Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,247
Hii ni Taarifa ninayoielekeza kwa CHADEMA, chama Pekee cha Upinzani Nchini Tanzania, kwamba 2020 kwenye ule ulioitwa Uchaguzi waandishi wengi wa habari wa vyombo vinavyoitwa binafsi, waligombea ubunge kupitia CCM , Huku wakiendelea kutumikia vyombo hivyo na wakiendelea kutangaza habari za uchaguzi ule kwa upendeleo wa wazi kabisa, sijui taaluma yao inaeleza nini kuhusu jambo kama hili.
Naweza kuthibitisha Majina machache ya Waandishi hao Mamluki ambao waligombea ubunge kupitia CCM, Mmojawapo yumo humu JF akiitwa Pascal Mayalla, huyu aligombea jimbo la Kawe na kuambulia kitita cha kura moja (Wajumbe noma), Mwingine ambaye pia niliwahi kusoma naye mahali fulani, akiitwa Abdala Baruani, huyu aligombea Ubunge Kigoma Mjini kupitia CCM na huku akijifanya kutenda haki kwenye utangazaji wake pale Azam media, huko anajulikana kama Baruani Muhuza, Sielewi sababu ya Vyombo vya habari vya Tanzania kuwaacha kazini watangazaji wao waliojinasbisha na CCM, huku vikijifanya kutenda haki.
Ni Muhimu sana kwa Chadema kuanzia sasa kuwatenga kabisa Waandishi wa Habari ambao wana vinasaba vya wazi na CCM, hawa ni wahujumu wa Demokrasia kwenye kitengo cha Upendeleo.
Nyongeza: Majina yote ya Waandishi wa Habari waliogombea Ubunge kupitia CCM 2020 na kuendelea kufanya kazi kwenye vyombo hivyo yataanikwa hapa hapa kwenye uzi, Erythrocyte au CIA anaendelea kuyachakata., Hakutakuwa na Mswalie Mtume.