Hapana mkuu .Huyu askari mstaafu Kimaro a.k.a Saba Sita, anafukuzana na kivuli chake cha mauti.
Siyo rahisi kwa mila za kiafrika, kukikaribisha kifo kwa bashasha na kimipango kama huyu Saba Sita anavyofanya.
Msuti yake yamemkaa akilini kisawasawa na hafikirii kitu kingine cha maendeleo.
Huyu Saba Sita asingekuwa na muonekano wa afya, tungesema anaumwa, anatamani kufa.
Hisia zangu ni kwamba huyu Saba Sita kuna kitu kinamsumbua kiskili. Kuna mshali kacheza rafu wakati wa utumishi polisi.
Kuna harufu ya damu inamfukuzia.
Ni afrika, ukifikisha 70 unajiandaa kufa ila mbele una miaka 70 unataka urais...
Yeye anaona ashamaliza anakufa soon