Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Gwajima ni pepo linalotumia miujiza kumsaidia lowasa tunajua ni mpuuzi tu,
 
huu uzi ulikuwa unakimbia sana, nimefukuzana nao lisaa lizima, mpaka hapa page ya 31, nilichojifunza ni kuwa

1. JOSEPHINE NDIYE ANAENDESHA MAISHA YA DR. SLAA, NA SLAA HANA CHA KUSEMA DHIDI YAKE, NA HUYU MAMA NDIYE ALIBADILISHA KABISA AKILI ZA DR. SLAA KUENDELEA KUBAKI CHADEMA, NA KUMBE KISA NI URAIS NA U 1 LEDI BAASI, HAKUNA CHA ISHU YA UFIADI WALA NINI...
2. IKO DHAHIRI SHAIRI KUWA SASA DR. SLAA NI MTUMWA WA TISS AMBAO NI WALINZI WA UTAWALA MBOVU WA CCM,-HIVYO INAWEZEKANA DR. SLAA AKARUDI CCM RASMI..
3. MCHUNGAJI GWAJIMA ANAJUA MAMBO MENGI ZAIDI YA NDANI YA NDOA YA DR. SLAA

USHAURI WANGU KWA CCM NA DR. SLAA
WAJIKITE KATIKA HOJA MUDAA HUU WA KAMPENI, WAACHE MAMBO YA PERSONAL ATTACK

WATU WA KITENGO TISS NAWASHAURI SANAA WAACHE KUTUMIKA NA CCM WATAINGIZA TAIFA KATIKA MACHAFUKO, MAANA INAONYESHA TENA KUNA MAMBO MAKUBWA YAMEFANYIKA HUKO SOUTH AFRICA BETWEEN TISS NA DR. SLAA, NA DR. ALIBEBA MIZIGO ISIYO SALAMA .

KWAHERINI, TUKUTANE OKTOBA 25. 2015.
 
mkuu, hii dozi ya leo si ya kitoto ati! magamba wasipopona kwa dozi hii wasubiri kifo tu, hakuna jinsi...tumechoka!

Lazima wasepeshwe maana wanatumia vibaya nguvu yao madarakani, yamekaa kibabe babe tu. fisiem OUT maana hamna NAMNA
 
Magazeti ya kesho, yapigwe marufuku mtu kununua magazeti zaidi ya matatu.

Watu wengi wamekosa hotuba ya leo kwa sababu sehemu kadhaa zilikosa umeme. Hivyo, kesho muuza magazeti ukiruhusu mtu anunue mengi kwa mkupuo, wakati hujui anapeleka wapi, kuna hatari ya kuwa yamenunuliwa na mtu ambaye hataki hotuba ya Askofu Gwajima isambae na huenda anafanya kampeni yachomwe moto huko anakoyapeleka.

Ni lazima tuwe wabunifu ku-preempty technicalities kama hizi.

Viva Askofu Gwajima, viva mwana-JF kwa kunielewa.

Mkuu hiyo hotuba yake imebeba nini haswa pls
 
yaani anatuletea habari zisizo na mashiko.
Yaani askofu anakashfa za ndoa kibao..afu naye anamsema mwenzie

kwako wewe zenye mashiko ni za dr. Slaa. Ama mkuki kwa nguruwe mtamu!!!!!!!!!!!!
 
Magazeti ya kesho, yapigwe marufuku mtu kununua magazeti zaidi ya matatu.

Watu wengi wamekosa hotuba ya leo kwa sababu sehemu kadhaa zilikosa umeme. Hivyo, kesho muuza magazeti ukiruhusu mtu anunue mengi kwa mkupuo, wakati hujui anapeleka wapi, kuna hatari ya kuwa yamenunuliwa na mtu ambaye hataki hotuba ya Askofu Gwajima isambae na huenda anafanya kampeni yachomwe moto huko anakoyapeleka.

Ni lazima tuwe wabunifu ku-preempty technicalities kama hizi.

Viva Askofu Gwajima, viva mwana-JF kwa kunielewa.

We sio bure nahisi unamatatizo ya akili kidogo pole sana
 
Mda mrefu anautumia kutuambia mambo ya familia ya dr slaa wakati ya kwake naye tunayajua na kina mbasha,,, jibu hoja gwajima tupé uthibitisho kwa nini hawa maaskofu 30 hawakuchukua mlungura?? wale viapo na wewe kula kiapo mbele za Mungu kama hukusema hayo maneno ,, dr alikuwa jasiri siku nyingi kuyasema haya kabla hata 2015 leo eti mnakuja kutuambia tatizo urais,, kwani dr slaa ameanza kumuita leo LOWASSA fisadi?? Gwajima hiyo ngoma huiwezi tunakuona kituko au mkurupukaji tu kama lissu,, ndio wale mliitwa vifaranga na ZZK,, sio bure ila kuna shida mahali inawasukuma lakini ni muda ndio utasema,, GWAJIMA leo amekuwa lulu na watanzania mnamsikiliza wakati enzi zile watu wako msituni wanapambana yeye alikuwa bize na kanisa lake,, hana jasho wala damu kwenye harakati hizi za kujikomboa baadala yake tunamuona kama kibaraka tu,, slaa ametoka jasho na damu kwenye hizi harakati na wengine mlikuwa mkila tu keki ya taifa kwa kuchangisha waumini wenu eti leo mko Mbele kuwakebehi mtu kama dr slaa... Jibu hoja gwajima na kutengeneza ushahidi utakaofanya watu wakuamini na si hizi sinema..
well Said
 
