kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,984
- 10,651
Ni maamuzi gani city walikuwa favoured?. Yaani nyie leo VAR kuwa against your wishes ndio kelele mmeonewa?Yeah rumour has it ...inasemekana FA wanajarbu kumkumbatia pep ndo mana man city wanakua favoured sana ..ili tu aje awe coach wa England


