mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,582
- 19,226
Mpira anaofundisha poche na hivyo vilabu ni mbingu na ardhiPochettino says in his presser that he would never ever manage Arsenal or Barcelona.
Newcastle tumpige tatu kavu wewe unaonaje mzee?
Mpira anaofundisha poche na hivyo vilabu ni mbingu na ardhiPochettino says in his presser that he would never ever manage Arsenal or Barcelona.
Huyu wa nyukesto mbona haijibu hii?Hii ni Head To Head ya Arsenal na Nyukesto ila wewe bwana shamba unaamini tukikufunga tutakua tumekubahatisha? 😂😂😂😂
View attachment 2801775
Mpira anaofundisha poche na hivyo vilabu ni mbingu na ardhi
Newcastle tumpige tatu kavu wewe unaonaje mzee?


jibu moja la kikatili sana kuhusu PochSoma vizuri Arsenal kashinda jumla ya mechi ngapi na Nyukesto mmeshinda ngapi.Sasa ndugu yangu Castr head to head unajichagulia mechi mbili ulizoshinda ndio unaweka?
Hii hapa tena ni recent meetings sema kingine. View attachment 2803061
Tanzania shabiki wa Newcastle ni Mzee Kikwete tuSio PHASE ni FALSE , haya ni matoleo mbalimbali ya FALSE HOPE ila tu wameyaita PHASE badala ya FALSE.
Na kuna fundi simu anaitwa Anderson yupo Kwa Kopa. Shearer alivyostaafu na yeye akaachaTanzania shabiki wa Newcastle ni Mzee Kikwete tuView attachment 2803135
Jumatano ikawaje 😖😖😖Hivi Jana Jorginho hakucheza
Jumatano vs Westham tusifanye makosa hili kombe tulitolee macho tena yote mawili
Ivi apa ndipo jina la arse8 lilipozaliwa😥😥
Jorginho sio wa kumuweka katikati akabiliane na kina Bruno G,Wakianza Zinchenko Kai na Jorginho kwa pamoja hii game vs Newcastle first half game itakuwa imeisha
Mimekaa paleAseno nawakubali sana musimu huu lazima muwe mabingwa![]()