Natamani Gwajima ndani ya masaa 24 awe ndani ya mikono ya sheria, na kama amekuwa mwanasia aweke wazi
 
Je wenzio wakiamua kuyanunua yote yakiwa bado printing rooms itakuwaje??????
 
Hivi gwajima ana utakatifu UPI wa kusema wengine,majini yke ndo yanamdaidia kumuongoza lowasa anazani hatujui,
 
Mkristo wa kweli na mchungaji wa kweli mbele za Mungu anayajua haya....

Mathayo 18

1 Saa ile wanafunzi wakamwendea Yesu
wakisema,
2 Ni nani basi aliye mkuu katika ufalme wa
mbinguni? Akaita mtoto mmoja, akamweka
katikati yao,
3 akasema, Amin, nawaambia,
Msipoongoka na kuwa kama vitoto,
hamtaingia kamwe katika ufalme wa
mbinguni.
4 Basi, ye yote ajinyenyekeshaye
mwenyewe kama mtoto huyu, huyo ndiye
aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni.
5 Na ye yote atakayempokea mtoto mmoja
mfano wa huyu kwa jina langu, anipokea
mimi;
6 bali atakayemkosesha mmojawapo wa
wadogo hawa waniaminio, yamfaa
afungiwe shingoni jiwe kubwa la kusagia,
na kutoswa katika kilindi cha bahari.
7 Ole ni wa ulimwengu kwa sababu ya
mambo ya kukosesha! Maana hayana budi
kuja mambo ya kukosesha; lakini ole wake
mtu yule aliletaye jambo la kukosesha!
8 Basi mkono wako au mguu wako
ukikukosesha, ukate ukautupe mbali nawe;
ni afadhali kuingia katika uzima hali
umepungukiwa na mkono au mguu, kuliko
kuwa na mikono miwili au miguu miwili, na
kutupwa katika moto wa milele.
9 Na jicho lako likikukosesha, ling'oe,
ukalitupe mbali nawe; ni afadhali kuingia
katika uzima una chongo, kuliko kuwa na
macho mawili, na kutupwa katika jehanum
ya moto.
10 Angalieni msidharau mmojawapo
wadogo hawa; kwa maana nawaambia ya
kwamba malaika wao mbinguni siku zote
huutazama uso wa Baba yangu aliye
mbinguni.
11 [Kwa maana Mwana wa Adamu alikuja
kukiokoa kilichopotea.]
12 Mwaonaje? Mtu akiwa na kondoo mia,
mmoja akampotea, je! Hawaachi wale tisa
na tisini, akaenda milimani, na kumtafuta
yule aliyepotea?
13 Hata akipata kumwona, amin,
nawaambia, amfurahia huyo zaidi, kuliko
wale tisa na tisini wasiopotea.
14 Vivyo hivyo haipendezi mbele za Baba
yenu aliye mbinguni kwamba mmoja wa
wadogo hawa apotee.
15 Na ndugu yako akikukosa, enenda
ukamwonye, wewe na yeye peke yenu;
akikusikia, umempata nduguyo.
16 La, kama hasikii, chukua pamoja nawe
tena mtu mmoja au wawili, ili kwa vinywa
vya mashahidi wawili au watatu kila neno
lithibitike.
17 Na asipowasikiliza wao, liambie kanisa;
na asipolisikiliza kanisa pia, na awe kwako
kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru.



MITHALI 25:9
Ujitetee na mwenzako peke yake; Bali
usiifunue siri ya mtu mwingine.
 
huyo slaa mwambieni huko hotelini alikowekwa na usalama aite press conference ataje ile 'list of shame' aone kama hatajikuta segerea! na hizo gharama hapo hoteli ni
za ccm au serikali?
 
Hotuba imeonyesha nguvu ya kanisa kwenye vyama vya siasa na nchi
 
Hapa ndipo Gwajima anapojidhihirishia kuwa yeye ni Mshenga

Kwani aliwahi kukataa? Muhimu ni jinsi credibility ya phantom yenu vs nguvu ya mkewe na chanzo cha chuki na hasira aliyojitahidi kui-link na uzalendo au uchungu na nchi yetu kumbe ilikuwa ni uchungu wa kutukanwa na mkewe.
 
Back
Top Bottom