Asante Sana Roullete

Asante Sana Roullete

Afu hii tabia ya kutaja taja wenzio kila saa ndio itasababisha mie nijitoe jf!Hongera sana mwaya!
 
Ndio ujue kuna kitu kinaendelea. Kwanini awataje akuache? maybe anaenda kuwaunganishia kwa kina @erotika. Stuka, chukua hatua!
Jamani madame Roulette wakulaumiwa ni mimi niliyesema mimi na Preta tusiwekwe kwenye bango ila namlaumu kwakusema waumezake nimeshindwa kujizuia hapa ninakimbo ya mchozi!!kanikwaza sana!!Nakuomba Madame umwambie abadili tabia!!
 
Last edited by a moderator:
kaka yangu Erickb52 nipo ndugu yangu, ila tutawasiliana kwa simu...... how are you lakini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom