Asante Sana Roullete

Asante Sana Roullete

Last edited by a moderator:

Unajua nini Mkuu
Erickb52......, I Salute you'
Humnyimi member
'LIKE' pale panapostahili.(Hayo ni mawazo yangu Madame B) kwani nashuhudia.
Endelea na moyo huo huo na Allah Atakuhafu.

Dah Madame B asante sana aisee
I do appreciate maneno yako!
Big up sana!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikutumie picha yangu kama umeni-miss

images
Mtambuzi nini tena baba Ngina aisee?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaa.....
Ulikuwa hujui?
Mbona hupatikani kwa cm bana?

Hahaha Remmy nimechomoka kidogo soon ntarudi my dear. Ndo kqaanza nafunguka macho lol.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaaaaaaa Bishanga hata Roulette ana mume lol ila hatuna agenda yoyote mi nayee ni mtu na dada yake wala sina mawazo kama yako!
Jumapili uje nikuombee walau lile pepo lako kubwa liondoke labda The secretary atakufurahia!

nimfurahie kivip wakati hata ya kunipa mafao hana mi nataka kupeperukia kwa Ronn M
 
Last edited by a moderator:
The secretary we huwa unalalamika sionekeni ila nikionekana naonekana kweli yani comment moja full mapoint lol
Ni jukwaa fulani hivi (La Picha)

basi ushahidi tosha tunakata rufaa alisema ni jukwaa la chit chat BADILI TABIA leta wakili
 
Last edited by a moderator:
Hahaha Remmy nimechomoka kidogo soon ntarudi my dear. Ndo kqaanza nafunguka macho lol.

Heheheeeeeee.......!
Lakini 3some inaruhusiwa, lol.
Hujarudi tu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom