Hapo ndio uone connections zipo mpaka ulaya, yani mchezaji ambae hana uwezo yuko tayari kuvumiliwa na kucheza dakika zote 90 wakati kuna watu wanaoweza kucheza nafasi hiyo hiyo wakakupa kitu bora zaidi.
Kwani Arteta angesema ampe nafasi Trossard kucheza LCM badala ya Havertz kungekua na shida gani?
Unamuona kila siku Trossard anatokea sub kisha anakupa positives tu, malipo yake mechi inayofuata anapewa nafasi mtu mwengine.
Sawa Arteta unajaribu ku cover up your shit but si kwa dizaini hii.. Na sisi fans unatuchosha!