Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu kwani wewe ni mgeni wa mashabiki wa Arsenyo?Wakuu matusi ya nini tena nyie Arsenal siyo wa kwanza kufungwa. Man U Chelsea Man City wote wamechezea vipigo na hawajawahi kutukana
Hili jukwaa la Arsenyo ni zuri siku timu ikishinda, kutwa kusifia ujinga na kupeana false hopes ila siku ikifungwa inakua ndio siku ya kutoa nyongo kwa wale waliodanganywa kwa muda mrefu na kuaminishwa matumaini hewa.
#Hii sasa ndio Arsenyo ya asali na maziwa.
#Mirembe Anbitabo Fc