Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hiyo inaitwa mwanaharamu ukome, baada ya kupigwa hizo 10 na Bayern ndio ilikua kama laana wakakaa miaka 7 bila kushiriki Uefa.H
Hii ya goli 10 ndio funga kazi[emoji23][emoji23][emoji23]