Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Mwisho wa kukashfiana ni October 25, baada ya hapo tunaheshmiana
 
[h=2][/h]
Katika hali isiyotarajiwa mshenga anaejulikana kwa jina la Gwajima akizungumza na waandishi wa habari leo hii amejikita zaidi ktka kujibu hoja za maskofu zaidi ya 30 kununuliwa na mzee wao. Hata hivo ilitegemewa kwamba angejikita zaidi ktka kujibu hoja zinazomhusu yeye mwenyewe lkn kaamua kuwajibia viongozi wote wa kidini. Waumini wake pamoja na wanainchi wengine wamesikitishwa sana na hali hiyo.

Kweli hawa ndio watu wenye kutoa mafundisho ya mwenyezi ,Mungu kubadilika na kuwa wanasiasa wenye uchu wa madaraka.

POLENI SANA WAUMINI WA MSHENGA.​

Ewe makitoro ni nani aliyekuroga na Umekula maharage ya wapi
 
Leo gwajima. Mwongo?si mlishangilia dr.kama mwanachama wenu!tulieni kwenywe dozi dripu isijechomoka...mkakosadozi...bure?!
 
Mimi simuelewi kabisa huyu Gwajima, sasa yy ni mchungaji/au ni kada wa Chadema, anaongea mambo ya kisiasa kabisa na kutetea hija za kisiasa wakati yeye ni mtu wa dini, au ndo ametumwa na CHADEMA katika harakati za kuzima hoja za Slaa, anajimaliza kabisa kiroho, na wala waumini wenye uelewa wasigeweza kumuamini tena....ya kaisari mwachie kaisari na ya Mungu ampe Mungu

Hata mimi sijamuelewa kabisa ndo maana watu wanasema Gwajima ni MSHENGA WA ......
 
Beki za CCM zimeshapoteana..
Ni matobo tu kwa kwenda mbele
 
Hiyo msg aliylionesha inasomekaje?
Issue ya ushenga kasemaje?
Kwahiyo kumbe Slaa ni muongo hakuambiwa na Gwajima kuhusu maaskofu kuhongwa.
Gwajima mbona anaongelea zaidi ndoa ya Slaa kuliko hoja?
Gwajima ana uzoefu na ndoa ni Askofu na ameoa mbona yeye ni muasherati pia? (hili nina ushahidi ndio maana nimeandika)

Hebu tuwekee hapa huo Ushahidi wa Uasherati wa Gwajima
 
Kwa jinsi Dk slaa alivyochafuliwa (whether ni ukweli au uwongo) leo na Gwajima pamoja na viongozi wengine wa Ukawa....

Inamaana Chadema haikuwahi kuwa na mtu sahihi wa kuliongoza Taifa hili kabla ya Lowassa and Co kuhamia chadema??...

Na kama Lowassa and Co wasingehamia Chadema ... je kungekuwa na mabadiliko , na hayo mabadiliko yangekuwa championed na nani ?
 
Huu uchaguzi strategy zinazotumika si mchezo-Lowassa yuko background halafu wapambe,s are leaving no stone unturned- Kubenea nae mbeya kamaliza kabisa Mwakyembe-yaani CCM sijui watapenya vipi- yaani kama tuko mamtoni vile
Ccm habari yake imeisha kabisa. Lowasa anasubiri kuapishwa tu. Mungu ibariki Tanzania
 
Tatizo ni JK. Alipaswa kuwa mkali kidogo. Ameshusha hadhi ya urais na mamlaka zote za serikali. Yaani yeye kila kitu ni kucheka tu na kugawa vyeo kwa marafiki zake. Matokeo yake ndo haya sasa. Huwezi kujua yupi ni yupi na nchi inakwenda tu kama boya. Rais ajaye atakuwa na kazi kubwa kurudisha hadhi ya taasisi ya urais na taasisi nyinginezo za nchi. Hovyo kabisa!


Kweli kabisa sijui anaondoka lini JK, anaiacha nchi ktk hali mbaya sana, sasa usalama wa taifa nao umegawanyika kwenye siasa, hakuna wa kulinda nchi. sijui siku hizi hawalipwi vizuri? tunamwomba Rais ajae awalipe vizuri ili watulie kwenye kazi yao nchi iwe salama.
 
nyie kama mnapata muda wa kufuatilia watu wapuuzi kama akina gwajima kazi za kuwapatia kipato mnazifanya saa ngapi?

mbona siku walipomfatilia yule mla kondoo wa bwana na msaliti hukuuliza haya?
 
Gwajima ana haki kabisa ya kujitokeza kumjibu Dk Slaa kwa sababu Dk Slaa alimhusisha Gwajima pale Serena kwanza, alimhusisha Gwajima kuwa ndiye aliyemwambia kuwa maaskofu wamehongwa, hili halikupaswa kujibiwa na Askofu yeyote isipokuwa Gwajima na sasa amejibu kuwa hakuna Askofu aliyehongwa hivyo muwaache maaskofu! Nadhani Dk Slaa angejikita kupambana na Lowasa bila kumgusa Gwajima asingejitokeza!
 
Upumbavu ni kuamini kila asemacho Gwajima
Mi nadhani upumbavu ni kuamini kwamba...
1. Magufuli anashangaa Tanga hadi Mtwara hakuna kiwanda kikubwa cha samaki... ANAMSHANGAA NANI..??? CCM, wananchi au JK..??
2. Magufuli anashangaa duka la nje ya hospitali kuna dawa wakati hospitali haina dawa... ANAMSHANGAA NANI..??? CCM, wananchi au JK..??
3. Magufuli anashangaa wiki ya maji wakubwa wana maji na wadogo hawana hata tone... ANAMSHANGAA NANI..??? CCM, wananchi au JK..??

KWA VILE NILIAMINI GRID YA TAIFA INGEJENGWA SONGEA, KAGERA NA KIGOMA, NA HAIJAJENGWA, NITAKUWA MPUMBAVU NA LOFA KAMA MTU WA KUTOKA CHAMA KILE KILE ANATOA AHADI VILE VILE

 
Back
Top Bottom