chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Huyu anafanya siasa za kipuuzi sana.!
Tulia mbetuliwe na mtumishi
Huyu anafanya siasa za kipuuzi sana.!
nyie kama mnapata muda wa kufuatilia watu wapuuzi kama akina gwajima kazi za kuwapatia kipato mnazifanya saa ngapi?
2. mke kadondoka kazimia kabisa...maombi toka Korea yakamzindua Josephine!
Mimi nilidhani anatoa majibu ya tuhuma zile za ufisadi
Sikiliza vizuri ile clip ya Gwajima, hakutukana wala kuwadharau maaskofu wa katoliki bali alisema kuhusu Pengo peke yake kwa kwenda kinyume na makubaliano ya maaskofu. Mkuu usitugawanye kidini
Jamani hii ya kutoa siri za matatizo ya WAUMINI linaondoa kabisa credibility ya hawa wachungaji.
acha utani wewe na gwajina mpuuzi ni nan?
Truth is one!!! Who knows Gwajima is speaking the truth?