Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Mimi hapa siyo mwana ccm na kamwe siwezi kuwa mwana ccmNitajie kiongozi mmoja tu wa dini asiye mwanaccm
Mimi hapa siyo mwana ccm na kamwe siwezi kuwa mwana ccmNitajie kiongozi mmoja tu wa dini asiye mwanaccm
Sema wameona njia sahihi ya kuficha maovu yao ipo hukoWatumishi wa Mungu wameanza kukimbilia kwa Magufuli,
wameona njia sahihi kushirikiana na kiongozi bora na mzalendo
Tatizo akili zako na zake huyo Kakobe zinafananaHakuna mahali Kasema yeye ni ccm
Hakuna
Watumishi wa Mungu wameanza kukimbilia kwa Magufuli,
wameona njia sahihi kushirikiana na kiongozi bora na mzalendo
Wewe ni kiongozi bakwata?!!Mimi hapa siyo mwana ccm na kamwe siwezi kuwa mwana ccm
Sema wameona njia sahihi ya kuficha maovu yao ipo huko
Wewe ni kiongozi bakwata?!!
Njaaa mbaya sana haki ya munguHuo ndo ukweli,magufuli ni mjumbe we mungu,na kila goti litapigwa kwake,mungu ambariki mjori wake jpm
Gwajima, ndo maana mlimpakazia kesi ya madawa ya kulevya, mkaona haitoshi mkatengeneza video ya ngono ili kumchafua na hilo mkashindwa, mmelaaniwa nyie kizazi cha nyoka.Nitajie kiongozi mmoja tu wa dini asiye mwanaccm
Kwani Gwajima ni kiongozi wa dini?!Gwajima, ndo maana mlimpakazia kesi ya madawa ya kulevya, mkaona haitoshi mkatengeneza video ya ngono ili kumchafua na hilo mkashindwa, mmelaaniwa nyie kizazi cha nyoka.
Kajitambua ukiona hivyo.
Kwani Askofu kakobe ana makandokando gani Jamani mpaka afikie hatua ya kumwacha Mungu yani kuacha kuwa na hofu ya Mungu na kuwa na hofu na wanadamu?Mkuu kwa Jiwe lazima tu unyooshe mikono juu hasa ukiwa na makandokando
Njaaa mbaya sana haki ya mungu
Huyu alijisalimisha siku nyiiiiiiiingi!Vipi Gwajima yeye bado yupo CUF ?
Hiyo sio sababu ya askofu kakobe kubadilika. Namfahamu askofu kakobe alikuwa ni mtu mwenye msimamo mno.Tangu apekuliwe na kukutwa na mabilioni kanisani kwake basi ameamua kuunga mkono juhudi
Sema wameona njia sahihi ya kuficha maovu yao ipo huko
Maslahi mapana ya tumbo hayaruhusu tena.Huyu si alisema jiwe atubu
Kakobe ni mtumishi.Maslahi mapana ya tumbo hayaruhusu tena.