Kwa football ya Newcastle huku una Kai na Jorginho ni Mungu atusaidie hata wewe moyoni unajua what will happen may be Mungu aamue awe upande wetu but hadi sasa hata wewe unaujua ukweliJamaa mnapanik mapema kweli, au mmeanza kuishabikia arsenal mwaka jana?
Hii mechi ngoja nitafute Grants yangu kubwa plus cocacola niangalie nikiwa na hang over
Last season uyo Newcastle anakufa hapo kwao Jorginho hakucheza?Kwa football ya Newcastle huku una Kai na Jorginho ni Mungu atusaidie hata wewe moyoni unajua what will happen may be Mungu aamue awe upande wetu but hadi sasa hata wewe unaujua ukweli
Bro comparison ya last season unakoseaLast season uyo Newcastle anakufa hapo kwao Jorginho hakucheza?
Turudi baada ya dakika tisini uncle TomBro comparison ya last season unakosea
Hii game ni ya nguvu sana na
Kai na Jo ni wepesi mno kudominate the mido
Na walishinda vizuri kabisa na DM alikuwa Jorginho huyi huyu ambaye leo wanamkataa.Last season uyo Newcastle anakufa hapo kwao Jorginho hakucheza?
BaridaTurudi baada ya dakika tisini uncle Tom
Angalia mechi ni dk ya 7 bado hujachelewaHuo mpira mumpigie labda Luton sio Newcastle ,mtalala na viatu leo
Newcastle wamepanda mtumbwi wa vibwengoVipi performance ya Asernal
Naitakia Asernal ushindiNewcastle wamepanda mtumbwi wa vibwengo