Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Naona Gwajima anachonganisha zaidi.
 
Nyie acheni..hamjui yule mama anamfanya nini dr slaa... dr sla ukimuona tu yupo na yule mama anakuwa kama zezeta flan hivi. huwa hajitambui hata kidogo. mi siku zote najiuliza sababu ni nini.... sasa naelewa kuwa tatizo lilikuwa nini. maskini dr slaa amekuwa kama mjinga kama ndondocha hata hajielewe kwa yule mama tizama sasa anavyoumbuka. alidhani watu wangenyamaza tu? no hakuwah kufikiria kabisa kuwa haya yatafika huku. yule mama mswahili sana alitangaza kwa watu kuwa yeye atakuwa first lady? haaah. very childish and totally un-matured.
 
Kiongozi wa kiroho anazungumzia matatizo ya ndoa za watu kwasababu ya siasa ......Alafu badala ya kuja kukanusha maswali ya Dr Slaa anakuja kusema mambo ya ndani ....haya ndio matatizo ya uaskofu wa kupeana na mkeo .....maadili zero ....
 
Ruvuma wamekata umeme mida hii baada ya kuona nyara yao inaanikwa wazi na askofu!
 
Gwajima anasema kua Dr.W.Slaa akimjibu basi na yeye ataelezea tena kwenye press Juzi Dr. Slaa alikua South Africa kufanya nini na usalama wa taifa, alikua na nani, alibeba mizigo ipi na imefichwa wapi.
 
Last edited by a moderator:
Yaan huyo anatuletea mambo ya ndoa za watu
Sizani kama ndoa ya DR Slaa watanzania inatuhusu
Ndoa zetu nitosha kabisa tunachotaka nimambo ya msingi yenyekujenga taifa letu la Tanzania, au nayeye kahongwa aseme tu ukweli

Yaani anatuletea habari zisizo na mashiko.
Yaani Askofu anakashfa za ndoa kibao..afu naye anamsema mwenzie
 
mwacheni dr slaa apumzike jamani,hii shida sasa.
 
Exactly Mkuu,yan Ukawa Wanabaki Kushambulia Familia Ya Dr. Instead Ya Kujibu Hoja..Huyu Gwajima Atueleze Watz Kwanin Wewe Kiongoz Wadin Ujihusishe Na Siasa Tena Direct Kabisa?Hata Amiri Jesh Mkuu Anaweza Kuendeshwa Na Mkewe Sembuse Slaa,familia Ngap Kanisan Kwake Zinamatatizo Nazo Hzo Anazitangazaga Hadharan?

Kama huna maswali ya maana kuuliza hadharani piga kimya. Mie naona chenga tu hapo, hamna unachoongea.
 
Back
Top Bottom