Askofu Kakobe sasa rasmi CCM. Huenda akaomba nafasi yoyote 2020 kupitia chama hicho

wewe kiongozi wa zone,seksheni au kanisa la nyumbani?
Mimi ni muumini wa fgbf Jana askofu ameniabisha na kunifedhehesha sana.kimsingi sikulala.askofu kweli unajiunga na watesi? Leo hata nimeshindwa kuja kanisani angalalau. Nadhani nahitaji majibu kama siyo kutoka kwako na nisipopata kutoka kwako itabdidi nimuulize Mungu!
 
Back
Top Bottom