Askofu Kakobe sasa rasmi CCM. Huenda akaomba nafasi yoyote 2020 kupitia chama hicho

Askofu amekosa kazi za kufanya? Kuna mahali tu wamebana maslahi yake. Ndio maana sasa hivi anaunga mkono juhudi
 
Matunda ya kuhojiwa uraia kama kutafuta kesi ya uchocheji kwa kupima mkojo yameanza kuonekana.
 
Ongeza sauti IMG_20191027_131122.jpg
 
Huyu si ndio alisema kuna mtu kuvaa hirizi kiunoni na shingoni, hazikufua dafu kwa Mashangazi wa Ruangwa.
 
Back
Top Bottom