Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Licha ya goal la kupewa la Newcastle but huwezi kuwa na Mid ya Jorginho na Kai utegemee maaajabu never ever haitakaa itokee tumeshapiga Grants na wadau maumivu tutakutana nayo morning tulishajua what will happen
 
Tuliwaambia mechi ngumu hamna maajabu mkabisha😂
Bado hamna kikosi cha kuchukua ubingwa
IMG_20231104_221706.jpg
 
Tukiwa tunawaeleza ukweli Acha kuweka mapenzi ya kipumbavu kwa team wakati ukweli moyoni unao kwa mid ya Kai na Jorginho huwezi pata results abadani so next time ukiwa unaelezwa na wakubwa wako uwe unaelewa
Acha uboya basi,ficha upumbavu wako....
 
Back
Top Bottom