Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tunahitaji forward tu...hii mechi Partey angekuwepo ingekuwa na wepesi kidogo... Georginho hawezi kupiga risk passes kabisa...yy ni mzee wa safe passes....alivyoingia Zinchenko ndo mipira ikawa mda wte mbele....kiukweli tuna safari ndefu ya kupambana na Man city
Kiukwl kuna maswal uwa nataman japo niongee na Arteta zoom meeting nimuulize.

Kwnz nimuulize alikua anamtaka Jorginho amsaidie nn lbd?.. Je aliona nn kwa Jorginho had ashawishike kumtoa chelsea akiamin ataisaidia Arsenal?

LA mwsh ningependa nimuulize Kwn Kai ni mtt wa shangaz yake?.. Kwn anaona nn cha muhm kwake had awe Panga pangua yupo?.. Au ni uwezo wake wa kucontrol aerial duels
 
Mzee wa takwimu masingeli huwa timu ikipigwa anajificha kama panya buku shimoni akiona mwewe. Wenzie wakishaoga matusi ndio anajiyokeza kuwaliwaza na takwimu uchwara. Halafu 2qnampigia makofi kuwa anajua mpira.
 
Cha msingi ni kuwaomba ndugu zetu Chelsea wakaze viuno J3 hata draw tu wapate kwa wale jamaa...itakuwa na nafuu kwetu kuliko Spurs akishinda
Sio kiuno tu, wakaze na makalio kabisa, japo siwaamini chelsea kabisa. 😂
 
Bado Arteta anaendeshwa na kiburi na ujuaji usio na tija,hii gemu ukiondoa goli la off side,bado kiungo kilikuwa ni mfu sana, West ham na Newcastle wamemuonyesha namna tofauti kocha anatakiwa kuutizama mpira. Bado arsenal ina mlima wa kupanda kama itaendelea kutegemea aina ya wachezaji kama Kai.
Kula 5 ni kiburi na ujuaji wa kijinga.
 
Sasa hivi mnapanda kileleni kuelekea chini ya msimamo. Aston Villa akishinda mnarudi nafasi yenu ya 4 karibu naan utd.
Yaani kupoteza game Moja tusharudi chini, mnapenda kujifariji kweli...

Na wewe ulikua huamini kama tutafungwa?
 
Leo tumeonewa hata kama tulikuwa na Mid ya Kai na Jorginho but tumeonewa goal sio halali kabisa very embarrassing very very embarrassing
Tulia..shushia maumivu na hiyo.
Screenshot_20231104_223826_Google.jpg
 
Arteta anakomaa na Havart kwasababu kapigwa pesa pale, ila Havart sio mchezaji wa kusaidia Arsenal au wa kucheza Arsenal
 
Sometimes upepo mbaya unapita. Juzi tu City alipoteza back to back kwenye game ya Carabao vs Newcastle kisha dhidi yetu kwenye EPL.

Tunajipangusa tulipoangukia, tunaanza upya. Focus ni jumanne kwenye UEFA against Sevilla then anakuja Burnley. Zote zitakua nyumbani.

Kwa Arsenal fans mliopishana kauli, malizeni tofauti zenu. Ndio kuna emotions lakini mwisho wa siku sisi sote tunaitakia Arsenal jambo moja brothers..
 
Back
Top Bottom