWanafiki utawatambuwa kwa matendo yao
Kakobe mnafiki, hana msimamo