Asante Sana Roullete

Asante Sana Roullete

Rushwa ya namna gani?
Ziko rushwa nyingi sana sema ni ipi? Roulette yuko juu kiuchumi anamiliki Bahari Beach Hotel na Meli moja ya mizigo so sina cha kumuhonga!


Ahhh usinitafutie ban hapa sitaki kabisa kumtaja taja Roulette
 
Last edited by a moderator:
Roulette umenibania kunigongea hiyo like.....sasa nitahakikisha like ya 5000 utakayopata nitagonga mhuri mimi
 
Last edited by a moderator:
Roulette umenibania kunigongea hiyo like.....sasa nitahakikisha like ya 5000 utakayopata nitagonga mhuri mimi

Nitashukuru sana Boflo. hata hivo wewe umesha vunja record ya kuni-tag katika threads.
 
Last edited by a moderator:
Roulette najitahidi sana aise
Si unajua wengine tulisoma kw ataa za chemli hivyo busara ziliishia huko huko
Hapa najitahidi mpaka nafikia uwezo wa mwisho
Nikizidisha hapo nitakuwa kichaa sasa

Bora hata wewe ulikua na taa ya chemli. sisi tulikua na koroboi, full moshi! ila nawashukuru wana Jamii Forums, from my interaction with them nimeongeza sana uelewa wangu na uwezo wangu wa kufikiri.
koroboi-300x200.jpg
 
mie BADILI TABIA, mke mkubwa wa Asprin, niliyehudhuria harusi ya mke wa pili Yummy ni shahidi tosha kuwa una hila ya kumuibia mume wetu...


BADILI TABIA huyo mke mwenzako Yummy akija kwangu anajifanya msamaria over nani sijui ila akitoa tuu pua nje ya mlango anageuka mwewe
Na wala hapo hana ndoa anaiba tuu kwa babu Asprin ila nikimkamata atajua ukoo wangu ni upi
 
Last edited by a moderator:
siwezi sema, hii ni saplaizi ya mwaka.
Unaruhusiwa kuja na watu watatu zaidi.

Umeona eeeh? Bahati yake mbaya, Eid hii nimealikwa na Kongosho tunaenda zetu out. Sijui wananipeleka wapi...
 
Last edited by a moderator:
Erickb52! am happy kukuona tena! mwahhhhh!
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 kwa kweli ulistahili ile'LIKE'
Nami nakuongezea :A S thumbs_up:nd':A S thumbs_up:nd':A S thumbs_up:nd':A S thumbs_up:nd':A S thumbs_up:nd':A S thumbs_up:
'
Tuko pamoja.
 
Erickb52 kwa kweli ulistahili ile'LIKE'
Nami nakuongezea :A S thumbs_up:nd':A S thumbs_up:nd':A S thumbs_up:nd':A S thumbs_up:nd':A S thumbs_up:nd':A S thumbs_up:
'
Tuko pamoja.
HEHEHEHEHEEEEE
Kwanini nastahili Madame B ...?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom