Asante Sana Roullete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asante Sana Roullete

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Erickb52, Aug 15, 2012.

 1. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Roulette naomba nikupe shukrani zangu nyingi kwa kuiona POST YANGU kuwa ndiyo yenye uzito na kukufurahisha kama ulivyoahidi hadi kutoa Like yako ambayo imenimwagia Rep Power za kutosha.....!
  Thanks sana Madame!
  Pia naomba kutoa salamu zangu kwa wanachitChat wenzangu wooooote kwa kunikumbuka sana nami pia nawakumbuka na tuko pamoja daima!
  Special Greetings kwa Amyner (Love you bby) ummu kulthum Bishanga BADILI TABIA najua ulikuwa umenimiss sana love Remmy Miss you sana
  Asprin na Kaizer Judgement Rejao Mtambuzi (Nawamiss kaka zangu) cacico Cantalisia Erotica Zinduna Mwali Catherine YNNAH gfsonwin Madame B The secretary sweetlady beibe nasty King'asti afrodenzi Kongosho Yummy Miss you ladies
  Pia Best zangu Mr Rocky Nicas Mtei Smiling Saint (Miss you kijana wangu) Ruhazwe JR Katavi mtu chake PakaJimmy BAGAH TANMO Arushaone Boflo @ hope mambo yenu yako poa...... Preta sijakusahau jamani..Miss you jirani yangu(Tukutane Babylon badae)!
  Na wooote ambao sijawataja nawakumbuka sana na tuko pamoja!
  Mwisho shukrani tena kwa Roulette ...Big Up sana!
  Mfungo mwema!
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Mhhh Erickb52 karibu sana mkuu
  Tulikumiss sana mkuu
  karibu tena na jua kwamba mkeo BADILI TABIA yuko kwa Asprin huko anamkanda miguu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  waume zangu wote humu naona umewataja....mke wao umenisahau.....hivi wantakani weye......
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hongera sana ..
  I'm really happy for you . Congrats
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,740
  Trophy Points: 280
  hivi aja kuruhusu tu? Kweli kuna wanawake wanajua kuteka yan hata mtu hapati pumzi! Nomaa welcome back Erick
   
 6. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Happy to see you again! Welcome back my love!
  Nilikuwa mwaminifu nakusubiri wangu wa Moyo.
   
 7. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kumbe wewe ndio ulifanikiwa kumsisimua @roullete! Hongera sana kijana.
   
 8. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haki haikutendeka.....
  mm ndio nilipaswa kupata hiko ki like adhimu
   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Asante sana Mr Rocky
  Vipi mkeo Yummy hajambo?
  Mimba yake inaendeleaje?
  Alishaachana na Asprin ?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Erickb52 asante sana mkuu
  Bado anaiba aise
  ila sijamkamata nasikia fununu tuu ila namvizia nikimpata talaka yake anayo na za ukoo wake wote
  Ila nimemuona mkeo BADILI TABIA akiwa na Asprin leo wanaenda kula kwenye lile genge la mama lishe pale mtaani Preta ukiona hivyo ujue umesghaachwa pamoja na kujitahidi kutoa ofa za nyama choma na bia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Asante afrodenzi
  Hebu nipe kitu kimoja cha pongezi cha ukweli!
  (Vile vya kumulikamulika)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Heheheee umeona eeeeh
  Dah Catherine za siku nyingi mumy
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Asante Remmy kipenzi changu...!
  Miss you sana!
  Mzima?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaaaaaa Preta bado yuko juu sana kama huamini muulize KakaKiiza anajua au Tanmo coz ukimuuliza mtu chake hatajua (Ameshamchoka)
  Dawa ya Asprin hujaijua bado?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #15
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaa Boflo ooooooo
  Wewe atakupa kule jukwaa fulani kama bado member lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #16
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  erick52 Preta kasema chawote sijui kama ni kweli, basi kwa kukusaidia Blaki Womani kamwambia nitonye kuwa umemsahau au akina Boflo wamekuchanga na like zao!!!!!

  Jambo moja la maana uliliofanya ni kumtakia Roulette mfungo mwema ni dalili ya ku book kadi ya Iddy lol.

  Kwa ujumla nawatakia wote wana JF Iddy njema ambayo inajongea kwa kasi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Halafu naomba uni PM faster Catherine nina ujumbe wako!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #18
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa Mzee wa Rula we hujajua wivu wa Preta kuniona natesa na watoto wa Dar?
  Lol mwache tu kwa kuwa namuheshimu sana mtu chake otherwise ningeshama nyumba nkakae kwa Preta
  Halafu akina Boflo na dada zake akina cacico ni watu wangu wa karibu so hawana majungu sana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #19
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  ruttashobolwa kamanda wangu naamini hujambo kabisa....!
  Naomba nikupe jukumu moja kubwa Kuwalinda shemeji zako wote humu kwa kuwa najua Asprin na platozoom hawakawii kuwakagua na kuwaharibu mind zao!
  Please hakikisha wako salama muda wote
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #20
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndio ujue kuna kitu kinaendelea. Kwanini awataje akuache? maybe anaenda kuwaunganishia kwa kina @erotika. Stuka, chukua hatua!
   
Loading...